Mama ndokila kitu kwenye maisha Aya tuwapende mama zetu jamani mama ni mungu wetu wapili ss wengine tumeambuliya kuona picha tu ya wazazi wetu na nyiye ambaho bado mnawaona wazazi wenu wapendeni sana
I love you my Mum,this made me shed tears,when I remember my mum who is not feeling well after we lost my brother,2months ago, it has being so hard for my mum to accept she will not see her son again..... Mum quick recovery, Fans say something to my mum,May the Lord help her...
lulu may God strengthen you i lost my mother last year november ,a week later she was being burried as i was giving birth in the hospital ,its been difficult ,hard ,terrible ,this has made me cry may God see you thru may your mum Rest In Peace
kaz nzuriii umeonesh uhalsia pili pole allah amfanyie wepesi mama tatu haikuw na sababu ya kumuwek yy mana kwa ulchokiimba tulshaelew kam unamuimbia yy...ungemuacha apumzke bt big up
A mother is someone you can't replace everything can change but the fact that a woman carried you for nine months cannot change,,your mum will surely recover and she will be able to enjoy what you have sawn already❤❤keep praying for her and my dear one thing you should always remember is that God's time is the best for sure she will be able to conquer it
What a lovely song.......shukran sana lulu kwa ujumbe huu .....Mungu akubariki mno pia naamin one day mama yako atakua sawa na kuishangaza dunia ......still praying for you...still praying
So sorry for the loose of your mum, you did the best to see her regain her health but our God decided to give her a rest. Shukuru Mungu mda alokupa kuishi na mama.tuzidi kuombea mama zetu walokwenda mbele za haki. RIP🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Best Idea ,na hii ni ibada kwa mama,coz umefundisha wa tz hasa mastaa kushar moment na mama zao sio tu wakiwa wazima ,hawana shida yeyote.Mama anabaki kuwa mama in any situation be proud of your mom,Get well soon mom
Nmelia sana jmn dah pole sana luludiva MUNGU ATAMSAIDIA NA ATAPONA INSHALLAH NA PIA NA WEWE MUNGU AKUPE NGUVU YA KUMSAIDIA MAMA MWAMBIE MAMA TUNAMPENDA NA TUNAMUOMBEA DUA KWA ALLAH APONE NA WW MUNGU AKUPE UMRI MREFU PMOJA NA MAMA YKO INSHALLAH INAUMA SANA HAKUNA KAMA MAMA DUNIANI
Umenigusa sana sana. NAMI naamini mama yangu atapona na kukaa vizuri. Pole kwa kuondokewa na mama yako. Ila upendo wako kwake UTAISHI milele kwani UPENDO HAUPUNGUI NENO WAKATI WOWOTE. Hudumu milele.
Inaniuma Sana diva dada naumia Sana ata kukupa neno nashindwa but I hope one day yes ♥️ mama atasimama Tena najalib kuvaa kiatu Chako nshindwa Yan daaah pambna mama
Luludiva mama atapona🙏🙏🙏 Kwa imani yake mwenyezi mungu..atapona. Huu wimbo umenifanya nikamwaga machozi😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏 mwenyezi mungu akaweze kumponya mama❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
@@nadiahussein5079 ni mama yake kweli toka kitambo anaumwa yafika hata miaka kumi anaumwa nachompenda lulu diva yupo makini sana kwa mama yake na anampenda sana anajitaidi sana tena sana
So touching!!! If u see ur mom is alright and healthy please thank God,,,, I pray to God that ur mom comes out of this situation lulu diva and I believe that our Might and merciful God will help ur mom
I can't hold my tears anymore 😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 may her soul rest in peace,I lost my mom at the age of 4 years I have never experienced the true love of a mother,I know how it feels like to loose your mom,but Allah will guide you through this painful moment
Kama umekuja huku ulivyopata taarifa ya kifo cha mama luludiva gonga like😭😭MUNGU ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
Yaani nipo naangalia mpaka nalia
Amiin
Amiiiiiiiiiiiin
@@omanatr8729 😭😭😭😭😭
Pole mwanangu lulu Mtegemee Mungu ndo kila kitu mwache mama apumzike
Waliorudi hapa after the sad news gonga like,Rest with the Angels Mum
*I LOVE YOU MAMA, wanaowapenda mama zao ni😇❤👇*
th-cam.com/video/8NIj4-feYl4/w-d-xo.html.,
I love you mama
Innah lilah wainnah illah rajiun
Nimepata uchungu sana kusikia mamako amekufa leo, dah!! Pole sana Luludiva, inauma sana kwakweli.
Jaman hii nyimbo imeniliza Allàh amfanyie wepesi apone haraka ameen🤲
🙏🙏🙏💞💞
th-cam.com/video/8NIj4-feYl4/w-d-xo.html.,
sijawah comment ytube ila kwako hapana pole mama ang kama ulivo sema “mungu anamuona ” atapona ucjar tunamuombea atapona amen🙏
Hnixhnd mm asee duh😭😭
Jamn pole diva
Tunaosubiri wimbo wa shukran gonga like
Kashapona
Umeniliza mamy umenifanya nimkumbuke mamaangu😭Naomba Mungu amfanyie mama Diva wepesi ainuke tena. Wewe Mungu usieshindwa na lolote jidhihirishe baba🙏
😥😥😥😪😪
😭😭😭😭 it's pain alot...
th-cam.com/video/8NIj4-feYl4/w-d-xo.html.,
Kama mm hadi machozi yamenitoka duuu
Dah inaumiza lkn Mungu ni mwema
Kama na ww unamuombeya mama divana apone ,,,weka like twende sawa
Typo pamoja
Mungu mwema yupo pamoja na wagonjwa wote
Ameniliza... Atapona ishallah
Pole atapona
Mungu ni mkubwa ata pona kwa jina la mwenyezi mungu
Mungu ampe pumziko jema mama mungu kampenda zaid nakuombea dada lulu katika kipnd hiki kigumu kwako mungu akutie nguvu
Nakupenda Lulu naipenda kaz yako pia
Heri ya mwaka mpya
Only the ones whom their mama was sick and lost her in front of your eyes can feel this song ,dear Lulu you are not alone 😭
Rest in paradise mama diva 😭😭😭😭lulu Mungu akupe nguvu ulipambana 5years kumhudumia mama ako .. aiseee kama unampenda mama like hapa
Pole sana Diva Wetu, Kazi ya Mungu haina makosa
Kweli lulu Allah akulipe sabasabini na njia zako zote zinyooke dada
Mungu wa maajabu😔kwa kweli anamwona hamna Shaka atapona.nani ampinge mungu akisema atapona.tutaunogoja wimbo ukishukuru.❤️❤️from Kenya
th-cam.com/video/8NIj4-feYl4/w-d-xo.html.,
Atapona
Big Amen🙏
Who come to listen to this song after hearing her mother is no more 💔💔😢😢😢 so painful 💔😥 pole divana 🥺
Haki leo nimerudia kuuangalia huu wimbo daaa inauma snaa pole sana lulu kwa kuondokewa n mama yako ALLAH AMPE KAULI THABITI 🙏🙏
Daaaaaaaa polee sana lulu mama nae kaendaaaa daaaa😭😭😭😭
Mama ndokila kitu kwenye maisha Aya tuwapende mama zetu jamani mama ni mungu wetu wapili ss wengine tumeambuliya kuona picha tu ya wazazi wetu na nyiye ambaho bado mnawaona wazazi wenu wapendeni sana
pole san
Utapona Tena inshaaalaaah... Mungu awaponye mama zetu
Machozi yananitoka kama mfereji ulio toboka Pole sana lulu kungu akupe subri kipindi hiki kingumu, ALLAH amrehemu mama in sha ALLAH 🤲🤲
😢😢😢 innalillah wainnaillah rajuhun Mungu amsamehe madhambi yake yasiri nayadhairi 🤲 InshaAllah 🙏 Amim pole sana lulu nashindwa kujikaza😢😢😢
I love you my Mum,this made me shed tears,when I remember my mum who is not feeling well after we lost my brother,2months ago, it has being so hard for my mum to accept she will not see her son again..... Mum quick recovery,
Fans say something to my mum,May the Lord help her...
in jesus name she b ok namwombea
@@emilymongina7862 Amen,thank you
May Christ keep being her strength
Your mom situation is close to my mom situation may the grace of God be upon our mother's Amen 🙏🙏
@@inspireasoulchangealife6198 Amen,thank you
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 inagusa ndani sana. Eh Mungu mponyaji mguse mama Divana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
May you find comfort in God especially during this mourning period. Mum's are mourned forever. Take heart Lulu
Polee ucjali mpenz,atapona mungu u hai
lulu may God strengthen you i lost my mother last year november ,a week later she was being burried as i was giving birth in the hospital ,its been difficult ,hard ,terrible ,this has made me cry may God see you thru may your mum Rest In Peace
daaah pole mwenyez mungu akutie nguvu uzid kusimam kwenye iman ako en tuzid kumwombea atapona
Lulu this has really touched me soo Deeeeep aki ..Mama atapona
Inshaallah mwenyezi mungu amfanyie wepesi apone mama yetu inaumiza alihamdulillah
@@Mariam-ou1uz Inshallah
Innalilah waina Lillah rajiun pole saana lulu kwakufiwa Na mama sote ndo Jia kuwa Na subira
Whoever is reading this , God has a plan , trust the process❤️💯💯🚀🚀🚀
Amen
th-cam.com/video/8NIj4-feYl4/w-d-xo.html.,
Ameen
Amen🙏
So bad
Hakika sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea pole sana kufiwa na Mama kipenzi
😭😭😭😭 imeniliza Sana nimemkumbuka Mama yangu aliumwa alikua haongei hasimami😭😭😭 oh! Mungu wangu pumzika Mama yangu😭😭😭😭... get well soon mama divana
kaz nzuriii umeonesh uhalsia pili pole allah amfanyie wepesi mama tatu haikuw na sababu ya kumuwek yy mana kwa ulchokiimba tulshaelew kam unamuimbia yy...ungemuacha apumzke bt big up
Rest easy mama......my heartfelt condolences lulu may God comfort you during this trying times. Sending you hugs 🫂 love ❤ and light 💖..... 🇰🇪
Mungu amulehumu 😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🇸🇦
Mungu smrehemu
Nyimbo
😭😭melia Sana
Sina dada Sina Kaka Wala mdogo baba aliondoka😭
Hivi kwann kamchukua mapema mama etu so said Mungu akutie nguvu dadangu pole sana
Nashukuru kwa yote Mama yanguu naomba mungu akuwekee kwaajili yetuu uone adii vitukuuuu polee divanaa Mama ataponaa tuna muombea😥❤️
Pole sana Lulu ila mama atapona na atakaa sawa tuzid kumuombea umenitoa machozi
A mother is someone you can't replace everything can change but the fact that a woman carried you for nine months cannot change,,your mum will surely recover and she will be able to enjoy what you have sawn already❤❤keep praying for her and my dear one thing you should always remember is that God's time is the best for sure she will be able to conquer it
🤦🏻🤦🏻🤦🏻hii song wajamani nimerudia Mara kadhaa,nikiona hali my mum yupo..💘💘Pole sana Lulu Again.❤🙏🏻
Am here after the death of her mum......may her soul rest in peace .....as for my dia Lulu take heart_😔😔😔😔😔😔😔😔
Allah akupe kauli thabit mama diva maskin lulu diva Allah ampe subra inshaallah 😭😭😭
How can someone dislike this lovely msg to all mamas allover 😒.......love you divana❤️.. quick recovery to mama💓💕
Yan
Roho za kichawi hizoo
Imaging
They're all good for nothing ☠️😎
I also wonder...this is very disheartening!some people are so heartless
Pole sana diva najua maumivu ni makali sana ndani ya moyo wako kipnz... Allah akufanyie wepex inshaAllah😭😭
Tears can't stop flowing. This was my prayer sometimes back. Rest in peace mum.
Pole sana kwa kumpoteza Mama kipenzi. Umeniliza sana....Allah awaeke pema Wazazi wetu walio tangulia 🙏
Amiin
Mungu amponye mama ake na mama WENGINE wote wanaoumwa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mama jamani yani mpka mwili unanisisimka jaman nyie ambao mama zenu wazima muwaheshem na kuwapenda
Daaah Nimejikuta nalia Mwenzenu 😭😭😭😭😭 bila ata kujua Eeeeh M/Mungu mfanyie wepesi Mama uyuu Awezee ata kuinuka mwenyewe 🙏🙏🙏
th-cam.com/video/8NIj4-feYl4/w-d-xo.html.,
Aliye penda rangi ya mama yake luludiva aachie like hapa chocolate color ❤️❤️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥nyimbo nzur sana hii
What a lovely song.......shukran sana lulu kwa ujumbe huu .....Mungu akubariki mno pia naamin one day mama yako atakua sawa na kuishangaza dunia ......still praying for you...still praying
Kuodokewa na mzazi ione t humhum na kuisikia usiombe ikakukuta 😭😭😭inauma balaa
Namuombea mama yako apone haraka,yesu mponye haraka, afurah tena ili sifa na utukufu ubaki kwko yesu😭😭😭😭🤲🤲🤲amen
th-cam.com/video/8NIj4-feYl4/w-d-xo.html.,
Amina sana🙏
Huwa nakusikia ila cjawahi ckiliza nyimbo zako ila kwa wimbo huu hongera Sana unajua sichoki kuusikiliza huu wimbo umenifikirisha Sana.
So sorry for the loose of your mum, you did the best to see her regain her health but our God decided to give her a rest. Shukuru Mungu mda alokupa kuishi na mama.tuzidi kuombea mama zetu walokwenda mbele za haki. RIP🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pole sana Divanaa💔🥺
I celebrate you for standing with your mama
Rest in peace mama Lulu
Sijawahi sikia nyimbo ya Lulu diva hii ndio mara ya Kwanza, kaimba kwa msisimko Sana, Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi mama yake na mama zote duniani
Mungu abariki mama zetu wote kuazia mama lulu divana ixhi miaka mingi mama yetu mbka mama xamia wote amina
Best Idea ,na hii ni ibada kwa mama,coz umefundisha wa tz hasa mastaa kushar moment na mama zao sio tu wakiwa wazima ,hawana shida yeyote.Mama anabaki kuwa mama in any situation be proud of your mom,Get well soon mom
Lulu umeniliza sanaa. Allah atakupa subra ishallah. Ameen. From Kenya.
OMG goosebumps are all over me... straight away from Kenya🇰🇪... this song is so sensational 🎊
Rudisha fahamu kidogo uniite mwana 😭😭
Mungu Ampe ponyo lake Mama yako kipenzi na wagonjwa wote duniani. Pole Sana Diva 🤲🏾🤲🏾
Nmelia sana jmn dah pole sana luludiva MUNGU ATAMSAIDIA NA ATAPONA INSHALLAH NA PIA NA WEWE MUNGU AKUPE NGUVU YA KUMSAIDIA MAMA MWAMBIE MAMA TUNAMPENDA NA TUNAMUOMBEA DUA KWA ALLAH APONE NA WW MUNGU AKUPE UMRI MREFU PMOJA NA MAMA YKO INSHALLAH INAUMA SANA HAKUNA KAMA MAMA DUNIANI
Mbona nalia Sasa ?😭😭😭😭 Mama atapona Lulu hii zawadi mzuri umempa mama Mungu anamuona ni kweli na atamponya ♥️♥️♥️
th-cam.com/video/8NIj4-feYl4/w-d-xo.html.,
Amen
😭😭inaliza sana jmn.....hakika mungu amfanyie miujiza mama🙏
Alhamdulillah for my mum 🙏🏾 ya Allah I'm so so grateful to still have her with us and in good health, I don't take that for granted 🤲🏾
Soo sad that she is no more
May God give lulu a peace of mind
It's very hard to believe that your moma left you
Umenigusa sana sana. NAMI naamini mama yangu atapona na kukaa vizuri. Pole kwa kuondokewa na mama yako. Ila upendo wako kwake UTAISHI milele kwani UPENDO HAUPUNGUI NENO WAKATI WOWOTE. Hudumu milele.
Huwa sicomment but this one Diva..,Mungu asikie maombi yako akamponye mama yako. Na hatakama hatomponya Mungu atabaki kuwa Mungu.
th-cam.com/video/8NIj4-feYl4/w-d-xo.html.,
Amina amina
Inaniuma Sana diva dada naumia Sana ata kukupa neno nashindwa but I hope one day yes ♥️ mama atasimama Tena najalib kuvaa kiatu Chako nshindwa Yan daaah pambna mama
Mungu atamsaidia atapona......🙏😥Kama umetowa chozi kama mimi like nikujuwe.
Mie wee umeliaje
th-cam.com/video/8NIj4-feYl4/w-d-xo.html.,
Duuh
Du jaman
Mungu a tupe upendo kwa mama zetu
Dah!! Pole saana diva divana mwenyezi mungu akupe ujasiri wa kupambana na ili. 🙏🏻😭
When I watch this video I really cry. TBT goes to my beloved ♥ Mom when I lost her on 19.07.2019
Daah maskin pumzika kwa aman
Love you mom japo uliondoka tukiwa watoto sanaaa hujala hata matunda yawanao 😭 😭 😭 😭 nakupenda sana mom
Inauma...ila yote ya Mungu
Nimehuzunika kweli yani. Mungu amponye in Jesus name kwa ajili ya utukufu wake Amen
Beautiful song with a strong msg. Mungu amlaze pema peponi Mama yetu.
Pole lulu in sha allah mungu akujaalie subra na neema nyengine ,,,,,mthihani mgumu kwa kwely
Luludiva mama atapona🙏🙏🙏
Kwa imani yake mwenyezi mungu..atapona.
Huu wimbo umenifanya nikamwaga machozi😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏 mwenyezi mungu akaweze kumponya mama❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
Ni mama ake kweli
th-cam.com/video/8NIj4-feYl4/w-d-xo.html.,
@@nadiahussein5079 ndy
@@nadiahussein5079 ni mama yake kweli toka kitambo anaumwa yafika hata miaka kumi anaumwa nachompenda lulu diva yupo makini sana kwa mama yake na anampenda sana anajitaidi sana tena sana
Umeniliza Lulu, mama apokee muujiza na asimame tena in Jesus name i pray. Amen
May her soul rest in peace. .Lulu be strong you have tried your best to bring her again but God loved her more🙏🙏🙏
Akae aswali sio kuimba n kukaa uchi ...nhc ndio njia nzry y kumuombea .. Atapona InshAllh kw uwez w mungu
Rest in peace mama diva. Diva take heart I know the pain of living without a mother. God is the only one who can fill the gap dear.
Mpk nimelia coz ma angu anaumwa miguu na mikono hawezi shika kitu mpk 😭😭😭😭😭😭 mungu tenda muujiza
Inagusa sana hata mm nauguliwa na mama yangu sana😭 get well soon all mothers🙏🏻🙏🏻
Pole sana kwakweli mimibinafsi nimeumia she . Wenyezi MUNGU ukamtendee muujiza mama apone mwanaeafuraie uwepo wa mama yake amina
This song remains me the last days I spent with my late mom may my mom n dad continue resting in peace with angels
R.I.P mama divana
Pole saana dada mwenyez mungu akutie nguvu😢😢😢😢😢😥
So touching!!! If u see ur mom is alright and healthy please thank God,,,, I pray to God that ur mom comes out of this situation lulu diva and I believe that our Might and merciful God will help ur mom
Kila nkickiliza hi nyimbo nalia mm jmn jmn lulu Allah mpe nguvu kipenzi changu 😍
I can't hold my tears anymore 😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 may her soul rest in peace,I lost my mom at the age of 4 years I have never experienced the true love of a mother,I know how it feels like to loose your mom,but Allah will guide you through this painful moment
Nyimbo hata iwe mbaya vpi nikiskia neno MAMA aiseee pose linakata, but all in all nawapendaa wamama wote🥰
Hongera divana, nyimbo tamu
Soo touching😭😭 quick recovery to mama
May God bless all the outstanding moms
Mungu mfanyie wepesi mama divana Inshaallah pole divana usilalamike sana Mungu hajakuacha bado yuko nawewe
In shaa Allah mungu atamponesha nipo Na Imani in shaa Allah. (Ameen)
Nyimbo yagusa nafsi sana jamani Allah akupe subra lulu ni pigo sana kumpoteza mama
Lulu kila wakati hua unaniliza, siku nimesikiliza histolia yako nililia kwa sauti Asante kwa wimbo Mungu amponye mama yetu
Nkiyaona mengine nakumbukaga kuwa huwa nasahau kumshukuru mola kwa uzima wa mamangu,,,,Mungu akupunguzie uchungu na pole sana
Mwenyezi Mungu ajawai kumuacha mtu anayemlilia kwa Imani hakika atatenda juu ya Mama Diva na kila kitu nitakuwa sawa.
th-cam.com/video/8NIj4-feYl4/w-d-xo.html.,
Machozi yamenitoka Jmn,Lulu Diva Mungu akupe afya na mapenzi yadhati yasipungue kwa mama yetu,pole mama atapona.