ANGALIA HII KABLA YA KUANZA KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA MITI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 มี.ค. 2021
  • Kilimo cha miti ni fursa nzuri sana ya kuwekeza hapa nchini kwetu. Kuna bidhaa nyingi ambazo zinategemea kilimo cha miti hivyo upatikanaji wa soko sio changamto kubwa. Ni vyema kwa kila mtu ambaye angependa kujikita kwenye biashara hii kupata elimu ya kutosha juu yake ili kujiandaa na changamoto mbali mbali ambazo zinaweza kutokea.
    Video hii inakupa tu maelezo ya awali na experience yangu katika biashara hii. Ni vyema ukaendelea kupata elimu zaidi kupitia taasisi kama Tanzania Forestry Society, Wizara ya Maliasili na Utalii nk.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 42

  • @antonysimba
    @antonysimba 11 หลายเดือนก่อน +4

    Aki umesema vitu mob poa. Amongst them, "lazima mistakes; usipo make mistakes you'll never learn" !
    Asante kwa advice zote.

  • @francismlelwa5766
    @francismlelwa5766 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante kwa Maarifa unayotoa.Be blessed.

  • @joniajohn4716
    @joniajohn4716 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante brother

  • @eliakanyika8440
    @eliakanyika8440 3 ปีที่แล้ว +2

    Semin ipo vizuri Kaka Edmund

  • @peteralexis7351
    @peteralexis7351 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kaka uxhindile napafam sana pamoja na kitete,ugala na mgororo kwenye mashamba ya miti

  • @ramadhanikiiza4820
    @ramadhanikiiza4820 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana kk umetupa madini

  • @petronillajosephat91
    @petronillajosephat91 ปีที่แล้ว

    Asante Kwa somo zuri.kwa upande wa mtwara miti gan inafaa kupandwa Kwa ukanda huu

    • @salummasoud2567
      @salummasoud2567 5 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kupanda miti ya mitiki

  • @billyrique
    @billyrique 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera kwa somo zuri sanaa. HApa hujapanda kama mitiki yenye bei kubwa sana. Ni hatari sana.

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa. Wewe umepanda Mitiki?

    • @emanuermbata8745
      @emanuermbata8745 3 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa somo zuri ila naomba nisaidie namba ambayo ninaweza kupata miche midogo ili niweze kupanda

    • @emanuermbata8745
      @emanuermbata8745 3 ปีที่แล้ว

      0686 361 757

    • @wilsonmpollo1613
      @wilsonmpollo1613 2 ปีที่แล้ว

      Mitiki Ina pesa Sana naomba nijibu

    • @enocknaftar2202
      @enocknaftar2202 2 ปีที่แล้ว

      @@EdmundMunyagi kazi nzuri naomba namba yako

  • @palokuthereza2555
    @palokuthereza2555 3 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations Edmund

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  3 ปีที่แล้ว

      Thank you Paloku.... 🙏🏿

  • @mohamedameir9016
    @mohamedameir9016 3 ปีที่แล้ว +1

    Super

  • @asmanisaid8271
    @asmanisaid8271 3 ปีที่แล้ว +1

    👌🤝🤝

  • @maveaimee3111
    @maveaimee3111 3 ปีที่แล้ว +1

    💪💪💪💪💪

  • @salumkhamis7818
    @salumkhamis7818 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba ya simu nahitaji kupanda MITI kwenye shamba langu

  • @juliusjohn9453
    @juliusjohn9453 2 ปีที่แล้ว

    Edmund, kwenye bond unapataje pato zaidi ya mwisho inapoiva

  • @lynalyna3968
    @lynalyna3968 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi Nina shamba la miti kaka Ed,Sehemu moja inaitwa igeleke

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  2 ปีที่แล้ว +1

      Ohhh okay. Basi tuwasiliane zaidi. 0755518289

    • @lynalyna3968
      @lynalyna3968 2 ปีที่แล้ว

      @@EdmundMunyagi poa kaka nachukua no yko nakuchk whatsp

  • @lovenessmushendwa1230
    @lovenessmushendwa1230 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilazma huko??
    Mm nina shamba bagamoyo

  • @georginahokororo847
    @georginahokororo847 2 ปีที่แล้ว +1

    Samahani naomba kupata mawasiliano ya hao uliosema kuwa wana vitalu vyenye miche mizuri

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  2 ปีที่แล้ว

      0753 544 044 mpigie huyu anaitwa Gregory.

    • @georginahokororo847
      @georginahokororo847 2 ปีที่แล้ว +1

      @@EdmundMunyagi Asante sana kaka

    • @georginahokororo847
      @georginahokororo847 2 ปีที่แล้ว

      @@EdmundMunyagi Gregory ana pines pekee,naweza pata mwenye mitiki?

  • @josephmoses2469
    @josephmoses2469 ปีที่แล้ว

    BROO MM NIPO KWENYE KUPANDA MITI NIMEPENDA HIYO PROJECT NATAKA NIJUE UMBALI WA KUPANDA NI MITA NGAP NZULI KWA UPANDAJI PAINI NA KALATUSI

  • @mahijamikael3652
    @mahijamikael3652 ปีที่แล้ว

    Nashamba la mtiki natafuta mununuz

  • @bigchancesmallchance1958
    @bigchancesmallchance1958 2 ปีที่แล้ว +4

    Habari yako mkuu?
    naomba namba yako nina maongezi private?

  • @beatricemrisho8431
    @beatricemrisho8431 ปีที่แล้ว

    Kaka naomba phone number yako nina mpango wa kufanya hiyo business nahitaji ushauri tu.. Thanks

  • @JamalASaid
    @JamalASaid 3 ปีที่แล้ว +1

    Mie ningependa kujua kama una group lolote la social media....

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa sasa group lililopo limejaa but tutaendelea kujuzana.

    • @alihassansorikushey1414
      @alihassansorikushey1414 2 ปีที่แล้ว +1

      Mm ningependa hio investment ila nipo kenya ingewezeka hata kuvuka border nipo tayari nimependa somo lako Shukran sanaaaa kaka kuna namba yoyote ya mawasiliano please?

  • @GraceTinda
    @GraceTinda ปีที่แล้ว +1

    Kaka naomba mawasiliano...