He is the best out there. He has content. Most of Tanzania comedians don't have content. They are doing freestyle comedy which isn't all that but this guy right here,anajua nini anafanya. Hata comedy inahitaji maandalizi,lazima uwe na content n then on stage as you go on,unaweza kuchomekea freestyle kidogo,sio freestyle mwanzo mwisho. Hands down for this guy,all the time nikimuangalia anaonekana anajua nini anafanya. Utafika mbali brother. Keep doing the great works
me mpogoro, hiyo sehmu ya wpogoro made me miss my bibi so much. maana ndio anaongea hiyo hivyo especially sehemu ya kunya hapo hahahhaa deo u made my morning aisee. good job
dah! #deo tangu shuleni Pandahill (pasec) kipindi hicho yuko Advance ...jamaa nibalaaa tangu enzi 2011/2012..nikiwa form one.....apliciate bro Deo.....
100% sana bro am happy to see your talent bro....na zile Afro zako kakichanio kichwan mzee + ile school bag yako Mzee Bruda Jose macho tyu......miss those moments bro ....with mamushka hahahaha
Yan ningepata sehemu panapouzwa confidence..Nina kipaji Zaid ya ninachokiona, but bro Kila siku unanipa sababu ya kuthubutu, one day I will be there..to represent what within me
He is the best so far in Tanzania, nilikua sipendagi stand up comedy za bongo , ila huyu ni Hatareee , Hands town. Stand up comedy King ndo huyu wengine wote wasubiri
i real like to attend one of your session. keep it up, wakenya tunaowaona sasa wamefikia hawakuanza leo, ni toka miaka ya sabini ya vihoja mahakamani na akina mzee ozwang na mama kayaiiiii
Hongereni Sana Bongo Cheka Tu Kwa Kufany Stand Up Comedy, nashauri tu boresheni Kwenye Kuingia Mtu akiwa anatajwa tu Anatokea back faster tu kwenye Shangwe Zile, ili pia Isionekane video ni ya Dk Nyingi, mana Inatakiwa iwe hata Dk 5 tu.
nakubali sana kaz yako mwamba yan siez angalia Mara moja kiukweli stresses zinaisha japo nipo mbali lkn najion km nipo bongo.... kipaji kikubwa sana upo nacho baba la baba... nikisema sana nahis ntaharibu acha niishie apa
Kama unamkubari jamaa gonga like hapa anajua sana deo dah
He is the best out there. He has content. Most of Tanzania comedians don't have content. They are doing freestyle comedy which isn't all that but this guy right here,anajua nini anafanya. Hata comedy inahitaji maandalizi,lazima uwe na content n then on stage as you go on,unaweza kuchomekea freestyle kidogo,sio freestyle mwanzo mwisho. Hands down for this guy,all the time nikimuangalia anaonekana anajua nini anafanya. Utafika mbali brother. Keep doing the great works
Robinson Gina Thanks man; I will keep doing my best
@@deo_gratius Officially I am your fan brother. I need to attend one of your shows sometime soon
Robinson Gina That’s would be great 👍. Karibu sana kwenye show
@@deo_gratius Any shows sometime soon? Dates and venue please
Robinson Gina man,you can say that again
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
me mpogoro, hiyo sehmu ya wpogoro made me miss my bibi so much. maana ndio anaongea hiyo hivyo especially sehemu ya kunya hapo hahahhaa
deo u made my morning aisee. good job
This guy has talent. Akiweka strategy nzuri at this tym, anaeza kuja kua diamond wa comedy bongo. Nyc work bro!
SHAFFI NJAMA Du! 😊 Thanks 🙏
Aiseee huyu kaka ni konki 🔥🔥 anajua kuliko hata huyo idris huyu nomaa 🙌🏻🔥🔥🤣🤣🤣
Huyu jamaa ni comedian anajua kusimulia.....much respect bro...ila wape somo wenzako hawajui kupresent vizuri kama wewe.
Nc brother
This's what stand up comedy means. Jamaa anajua sana huyu😂👏🏽
Giddy 🙏 I Appreciate
dah! #deo tangu shuleni Pandahill (pasec) kipindi hicho yuko Advance ...jamaa nibalaaa tangu enzi 2011/2012..nikiwa form one.....apliciate bro Deo.....
Thanks man! 🙏 Singoi hoyeeeeee 😂
100% sana bro am happy to see your talent bro....na zile Afro zako kakichanio kichwan mzee + ile school bag yako Mzee Bruda Jose macho tyu......miss those moments bro ....with mamushka hahahaha
Duh...Mimi nimetoka hapo 2000
Yan ningepata sehemu panapouzwa confidence..Nina kipaji Zaid ya ninachokiona, but bro Kila siku unanipa sababu ya kuthubutu, one day I will be there..to represent what within me
Julius URONU
Kp t up
Be guided bro
confidence ni kujaribu ukimwangalia mara yake ya kwanza alikuwa anahema uyo ila sa hv yupo fresh tu
Confidence ni SKILL unaweza kujifunza usiache talent yako itulie bro
@@Thejungleofwisdom Nimekielewa sawia bro... nitaifanyia kaz
He is the best so far in Tanzania, nilikua sipendagi stand up comedy za bongo , ila huyu ni Hatareee , Hands town. Stand up comedy King ndo huyu wengine wote wasubiri
Deo ur something else
Narudiarudia lkn sichoki
Mungu akuongeze bro #Deogratius
Kiukwel huyu kaka ananichekeshaga mpaka tumbo linauma anajua sana Mungu awabariki katika vipaji vyenu mnafanya vizuri sana
Huyu jamaa is baaadnews asee ... hadi sikuhizi demu wangu haoni kama namchekesha tena.. 🤣🤣🤣
Kedy John umetisha😂😂😂😂😂😂
Jamaa😂😂
Jipange mwana 😅😅😅😅😅
Just found another Fav comedian😂😂😂😂. DEO😍
I like this guy. He's precise and systematic. All his comedies are all about daily life.
nakubaliiiii....comedian mwenzio nakusapot #deogratias👏👏👏👐
Deo bhana...hamna namna...ni mwisho wa kazi
Cleopa Laurent 🙏
😂😂😂😂😂😂😂💯💯💯 Your the best Deo, now speaking about comedy, the platform allow youth to grow and improve the talent.
Nikiwa nimeboeka nikija cheka tu bhac stress kwisha habari yake haswa kwa deo..mtoto,wa mama mboya
i real like to attend one of your session. keep it up, wakenya tunaowaona sasa wamefikia hawakuanza leo, ni toka miaka ya sabini ya vihoja mahakamani na akina mzee ozwang na mama kayaiiiii
Leo nmefatilia edition zote za deo hahaaaa he was doing very great
damn! man you kill it.. Mungu akutangulie tu
You never disappoint bro !! So called comedian 100%
MOH ERAI 🙏
wonderful: i didnt know brother kama ur talented like dat tukiwa chuo. Ila hapo kwa wapogoro aisee umepita mulemule ...keep it up bro.
Kaka uko vizuri sana.. Keep it up
Deo kaka Umeua keep the spirit up🙌🏾👏🏾
Deo bwana unajua kupangilia script zako vizuri zaidi mpaka raha yani..
Daah blo mimi naelewa sana kaz yako sema kuna ile ya at list siioni
yaani sina la kuongea tuombe mungu nirud Tz nitakuja kuwaona ukopoa sana kaka love you my dear
Khadija Hassan Thanks 🙏 karibu
Inawezekana Kenya wanatuzidi kwa stand up comedy kitakwimu ila hakuna comedian anaweza kufika level ya huyu mwamba ktk stand up comedy 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dah boi uko njema best comedian wa mwaka
You are a comedy itself
Pung'o katika ubors wako..sema umetuchoma wamagetoni,furushi lishabuma 😂😂😂
Sasa Deogratius naona unatoa siri za geto 😂😂😂
Baraka Israel 😄😊🙏
Anapita nazo zote
Ila we kaka dah 😂😂😂😂🔥🔥haya bana
Show kali upat muda wa kuja kusoma comments noma sana 😂😂
Daaaaaaah unaweza ukaomba kua ndugu wa Deo asee
Hiki kipaji aisee🔥🔥
Mzee baba we n homa ya jiji 🔥🔥🔥
Mwambaa kazaaaa, very talented
the besttttttttt👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
I always like u deo...keep it up
😂😂😂😂😂well done Deo gratius
Uko vizuri brother keep it up
Kibabe sana bwana deo kipaji kipo sana
Daah nakupenda sana jaman yaan unaweza kinoma jaman
hahahahaaaaa! nimecheka kwa embe dodo liyela ela byuuuuuu angeongeza kamwali ka kuchindambindambeeee
Mngeboresha saut kidog iwe inasikika vizur
Still the best #Deo😊😊😘
greta gonga thanks 🙏
Yeah hajapatikana mwingine
Nice sana broo nimeisahau chachilishow sikuiz ni cheka2 ila cc wa mikoan tuwekeen mpya
Hahahaha jamaaa f#la xanaaaaaa
#wapogolooooooooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Big up sana jamaa anajua
great show, ombi langu ongezeni stage
uko vzr sana bro tena sana tu hata skupngi
philipo Tv 🙏
Hongereni Sana Bongo Cheka Tu Kwa Kufany Stand Up Comedy, nashauri tu boresheni Kwenye Kuingia Mtu akiwa anatajwa tu Anatokea back faster tu kwenye Shangwe Zile, ili pia Isionekane video ni ya Dk Nyingi, mana Inatakiwa iwe hata Dk 5 tu.
Big up bro umetisha sanerr
Deo unasema vitu vitutokeavyo gheto broo, uko Right
Mungu anipe conf na me jmn mana talent
Kama Kuna nafasi za usajili bado, Nipo hapa kwa hilo, Nitaleta kile nitakachojaaliwa, Nipeni nafasi 🙏🏿
We mzee ni hatar sanaa......
All the way up Deo Mboyaaaaaa!!!!
Deo is amazing Guy 🙌🏾🙌🏾😄
King Gideon 🙏
Deo wewe ndio mtu unaenifanya niipende na kuangalia show kama hizi
nakupenda bureee jmn
aseeeee we chariiii ni nomaaaaaaa
I love Deo he is the bestest
good work deogratius i see u far
Lower your expectation😂😂😂😂😂😂😂
Keep going, there is way on you
Yaaan hii ndi video yangu ya kila cku
kam n ww mpogor gong like
😂😂😂😂😂😂😁😁 aseeee
bro, we ni Nomaa Asee!
Prince Mushy 🙏
Ahahaaahaa mbavu zangu jamanniii
From Kenya hapo ghetto story kanibamba sana...
Abass Abdisalan 🙏
You should come to Kenya jokes ka hizo they kill the audience...
Huyu kaka yupo vizuri ndo mara yangu ya kwanza kumsikia..hands up bro way to go 👌👌👌👌.
.
Wadada karibuni kwenye channel yangu kwaajili ya make up
Tutakuja
Deo mboya, i see u somwhre years to come,,,hongera sana
this guy is really funny tho, big up.
Ahahaha Deo unazingua
nc sana deo unaweza sana
Jamaaaa anajua san
nakubali sana kaz yako mwamba yan siez angalia Mara moja kiukweli stresses zinaisha japo nipo mbali lkn najion km nipo bongo....
kipaji kikubwa sana upo nacho baba la baba...
nikisema sana nahis ntaharibu acha niishie apa
Ilham Mshana 🙏 Asante
@@deo_gratius umebarikiwa jàmàñ nataman nirud tz nije nione show live
boreshen saut basi , but onger bro deo uko vzr kazanaaaaa
Huyu jamaa najua sana
Sauti haijakaa vzr rekebishen ndug zangu
You made my day deo
Settings za sauti zimekuwaje??
2024🎉 watchers
hah ah a deo kichwa
Daa good job Deo
#Real broh
et zimegeuka kuwa Vasco da gama😂😂😂😂😂😂
I like the show
Ndio namjua leo
Konkoi konkiii konkii Nmekusomaaa
Mzee hadi mto lumemo
Deo unatisha
Am in love with you deo
Hands Up!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapana nimecheka hadi machozi
Deo we kiboko