Nawaona mtanga comedy na team yako, mnaenjoy na upepo mwanana wa mikes beach cottages, bahari imetulia, samaki kwa wingi, haya wasalimieni wa ushongo mtoni. 07.12.22.
Beach za kiBongo na mambele tofauti sana mambele watu wapo free ata nguo zna hewa Bongo sasa mtu anasuti hahaha kama yupo officen hahaha sema burudani iendelee.....et
Ktk comedy these are best, while Joti nae ni Noma xnaaaaa
Hio hotel nitakuja In Shaa Allah nimeipenda sana na nitahakikisha nitakuwa na nyinyi
I started watching this channel from the very first begging.i have seen it growing and am wishing all the best to Mtanga and Bambo,👍
Thank you very much for your kind
Ila bambo bwana nimefurahi kukuona upo na dada angu napajua mike ❤❤❤
Ayaaaa, Ayaah kaondoka kwani au kaenda chooni
Wooow nice one
Noma sana 🔥🔥🔥🔥
Yp yp nimekubali upepo mwanana😂😄🤣😅👍🇰🇪
kaukimwi kanaua🤣🤣🤣
Nawaona mtanga comedy na team yako, mnaenjoy na upepo mwanana wa mikes beach cottages, bahari imetulia, samaki kwa wingi, haya wasalimieni wa ushongo mtoni. 07.12.22.
Hahaha tuko pamoja dada wa dunia ,tunakupenda god bless you
@@mtangacomedy Amina. 💕
Hivi iko wapi
Yaani juzi nimemkuta na mtu mwiingine na Leo na mwingine,maskini dada wa watu anakufa sasa
Nimefurahi sana dada yangu anajua kuigiza tena yupo serious 🧐
Mtanga hameharibu 😀😀😀😀😀
Tutakuja kutoka ubeligiji Belgium 🇹🇿❤️🤝❤️❤️mike beach kottages tutakuja Tu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sawa
Kifo kwa mbuyu😅😅
Gharama zake zikoje hapo? Mazingira nimeyapenda
kazi nzur
Bambo mi uongeaji wako tu 😁😁😁😁😁😁
Au kaenda chooni
Bambo kajiachia na desree mtanga kaja kuvuruga .
Wew mtanga usipoangalia utamuua bambo unavomfanyia sio fresh
Hahaha ,anaharibu kila bambo akiokota dodo lake
Imetulia sana mzee wangu kila hatua dua @ rama changare jr
Hahahahaha aaaaaaaaaa Duuuu mtanga umeharibu
Much love
Ukimwi ukimwi ukimwi ukimwi ukimwi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kaaribu mambo huyu jamaaa
Saf m
Bamboo Eti kunaitwaje🤣🤣🤣
Mtanga ordinary Sanaa
😆😆😆😆 nimecheka jaman mim mtanga Ni shida kaamua kuropoka
Hapa kenya tunasema umechoma
Daah jamaa kachomoa betry 🤣🤣🤣😂🤣😂😂😂🤣🤣😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaan bambo we ni mkorofi sana
Wekeni namba za simu tuwapigie ,tujue gharama kabla ya kufika wengine tupo mbali tutakuja vipi moja kwa moja ,pia siwaoni kwenye mitandao
Kuna watu ukiwaletea hizo Unaziba pengo mwenyewe
Wekeni na namba za simu za hapo hotelini tuwapigie
Kubwa kuliko 😂😂😂😂😂
Nyie mnajua wazeee.....nawatakia heri ya mwaka mpya....daah nime cheka wallah.....😂😂😂 mtanga jau....😐😐
Hahaaaa mtanga mshenzi sana hahahaaaaaa
We mtanga una matatzo kwel et kuna kajitu aka🤣
😂
😂😂 mwanangu wa kuchomoa betri
😂😂😂 Bambo leo umekuwa pasta
Mtanga wewe 😀😀😀😀
Hapa po! kuna kajitu hapa.......
Beach za kiBongo na mambele tofauti sana mambele watu wapo free ata nguo zna hewa Bongo sasa mtu anasuti hahaha kama yupo officen hahaha sema burudani iendelee.....et
Mtanga utaniua na kicheko🤣🤣
Mtanga jaman wapigia watu kelele kwenye staree zao😅😅😅😅😅😅😅jaman
Kwa hio kameondoka kalee
Amechomoa waya
Kaz mnaiweza ndugu zangu MUNGU awabalik na aibalik kaz yenu
Hhh ati karibo
Jamn
Nawapenda mpaka kihama jamani ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️😂😂😂😂😂😂😂😂😂🥰🥰🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mtanga kivuruge😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunakupenda pia karibu sana
Yaani unakuwa na Dada mzuri halafu humurumii,
Kifo nje nje, kaukimwi kaukimwi,
Kwa hiyo kaondoka kale au kaenda chooni?
Unamkatili sana bamboo mtanga
Mtanga umeshindikana
Iyo beach ⛱️ ipo sehem Gani
Pangani
Ukimwi ukimwi kanaua🤣🤣
Ka ukimwi ukimwi kanauwaaaa
Very funny 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kaukimwi×3, kanauwaa×3
😂😂😂 Mtanga yaani ati hawajakuelewa hao
Unamruhusu shetani kuingilia mahaba yetu🤣🤣
Mmasai nae eti masingila
Mtanga kafanya unafiki mkubwa saaaaana
Yaani kama unanijijua mgonjwa kwaniini hukai na ugonjwa wako unausambaza kwa wemgine
😅😅😅😅😅
Faya kweli
Haaaah!!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
,, 😂😂😂
😂😂😂 Mtanga yaani wewe kiboko huku kwetu tunaita Kitsapi watu kama wewe
Hahahahaha
Kuna movie Moja hivi inaiwatwa smigo kama mtanga
🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mtanga🤣🤣
😅😅
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣mbavu Zangu jamani daaah
🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅😅mtanga ww
Zungumzia mambo yako pembene 🤣🤣🤣 afu we kavu sana....bamboo
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂