Wazungumzaji kwa lugha wanayotumia wanaonesha wazi hawaongei na mtanzania wa kawaida mkulima wa mpunga huku kwetu sengerema, Watumie kiswahili moja kwa moja sio kuchanganya lugha ili waonekane wajuzi sana, Kuna watu wa chini uku kabisa wanao chukulia mtu akichanganya lugha kama hao wazungumzaji ni matapeli, Liangalie hilo pia Asante,
Wazungumzaji kwa lugha wanayotumia wanaonesha wazi hawaongei na mtanzania wa kawaida mkulima wa mpunga huku kwetu sengerema,
Watumie kiswahili moja kwa moja sio kuchanganya lugha ili waonekane wajuzi sana,
Kuna watu wa chini uku kabisa wanao chukulia mtu akichanganya lugha kama hao wazungumzaji ni matapeli,
Liangalie hilo pia
Asante,
Jamn jarbun kutoa speach kwa kiswahl suio wasom wanamilik hii mtandao alaf msomi analipwa tu hamilik pesa wal uhur wa kifdha hawan
habari ningependa kushiliki kwa semina nyingine plz naomba kufaham talatibu zake . asanten
Ongea lugha1tu