Usimdhihaki Mungu maana imeabdikwa usilitaje bure jina la Mungu maana Bwana hatawahesabia kuwa hana hatia mtu alitajae bure jina lake. Heshimu unapotumia jina la Mungu
😂😂😂😅😅😅 kweli hii ni #cheka #tu najuta kwa kuikosa hii show daah. Next time tuko pamoja #Mr #Coy #Mzungu. Naamin huko tunakoendelea mbele hawa "giant comedian" watakutafuta waje wafanye show kwako.🔥💥🔥💥🔥
Ushauri wangu msimzihaki Mungu kwa maneno yasio faaa kisa kuchekesha pia usione ni rahisi kufanya kisa watu wamefanya huwezi kusema YESU kama angekuwa mwanamke sijapenda hio ameharibu na kukosea sana weka limit ya maneno usiseme vilivyo vitakatifu kwa joke bali kwa hekma na adabu na kufunza watu.
@@mahijakapingu395 acha udini wewe. Wakristo sio wakorofi wa kijinga kama Waislam. Nyie akisemwa huyo wenu mnakuja juu kama manyumbu.... Pia inawezekana hajulikani ndo maana hawamtaji
Mashaaall huyu Kaka uchekeshaji wake wa tofauti yaani hakatishi mada yupo tofauti sn mungu akusimamie kipaji chako.Deo
hahahaha,gonga like kwa deo, nakukubari mzee upo fresh sana, I wish kama nikija dar nikaribie kwenye show zenu
Usimdhihaki Mungu maana imeabdikwa usilitaje bure jina la Mungu maana Bwana hatawahesabia kuwa hana hatia mtu alitajae bure jina lake. Heshimu unapotumia jina la Mungu
Hajalitaja kwa ubaya ndugu, kwa mawazo yangu alitaka tujifunze kitu na kitu chenyewe ni kujua kumuomba Mungu ipaswavyo.
Usi complicate maisha kiasi hicho!!
Very complicator
Msimtetee, alikosea kutaja ayo majina aisee (Mungu/ Yesu)
Deogratius wewe ni comedian mzuri sana . Mungu amekupa kipaji hicho lakini hebu angalia katika kipaji alichokupa usije ukamdhihaki.
KABISA... MUNGU HATAKIWI KUTAJWA BALAZANI PENYE MIZAHA...
daah!! bro nakubaliii ofkoz unaweza,,comedian mwenzio nakusapoti...keep it up!!!!!!
Huyu mjinga anafanya Mm sifany kaz deo ni mwisho best Africa comedian agiza soda kwa kimaro nitakuja kulipa
Lakini Deo nampenda sanaaa yn anachekeshaaaa sana kuna siku nimeangalia show yake usiku nimecheka hatarii mpk asubuhi nnaamka nnachekaaa tuu😂😂😂😂😂😂
aise leo na mm ndo kanilaza alfajiri nacheka tu kifala
🤣🤣🤣🤣🤣
Tokea nianze kuangalia cheka tu aise we jamaaa ni nouma nimecheka mpaka basi nakuona international level 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Watching 18/September but nimecheka had mbavu zangu znaumaaaaa apa ur the best comedian real
Naipenda sana show nawaona mbali maana kila siku mnapiga hatua kwenda mbele. Pokeeni ushauri mzuri na kuufanyia kazi tuko pamoja.
Nakukubali miaka yotee munguu akubariki kilaa hatua duwaa broo
Huwa napata raha nkiwa na hii kitu coz inanifanya naxahau matatizo much love for #cheka tu
Braza we ni monsterr😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥more fire🔥 more shampain cheka tu😂😂😂😂
Thank u for this show I am glad tanzania os moving to a next level with comedy
😂😂😂😅😅😅 kweli hii ni #cheka #tu najuta kwa kuikosa hii show daah. Next time tuko pamoja #Mr #Coy #Mzungu. Naamin huko tunakoendelea mbele hawa "giant comedian" watakutafuta waje wafanye show kwako.🔥💥🔥💥🔥
Kwan huwa wanaungia kwa shngap
Deo mmoja ni sawa na joti watatu na mpoki wanne.
Deo legend in the making....cheka tu ndio Habari ya mjini every month
we jamaa huwa unamalza MB ZANGU SANA HTR
Deo mboya nakupenda buree unavunya mbavu zangu 😂😂😂😂😂
Jmn huyu jamaa akisimama jukwani pesa zamuhusu mashaallah
Nimekupenda bure. Mungu hakujalie Baba
Deo, Umemaliza Bro. Tupe Show inaonyesha watu wa Chugha. najua utamaliza, tena Mix na wachagaa utamaliza . Big up Sana Brother.
Kazi kazi hii show nzuri sana naenjoy kuaangalia ....😂😂😂 keep on going ....kazi nzuri
Who's here today to watch the genius?😂
Daaaahhh😂😂nimecheka usiku Kucha nakuja kushtuka Saa 11 daahh This is more than Comedy
Huwa nikion comed za Deo atakam n Dk 50 lazim niifungue maana cjutii mbs zangu, unajua Sana bro
Duh aiseeee nimecheka sanaaaaa....weee c mzimaa
Aiseeee Deo C unatsha mzee Baba
This is lit😂😂😂i got stomachache from laughing
😂😂😂😂,,seriously nimejiko😂😂😂😭
No one like deo❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakupenda bureee Kaka deo
Nakukubal Sana deo😄💪💪💪👏👏👏
unaniongezea cku zangu za kuishi nakuombea long life
Napenda sn cheka tu 🔥🔥🔥
Da upo vizur San broo
Africa kuna best stand up comedian, your one among them
unajua kuchekesho sana deo 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Umetisha kinoma
Big up Bro aki uko pow best comedian
I love uuuu Deo........ umeniua kwa vicheko
Aaaah Deo unahatari Sana 😂😂😂😂
Nakupenda bureee coy
There we Go.. I Think sasa tunaelekea angalau kuanza kuwachallenge Wakenya
Nakubali san
Tanzania finest, salute mzee
Nimecheka sana #kipande cha ngoyi
he is amazing deogratius anajua na amejipangangaaaa
Ushauri wangu msimzihaki Mungu kwa maneno yasio faaa kisa kuchekesha pia usione ni rahisi kufanya kisa watu wamefanya huwezi kusema YESU kama angekuwa mwanamke sijapenda hio ameharibu na kukosea sana weka limit ya maneno usiseme vilivyo vitakatifu kwa joke bali kwa hekma na adabu na kufunza watu.
Haule Vincent respect
We we HAULE biblia IMESEMA usimzihaki MUNGU unaelewa ZIHAKA ni NN?
@@neymarmbilinyi9735 kasome biblia vizuri na uelewe misamiati..
Haule Vincent: Calm down for crying out loud. I bet even Jesus would have enjoyed this, had he been sitting in the audience. Damn!
Haule Vincent makubwa
Deo na lamin nawapenda sanah mwaah
Ase Uyu jamaa yuko vzuri😂😂😂
Safi sana nimecheka..deo ni shida...
Wapi wachagaa😂😂😂😂😂
Coy fanya ufanyavyo rudisha hii kichwa bro....na mc lukinga daah🤣🤣
Mama Mbuyaaaaaaa 😂😂😂
Deo umeanza vizuri sana! Umemalizia vibaya! Yesu sio wamchezomchezo jamani!
Ucmuweke MUNGU/ YESU kweny jokes
So good ase keep it up broo,, Mbeya lini?
Jaman wachaga tutakoma🤣🤣🤣
😂😂😂😂😀😄😄😀😀😀😀😀Deo unajua bana kuchekesha
Deo anajua sana, huwa sichoki kuiangalia hii clip!!
I love CHEKA TU, so mwaaah
♥️♥️♥️♥️ love you
😂😂😂😂deoo u ar good
Jamani hii cheka2 uwa inafanyikia wapi na siku gani ?
Nataka nije
Yaaan we kaka nikichaaa
I love CHEKA TU mwaaaaah
kumbe comedy nimuhimu usome sio kama zamani
You're the best Kaka deo💞💞💞💞💞💞👌
Uko vizuri
Uwiiiiiiiii@mange 😂😂😂😂
Deo the best... the bomb...
Gwe asingaaàaaaa.... yo de best man
This guy has a great talent
Jaman nakupenda we kaka God bless you
Keino Ni matusi kenya jamani😂😂😂😂,keina Ni sehemu ya Siri ya mwanamke 😂😂😂😂😂
bora wamekutunza broo
love you sana kaka deo
Deo uko vzr broo! Big up
Deo nimekulewa
Weeee jamaa fundiiii unajuaa
My best comedian
Nimecheka jamani uwiiii
Vani Tosha haunishindi mimi 😂😂😂😂😂😂
Haaaaah nawakubali sn hawa jamaa hatariiii
Deo. ur talented brother .a lot of appreciation
HUYU JAMMA POA. MCHAGA POA.LOVE YOU BROO
😂😂😂😂 Deo killed it
Kweli mnachekesha lakini msimueke mungu nayesu Allhamdulilah mtume muhamad swalalallhu alay waslam
Hamuumtaji
@@mahijakapingu395 acha udini wewe. Wakristo sio wakorofi wa kijinga kama Waislam. Nyie akisemwa huyo wenu mnakuja juu kama manyumbu.... Pia inawezekana hajulikani ndo maana hawamtaji
Hahahaha Deo umeweza tenaa
ur the best brooo
akyamungu deo ww n mchaga so siri........... umeniuwaaa mbavu
Kawakaaa jamaa ametishaa sanaa
Kazi nzuri
Deo nomaaa😂😂😂
Yesu angekuwa mwanamke hehehehheheheheeee
Hutu in muongo au mchekeshaji hahaha
This was the Best Ever.
The good one brother
Cheka tu live comedy inaoneshwa kila lini na ni ukumbi gani,na bei ya ticket????
Deo🔥🔥🔥🔥🔥 Cheka tu
Hahahaaaa shikamoo Deo
Your so funny Deo👌👌
Cheka mnapatikana wap samahani
powerful Coy
powerfully Coy
your last word so
powerful
MC MNYALU 7