Nilikutarajia sana kakaangu km utasema umeacha mziki sababu ya kumuhofu MUNGU kumbe ni sababu binafsi Ingekua uliacha kwa sababu ya MUNGU kwakweli ungekua shujaa Sana na darsa kubwa Sana kwa jamii yetu na MUNGU asingeliutupa kabisa ujira wako. Ila badilisha nia kaka unufaike Leo duniani na akhera
Nawasoma vyema from Qatar
Alihaji goya mpambanaji Allah amjaliye riski ya halali
Good aliy haji goya big up.
Aloo ile channel yako ya Pemba TV imeishia wapi mbona upo huku tena?
Nilikutarajia sana kakaangu km utasema umeacha mziki sababu ya kumuhofu MUNGU kumbe ni sababu binafsi
Ingekua uliacha kwa sababu ya MUNGU kwakweli ungekua shujaa Sana na darsa kubwa Sana kwa jamii yetu na MUNGU asingeliutupa kabisa ujira wako. Ila badilisha nia kaka unufaike Leo duniani na akhera
Daaa mzee Alhajj upo sw kwl kwl Unatuelimisha kbsa
Atoe japo mashairi tu
Tulimmi na bdo tunammis mana tunahitaji yale maneno ili tuyaishi
ht zaaman znz haijufanikiwa kwenye.mziki ndio mn wanaama znz kuja dar nandio wasanii hufanikiwa naukweli huo alosema alhaj elimu na ujuaji
Kama aliishi kidogo kenya. Ana lafudhi ya kikenya kwa mbaaali
Zanzibar
Mpka sasa Bado umkali