KUOA MKE ANA MIMBA YA HARAMU/ZINAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 211

  • @halimaramadhan2975
    @halimaramadhan2975 5 ปีที่แล้ว +25

    Subhanallah hapa kuna mtian mkubwa sheikh hii manda uwe ukiongelea sana manake haya matatizo ni mengi sana na watu hawana elimu mwenyezi Mungu atuongoze

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 5 ปีที่แล้ว +7

    Subhhanaallah huu ni mitihani Sana sheikh wangu kwa watu tusiokua na Elim mwenyezi mungu atuongoze amin

  • @paulonkwabi8748
    @paulonkwabi8748 4 ปีที่แล้ว +2

    Yupo sahihi na akisemacho nawala hajakosea msema kweli mpnz wa mungu Allah amzishie azidi tupa elim na ss tunaangalie atujaalie tuweze elewa nakuyatekeleza na atusamehe sote amini.amin inshaallah

  • @ahlamharoub1130
    @ahlamharoub1130 4 ปีที่แล้ว +3

    Mtihani Allah atupe mwisho mwema na kutuhifadhi

  • @emmykibanga591
    @emmykibanga591 5 ปีที่แล้ว +2

    Yaani nimeishiwa na maneno hapa kunamsiba mkubwa wallah. Asante sana shk kwa darsa Allah akuweke inshallah

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 5 ปีที่แล้ว +11

    LA hawla wala quwata illah billah nimsiba MKUBWA upo katika ummat MUHAMMAD S.A W lnna Lillahi WA inna ilayhi raji'uni! 😭

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 5 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah kheir sheikh wangu upo vizuri sana asiekuelewa asikize kwa makini. Allah akuhifadhi leo na kesho 🤝

  • @afric01
    @afric01 4 ปีที่แล้ว +1

    Aslm alkm wtw Shukran sanaaa Sheikh, kwa mawaidha mazuri.

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 5 ปีที่แล้ว +5

    Innalilai wainnaraj huu ndio mcba uloingia mungu atuidie na vzazi vyetu pia wanawake liwe funzo kama mtu awezi kuja kuona wazee wko akafata taratibu za ndowa bac muche alo mwema mungu atakuletea tujizuiwe wanawake tushijimbembeshe dhima hili zto insha'Allah

  • @sismnfamily3426
    @sismnfamily3426 5 ปีที่แล้ว +13

    Wallahi elimu ni Bahar! Kama hujui utasema sheikh ana wazimu lakini ndio elimu hii.

    • @salmasaidi2875
      @salmasaidi2875 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisaaa

    • @sismnfamily3426
      @sismnfamily3426 5 ปีที่แล้ว

      @John Kuma whats your point? Kama sijakuelewa ivo!

    • @sismnfamily3426
      @sismnfamily3426 5 ปีที่แล้ว

      @John Kuma you think equality is a universal thing? Halafu kila mtu ana mfumo wake, another thing why would want to force something on the others. The last time i checked is called dictatorship.

    • @aminajuma5664
      @aminajuma5664 4 ปีที่แล้ว

      Kwel kabixa

    • @fatuuibrahim8812
      @fatuuibrahim8812 4 ปีที่แล้ว

      Yap kwly kabsa

  • @TanzaniOman
    @TanzaniOman 4 ปีที่แล้ว +2

    😮 jaman bas diamond hana mtoto ata moja 😅😅😅😅

    • @bukhanmohd456
      @bukhanmohd456 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa...Allah s.w amuongoze ila yule ni kubwa la wazinifu tanzania maana anazini halafu anatangaza mitandaoni kua kazini

  • @rhodameyo3242
    @rhodameyo3242 5 ปีที่แล้ว +3

    Asalam Aleikum warahmatullahi wabarakatuh.kulingana na hili aya la Quran, inaharamisha mtu kumuoa mtoto wake wa kambo. Ikiwa huyo ni mtoto wako wa kambo, utamuoa vipi na Quran yenyewe yakataza? An-Nisa' 4:23
    Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

    • @saidinammenje644
      @saidinammenje644 5 ปีที่แล้ว +1

      Najma Shaban hongera sana UKHT najma Allah akujaze kheri ya dunia na akhera kwa kuweka sawa jambo hili hapa ni hakika SHEIKH ulimi umemtangulia ila hofu yangu ni kwawatumiaji wa hii mitandao walio wengi hubeba tu kila kitu maadam kimesemwa na sheikh hawachuji na ushahidi wa hilo ni hizo coment hapo chini wengi wanasifia tu. Kwakweli Allah atuongoze na wasemaji wetu waongeze umakini sana kwani chochote watakachokitamka wajue siku hizi hakifutiki daima kwa ajili ya hii mitandao

    • @safiaabubakar1120
      @safiaabubakar1120 5 ปีที่แล้ว

      Sawa kabisa hii aya na tafsiri iko sawa Alhamdulillah

    • @abdab8466
      @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

      @@safiaabubakar1120 na mbona ulikua ukisema mi ni sikufuru

    • @abdab8466
      @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

      @@safiaabubakar1120 huyu ustaadh izzuddin watu wakianza kucheka hujisahau ati kula yeye

    • @suleimankhamis4540
      @suleimankhamis4540 2 ปีที่แล้ว +2

      huyu aliyezungumzia sheikh si mtoto wa kambo aliye halali kumuoa sikiliza vizuri

  • @issahabib1979
    @issahabib1979 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH akuzidishie elimu,,, shukran

  • @mwanamisigulu2401
    @mwanamisigulu2401 5 ปีที่แล้ว +5

    Shukran sheikh kwa kutuelimisha.Jazaaka Allah kheir

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 ปีที่แล้ว +1

    Je mwanamke huyo huyo Anaujauzito Halali kumuowa na mimba yake ikiwa tumboni?? Mana Huwa twaambiwa mtu Akiolewa na ujauzito ndowa haiswihi Bali mpaka Ajifungue ndio Aolewe je hapa pamekaaje??

  • @hawraymuncw9893
    @hawraymuncw9893 5 ปีที่แล้ว +1

    Pia tufahamu kwamba yule mwanamke alikiri kwamba kazini na niyeye hivyo hawezi yeye kukiri kwa haki ya mwingine bali itahitajia mashahidi bc hajakiri kwani inawezekana anasingiziwa,pia kupata mimba kwa mwanamke hata kama hajafunga ndoa haimaanishi kazini,inawezekana kabakwa nk au kaingiliwa kwa shubuha.

  • @hawraymuncw9893
    @hawraymuncw9893 5 ปีที่แล้ว +3

    Leo wanawake wangekuwa wakitiwa mimba hatuangali aliyemtia wanawake wangetia adabu wasingejiachia.

  • @showfive4413
    @showfive4413 5 ปีที่แล้ว +6

    KAMA HUJUI KITU KASOME KWANZA NDIO UCOMMET NA KAMA HUJAELEWA RUDIA TENA KUSKILIZA NDIO UCOMMENT. 40% YA WALIOCOMMENT VILAZA

  • @fatmaswaleh1462
    @fatmaswaleh1462 5 ปีที่แล้ว

    Alhamdullillah Kwa mada hii shukrani sana ustadh

  • @SaidAbdallah-sm1ft
    @SaidAbdallah-sm1ft ปีที่แล้ว

    Mwalim kakosea sanaaaaaa mtihani wallahi

  • @nasranassor2333
    @nasranassor2333 5 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah hahahhaa sheikh nimecheka mimba amejitia mwenyewe

    • @MohammedAli-up6cu
      @MohammedAli-up6cu 5 ปีที่แล้ว

      Dadangu Nasra Nassor,hukumuelewa sheikh,,,yeye alisema mimba haina mwenyewe,hakusema haina mtiaji,,,Uislam unatofautiana na mila zawatu,mazowea yao au makubaliano yao n.k,,,mtoto wa zinaa anabaki nimtoto wa mama pekee ktk kummiliki,kwasababu uhusiano wa mtiaji mimba namtoto aliepatikana,nisawa na mali aliyonayo mwizi baada yakuiba,,kile alichoiba anacho au anakimiliki lkn sio halali yake,,,Huo ndio utaratibu wa sharia ktk uislamu,,,namna yoyote nyengine tofauti na hiyo,itakua nimaoni,mazowea au makubaliano,lkn sio sharia...Uislam hauruhusu maoni au makubaliano baada ya fatwa ya sharia.nihivyo ndugu yangu.

    • @aminajumaa9876
      @aminajumaa9876 3 ปีที่แล้ว

      @@MohammedAli-up6cu mimi nime muelewa huyu shek lakini mengine ame nichanganya yani mama azini na huyo mwanaume mpaka mimba alufu mtoto aje aolewe na huyo huyo ale zini na mama mpaka mimba sasa wa tuchanganya kuna shek mmoja ali sema haifai japo haku muowa mamake lakini mimba ime tokana na yeye ile nikama damu yake ime changia japo mtoto ni wa mama sasa sijuwi ni muelewe yupi

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 3 ปีที่แล้ว

      @@aminajumaa9876 nijambo ambalo linahitilafu,imam shafi amesema haisihi kumuowa

    • @darajanida
      @darajanida 2 หลายเดือนก่อน

      dada ngu dini haitaki ushabiki sasa kama mimba ina mwenyewe na ikizaliwa itakuwa ina mwenyewe au

  • @paulonkwabi8748
    @paulonkwabi8748 4 ปีที่แล้ว

    Asalaam alykum ndugu zangu waislam jamani watu ambao mnamkosoa ostazi kusema amekosea acheni mwenyezi hapendi dharau mkitaka yafateni amtaki hacheni kweni kukaa kimya ni vizuri zaidi kuliko kuongea jambo usilolijua cisifa ya mchamungu busara na khekma nisilaa ya mwanadamu yeye anamuogopa Allah ndomaana anatuelimisha kwakheri na ss tupokee mawaidha yake kama umeona amekosea nyamaza kimya au mwambie kwa hekma kweni binadamu sote tunakosea inshaallah nilie mkera atanisamehe shukrani

  • @ashaaboubaker2091
    @ashaaboubaker2091 3 ปีที่แล้ว

    Asalam Aleykum. Je inajuzu kumuoa mjukuu wa dada yako?

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh Mimi Nataka Ufafanuzi Hii Mimba Inakuwa ya Kharamu au ya Zinaa Maana Tuliskia Kwamba Mtu Anaweza Kuwa Ni Mkeo Lakini Ukila Chakula Kilicho Kharamu Na Akapatikana Mtoto Nidio Huwa Mwana Haramu Jee Ukweli Ni Upi ?????

  • @azizamohamed6205
    @azizamohamed6205 5 ปีที่แล้ว

    Aslm Alkm. Jee nikaa ya pita ukimuowa mwanamke mwenye ujauzito wako.

  • @dulaseif5001
    @dulaseif5001 4 ปีที่แล้ว +1

    Wallah kujua hukmu raha sana

  • @MoshiYahya-o3k
    @MoshiYahya-o3k ปีที่แล้ว

    Kasema m makosa kumuowa mwanamke mwenyemimba ya halali labda aliolewa akafiwa na mumewake akamuacha anamimba,ila yauzinifu nihalali kumuuowa hatakama anamimba kwasababu haina mwenyewe

  • @Heroes122
    @Heroes122 6 หลายเดือนก่อน

    Je kama umempa mwanamke mimba kabla ya ndoa kisha ukamuo. Je huyo mtoto ni HARAMU hutomuozesha kama baba yake?

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 3 ปีที่แล้ว

    Du! Sheikh wengi wamelaaniwa kwa mpito huo,

  • @SaidAbdallah-sm1ft
    @SaidAbdallah-sm1ft ปีที่แล้ว

    Doh mwalim fatua yako sisahihi mwanamke mwenye mimba sisahihi kuolewa mpaka ajifunguwe

    • @darajanida
      @darajanida 2 หลายเดือนก่อน

      lete dalili ya hilo

    • @SaidAbdallah-sm1ft
      @SaidAbdallah-sm1ft 2 หลายเดือนก่อน

      واولات الأحمال اجلهن أن يضعن حملهن​@@darajanida

    • @SaidAbdallah-sm1ft
      @SaidAbdallah-sm1ft 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@darajanidalete na wewe dalili ya kujuzisha fahamu sh wako hajataja dalili Zaid ya khif za wanawachuoni na khilaf sio dalili
      الخلاف ليس بدليل
      مصادر التشريع ٤
      ١-الكتاب.يعني القرآن
      ٢-السنة الصحيحة الثابتة عن رسول الله صلى الله عليه وسلم
      ٣-الإجماع
      ٤-والقياس الصحيح

  • @omarnzeyimana1973
    @omarnzeyimana1973 5 ปีที่แล้ว

    Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh, sheikh ninamengi yakujua kutoka kwako naomba namba zako

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  5 ปีที่แล้ว +1

      +254772611120

    • @dulaseif5001
      @dulaseif5001 4 ปีที่แล้ว

      @@IzudinAlwyDin maasha Allah allah baariq

  • @ArafaMtumwa
    @ArafaMtumwa 3 หลายเดือนก่อน

    Shehe msiba mzito huu

  • @aminajuma5664
    @aminajuma5664 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaa Allah tusamh waja wko na utujalie mwisho ulio mwema

  • @kindact1860
    @kindact1860 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah sheikh izudin in masjid Taubah

    • @bandiraissack6290
      @bandiraissack6290 5 ปีที่แล้ว

      Masjid taubah iko wapi

    • @kindact1860
      @kindact1860 5 ปีที่แล้ว +1

      @@bandiraissack6290 iko Tana river ..odha

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 5 ปีที่แล้ว

    Shukran Shekhe

  • @mkkitchenware4930
    @mkkitchenware4930 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii fatwa ni baaatil hiyo hdith shee rud kuisom upya alikua Ana kusudia nini haifai mwanamke mweny mimb kuolewa Sawa iwe ya halal au ya haram mpak aizae hiyo mimb

    • @asiahaji5081
      @asiahaji5081 4 ปีที่แล้ว +1

      Kaka nadhani kwa ufahamu wako ni kweli baatil lakini kwa ufahamu wake huyu mzungumzaji sio baatil. Na huyu pia amesoma kama wewe kaka. Wala huwezi kutoa maneno ya moja kwa moja kua ni baatil maana hata wewe ukija kutoa hiyo maana unayoijua kuna watu watasema fatwa yako ni baatil. Jee unadhani utafanyaje na watu wameshakukatalia fatwa yako?

  • @joharimarijani6031
    @joharimarijani6031 5 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo huyu anakuwa amejitia mwenyewe mimba au anakuwa mtoto wa jiwe, mbona aya inasema mzinifu mwanaume na mzinifu mwanamke wate wapigwe bakora? Hapo Ust. Nilpi kosa la mtoto hadi asihudumiwe? Wakati sheria inasema haruhusiwi kumrithi huyu baba bali huyu baba anatakiwa kumpa haki ya elimu, kumjea hata nyumba ila tu hatomrithi atakapokufa.

  • @hawraymuncw9893
    @hawraymuncw9893 5 ปีที่แล้ว

    Kiuhalisia ni kwamba mtoto yule ni wako na sio wa mwingine ila kisheria hanasibishwi na mwanaume wala mwanamke hivyo atakosa haki za mtoto wa ndoa ambazo ni wajibu kwa baba kama matunzo na urithi pia hatarithi.
    Lakini baada ya kumtia mimba kama ndoa ni sahihi na mimi nahalalisha tendo itakuwa vipi ni haramu na sio mtoto wangu kiasi ipelekee halali hiyo kuwa haramu?

  • @khalfanomar7665
    @khalfanomar7665 5 ปีที่แล้ว

    Upo sahihi shekh

  • @ahmadinhonejaad5733
    @ahmadinhonejaad5733 5 ปีที่แล้ว

    Maaa Shaaa Allah ...shykh letuuuu

  • @soumiatanzania8093
    @soumiatanzania8093 4 ปีที่แล้ว

    Je ni haki mwanamke kumpa mahar mwanamme ili amuowe ?

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 5 ปีที่แล้ว +3

    Mambo ya ndoa wenda tutilia mambo ya mahindi wapi na wapu

    • @habibtalib5100
      @habibtalib5100 5 ปีที่แล้ว

      apo ametumia قياس

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 5 ปีที่แล้ว

      @@habibtalib5100 qiyas haitumiki hivo kama anavofananisha swa

  • @nurisahim7898
    @nurisahim7898 5 ปีที่แล้ว +2

    ndoa ya mwanamke mwenye mimba ina swihi ila kwa sharti watakapoowana wasiingiliane mpaka mwanamke ajifungue wakiingiliana tu ndoa itakuwa batili mpaka wafunge upya

    • @saidbanga
      @saidbanga 5 ปีที่แล้ว +1

      Hii yako mpya ASA lengo LA kuoa litakuwa nini

    • @halisiherbalandnaturalremedies
      @halisiherbalandnaturalremedies 5 ปีที่แล้ว

      Nuri Sahim ushahidi plz?

    • @dazuujuma1211
      @dazuujuma1211 5 ปีที่แล้ว

      Ili ndoa ikamilike basi maingiliano lazima yawepo ama nakosea?? Na kama nikweli lengo litàfikiwa

    • @asiahaji5081
      @asiahaji5081 4 ปีที่แล้ว

      Kwa kauli ya nani? Mwanachuoni gani?

  • @bridgetm.vincent9368
    @bridgetm.vincent9368 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna mimba isio na mwenyewe ila wengi wanakimbia majukumu

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaani kusema katiwa mimba ni kosa sijawahi sikia ni mpya si kweli

  • @salamahamadisudi1912
    @salamahamadisudi1912 5 ปีที่แล้ว

    Je akijifunguwa yuwa faa kuolewa na huyo mtoto wake?

  • @ibrahimracho4203
    @ibrahimracho4203 4 ปีที่แล้ว

    kwa sababu mimba iwe na mwenyewe au isiwe na mwenyewe lazima atakaa eda

  • @abdab8466
    @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

    Haya alafu waambiwa unalaaniwa ukijinasibisha na mtu asiyekuhusu alafu tena waambiwa ukiwa una mke alafu huyo mke akazini akapata mimba basi huyo mtoto si wa yule aliezini nae itakuwa ni wako wewe mume maskini babu jinga uliechengwa na maradona

  • @hawraymuncw9893
    @hawraymuncw9893 5 ปีที่แล้ว +1

    Pia shekh hilo sio shamba la mwingine kwani yeye ndo mwenyewe japo sio kisheria na kilichokusudiwa katika hadithi uliyosoma laba shamba lililopatikana kwa halali bc mwenyewe anajulikana.

    • @IsmailIsmail-yf6cr
      @IsmailIsmail-yf6cr 5 ปีที่แล้ว

      Je wewe unauoni gani? Hebu tugaiye faida kidogo juu ya kadhia hii.

    • @hawraymuncw9893
      @hawraymuncw9893 5 ปีที่แล้ว

      @@IsmailIsmail-yf6crtunaposema inajuzu kuoa nilazima tuwe na dalili au kanunu kuu tuirejee,na hivyo hivyo kuharamisha kwake endapo tendo la ndoa litatendeka likaifanya ndoa hiyo kuwa ni batili, sasa ikiwa ndoa ni halali kufunga na ikapita then tukasema haijuzu kumuingilia mkewe mpaka ajifukuwe sivyo itabatilika hapo ndio kuna ishikali kwani inawezekana hadithi hiyo ya kunyeeshea kama alivyotolea ushahidi shekh ikawa kusudio lake ni ile mimba ya ndoa ya mtu mwingine ( kadari mutayaqan) au ya mtu mwingine aliyezini kisha mwingine akataka kuoa hali ya kuwa mimba hiyo sio yake butlaqa ( sio kwa zinaa wala ndoa) hivyo tukikubaliana kwamba ndoa ni sahihi na tukasema haijuzu umuingilia mpaka azae tunaweza kusema kwamba watapata dhambi tu ( huruma taklifya ) na sio kubatilika kwa ndoa yao ( hukum wadhwii)

    • @hawraymuncw9893
      @hawraymuncw9893 5 ปีที่แล้ว

      Hivyo uharamu huo hauwezi kubatilisha ndoa hiyo,sivyo basi tuna hitajia dalili inayosema ndoa hiyo itabatilika,na hapo baada ya hukumu kwamba ndoa hiyo ni sahihi basi tutafaya istis-habu ( endapo tutashuu) hivyo ndoa itabaki kuwa ni sahihi.

  • @abdab8466
    @abdab8466 5 ปีที่แล้ว +1

    Ustaadh huku ni kupoteza watu sasa

    • @joharimarijani6031
      @joharimarijani6031 5 ปีที่แล้ว

      Kabisa tena ni hatari ikiwa huyu baba hatamuhudumia huyu mtoto kwa kisingizio cha shekh kasema na mama akawa hana uwezo ni dhahiri jamii ya kiislaam itakuwa na watoto wengi wa mitaani na vibaka wengi, watika mtoto hana kosa, kama ingekuwa mtoto huyu hafai kwa kiwango hicho basi Allah angeamrishwa wauwawe, lkn wanapewa haki zote za ki bin adamu hata hakika anafanyiwa.

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh, kuna fatwa ilitolewa inapingana na fatawa yako, sheikh alisema baba akikiri kuwa ile mimba ya zinaa ni yake mtoto anakuwa ni wake na haki zote mtoto atastahiki kupewa ikiwa ni pamoja na kurithi. Hebu lifanyie utafiti hili uje na majibu kuntu.

  • @atrairaiba9393
    @atrairaiba9393 5 ปีที่แล้ว

    Mbon mm nckia mwnmke kuolewa n mimba n ndoa y zinaaa

  • @hawraymuncw9893
    @hawraymuncw9893 5 ปีที่แล้ว +1

    Haifai kumuoa mtoto wako wazinaa wamesema baadhi ya wanazuoni na imamu shafii amejuzisha hilo akisema kwamba aliyeharamishwa ni mtoto wa ndoa ( wa kisheria)

    • @husseinmwenda381
      @husseinmwenda381 5 ปีที่แล้ว +1

      Tafta msikit nawe utoe fatua

    • @hawraymuncw9893
      @hawraymuncw9893 5 ปีที่แล้ว +1

      Jibu kielimu tu ndo taratibu ya wasomi sio kwa maneno hayo,watu wafaidike ndugu.@@husseinmwenda381

    • @dotdots7868
      @dotdots7868 5 ปีที่แล้ว +1

      Mimi ni hanafi na hakuna kitu kama hicho mtoto ni wako,bali tu ni wazinaa

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 5 ปีที่แล้ว +1

    Haifai kumuoa mwanamke mwenye mimba

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh usipotoshe

  • @abdab8466
    @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

    Ustaadh yuapenda kukatikiwa na fatwa mtu hafai hata kutumia logic

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 4 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH ALEIK

  • @suleimanjumamaulid879
    @suleimanjumamaulid879 5 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo shekhe itapopita hukum ya mzinifu mwamme haitomuhusu sababu hawezi kunasibiswa na mimba ya mzinifu mwenzie

    • @hasaniathumani2414
      @hasaniathumani2414 3 ปีที่แล้ว

      Hukumu itapita ya uzinifu kwamba wote wamezini na si hukumu ya mimba

  • @khalidiabdallah1362
    @khalidiabdallah1362 5 ปีที่แล้ว

    Nimemuelewa kama hukuelewa rudia usikie vzr na ongeza volume usikie utamielewa

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 3 ปีที่แล้ว

    Kama akiwa kambaka je

  • @liymarjrbintaqii379
    @liymarjrbintaqii379 5 ปีที่แล้ว

    Mtihan kiukwl maan ndo tunayo kwny kitaa ytu.

  • @abdab8466
    @abdab8466 5 ปีที่แล้ว +3

    Utasemaje ni makosa mwanamume kuadhibiwa na amezini

    • @habibtalib5100
      @habibtalib5100 5 ปีที่แล้ว

      Ndio ni makosa kuadhibiwa mpaka akakiri mwenyewe auu waende mashahidi wanaokubaliwa kisheria hapo ndipo itapta hukmu

    • @abdab8466
      @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

      @@habibtalib5100 ndio hapo ushajijibu

    • @abdab8466
      @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

      Mwanzo nnani atakubali yeye ndio amefanya na anajua kuna fimbo mia

    • @abdab8466
      @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

      Alafu Hao mashahidi wa kukubalika kwani hao watakao zini ni kuku watajizinia tu peupe

    • @abdab8466
      @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

      Kwa hivo jamanini tujaribuni sana logic itumike sana wakati kukitolewa fatwa

  • @kingkibedui5091
    @kingkibedui5091 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh ongea kitu kinacho eleweka mifano mingiiiii sema kama haifai au lah?

    • @MohammedAli-up6cu
      @MohammedAli-up6cu 5 ปีที่แล้ว

      Tatizo umemsikiliza sheikh tayari unamsimamo wako,lau sio hivyo sheikh anaeleweka nn kazungumza,,,msikilize vizuri na uache msimamo,sikiliza sharia inasema nn.

  • @allymilungo9321
    @allymilungo9321 5 ปีที่แล้ว

    Je yafaa mtoto kumuuliza mam ake baba ninan?

    • @habibtalib5100
      @habibtalib5100 5 ปีที่แล้ว +1

      mtto anaweza kumuulza na mama mtu atamjibu kua huna baba والله أعلم

    • @MalikMalik-wq1fe
      @MalikMalik-wq1fe 5 ปีที่แล้ว

      Sheikh Wangu yuko sawa

  • @abdab8466
    @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

    Sasa hafai kuhukumiwa azzani wa zzania

  • @salimsaliim5221
    @salimsaliim5221 4 ปีที่แล้ว

    Usipochoe nena kweli

  • @abdikarimabdullahi500
    @abdikarimabdullahi500 4 ปีที่แล้ว

    Subhanallah

  • @iskhaqabdallah1590
    @iskhaqabdallah1590 4 ปีที่แล้ว

    Tumogompeni mungu

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh usidanganye

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 5 ปีที่แล้ว

      @John Kuma hilo jina lako libadilishe ni matusi unaitwa JOHN hilo neno la mbele ni matusi

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 5 ปีที่แล้ว

      @@fatmasalim4424 jmn labda kwa kabila yake c matusi 😂😂

  • @masasionlinetv1825
    @masasionlinetv1825 5 ปีที่แล้ว

    nimekuelewa

  • @ibrahimracho4203
    @ibrahimracho4203 4 ปีที่แล้ว

    lakini vp sio huyo mwanamke yuko kwenye eda ya mimba na Allah سبحانه وتعالى anasema na mwanamke mwenye mimba eda yake ni mpaka ajifungue sasa vp mwanamke aolewe ndani ya eda

  • @fatuuibrahim8812
    @fatuuibrahim8812 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @abdab8466
    @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

    Na mwenyezimu amesema wapi waeza kumuoa

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 4 ปีที่แล้ว

      Nikweli Quruani na imesema mtoto wa zinaa umuowe ,Ila wanazuoni wakaikataa mpaka Leo imekataliwa haiwezekani mama na mtoto watafune carrot moja ngumu sana

    • @abdab8466
      @abdab8466 4 ปีที่แล้ว

      @@julihanjosephyjs6361 imesema wapi umuoe mtoto wa zina kwenye Quran

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 4 ปีที่แล้ว

      Abdallah abud mashekhe ndugu wanatuubilia sisi maamuma

    • @abdab8466
      @abdab8466 4 ปีที่แล้ว

      @@julihanjosephyjs6361 we umesema iko kwenye Quran hukusema sheik amesema iko kwenye Quran mbali na kuwa ni maamuma umepewa akili upambanunue

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 4 ปีที่แล้ว

      Mimi nipo pamoja na wanazuoni ambazo wamekataa na haifai kumuoa mwanao,japo nje ya ndoa lakini mimba ya mume yule siko na kusema ndio inafaa hapana kaka Dula

  • @georgeobare6289
    @georgeobare6289 5 ปีที่แล้ว

    Wisdom

  • @abdab8466
    @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

    Msipoteze watu jamanini

    • @sajidseif9473
      @sajidseif9473 5 ปีที่แล้ว

      Unapinga sheikh inamaana

    • @abdab8466
      @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

      @@sajidseif9473
      Napinga kwani hawezi kukosa

    • @abdab8466
      @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

      Kama ni rahisi kusema kula yeye kwanini asiseme jamani naona tuifanye haifai si ni ulamaa

    • @issakawaya8315
      @issakawaya8315 4 ปีที่แล้ว

      Kharam haiwezi kua khalali

  • @ahmadazubeir5112
    @ahmadazubeir5112 5 ปีที่แล้ว

    "Aberra" mwana wa kambo

  • @bakarifyeku9016
    @bakarifyeku9016 5 ปีที่แล้ว

    Shehe unataka kuhamasisha zinaa hiyo dini ya aina gani

    • @habibtalib5100
      @habibtalib5100 5 ปีที่แล้ว

      Kivipi ana hamasisha zinaa

    • @abdab8466
      @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

      @@habibtalib5100 manake haifai kuuliza mimba ni ya nani na kama kuna wadogo zake huyo mwanamke na wao hawatochelea kupata mimba na ikiwa mwanamume hafai kuuliziwa ama kuadhibiwa basi atazini tena atie mimba manake ni umbea ukiuliza mimba ni ya nani

    • @abdab8466
      @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

      @@habibtalib5100 mafundisho duni kabisa

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 5 ปีที่แล้ว +2

    MASHALLAH ALEIK

  • @hawraymuncw9893
    @hawraymuncw9893 5 ปีที่แล้ว

    Mimba ni yake bt ni ya zinaa tu

    • @IsmailIsmail-yf6cr
      @IsmailIsmail-yf6cr 5 ปีที่แล้ว

      Je kitachozaliwa ni chake au ni cha nani? Tugaiye faida kidogo.

    • @hawraymuncw9893
      @hawraymuncw9893 5 ปีที่แล้ว

      @@IsmailIsmail-yf6cr Kilugha na kihali ya kawida yeye ndiye amepiga na kambebesha mimba huyo mtoto leo ukamuuliza tu yeyote anakambia ni yk lakini Sheria imekuja kumteremsha mtoto huyo ya kwamba sio mwanae kisheria tu ( tuelewane hapo ) na ndio maana wanazuoni katika kumuoa binti wa zinaa kwa baba yake wametofautiana kwamba yafaa au la ( wako waliosema yafaa na wengine wakakata hilo)

    • @hawraymuncw9893
      @hawraymuncw9893 5 ปีที่แล้ว

      @@IsmailIsmail-yf6cr na suala sio wa kwake au la bali ni kulingana na hukumu za kisheria zinazomkabili baba juu ya mtoto huyo mfano: maisha ya mtoto huyo kuwa chini yake ( nafaka) urithi nk ( hatomrithi mzazi ) na hata kwa mama yake ndo hivyo,sasa utakataa kwamba sio mtoto wa huyo mama ?

  • @dotdots7868
    @dotdots7868 5 ปีที่แล้ว +1

    Apana sheik mafundisho yako mengine yanaudhi mtu hawezi oa mtoto wake manii yake damu yake sema ni wazina but kumuoaa,Nope,where in the quran is that,quote the quran sio hadithi zilizotungwa na watu,vitu haziingi kichwani,pliz,funny kind of islam hii ni sect gani hii,ya waislamu.

    • @showfive4413
      @showfive4413 5 ปีที่แล้ว +2

      Kasome

    • @hashimalsaadat4905
      @hashimalsaadat4905 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwa Uislam Kuna hukmu za kilugha na kisheria Hilo kwanza ulijue Na ndio utafaham nini Maana ya .

    • @iddydaruwesh8650
      @iddydaruwesh8650 5 ปีที่แล้ว

      Huyo ni sheikh ajuwa anachosema yupo sahihi

    • @nooromar6233
      @nooromar6233 5 ปีที่แล้ว

      Kama hujui maana basi usiseme mngu hapendi haramu ame halalisha ndoa so kwa nini kufanya haramu uislam ni nadhifu ime kataza haramu

    • @Safinatulshifaa
      @Safinatulshifaa 5 ปีที่แล้ว +1

      Ndio Dini inavyosema na kumuia ndio msisitizo ili msizae nje

  • @mkkitchenware4930
    @mkkitchenware4930 5 ปีที่แล้ว

    Ni kaul ya Allah na mtume wake

    • @ibinalycharamanda1172
      @ibinalycharamanda1172 5 ปีที่แล้ว

      Nawewe Dada mnatakiwa msome acheni kuburuza huyo sio huyo shekhe wenu anatanguliza matamanio ya nafsi yake kabla tafsiri sahihi huyo ni mpotoshaji amche ALLAH kwasababu anupoteza umma na atulizwa

    • @ibinalycharamanda1172
      @ibinalycharamanda1172 5 ปีที่แล้ว

      Huyo anasoma lamu na waliosoma lamu wote tabia zao tunazijua

    • @MalikMalik-wq1fe
      @MalikMalik-wq1fe 5 ปีที่แล้ว

      Ww ally charamanda wacha izo mbona unazarau

  • @karibubongo-tv636
    @karibubongo-tv636 5 ปีที่แล้ว

    Inakuhusu th-cam.com/video/EE_rtnzP-ys/w-d-xo.html

  • @halisiherbalandnaturalremedies
    @halisiherbalandnaturalremedies 5 ปีที่แล้ว

    Mambumbumbu yanashangilia kupotezwa na huyu shekh anayejiongelea kwa mapenzi yake mwenyewe. ama kweli dini imevamiwa, kukosa elimu ni mtihani mkubwa

    • @habibtalib5100
      @habibtalib5100 5 ปีที่แล้ว

      Kivipi xaxa mm cjaelew

    • @komboali8203
      @komboali8203 5 ปีที่แล้ว

      Kvp toa iyo elimu yako na ww, cc wengne tuwackilizaji tu

    • @joharimarijani6031
      @joharimarijani6031 5 ปีที่แล้ว +1

      Wakati yule mama alikwenda kwa mtume inasemekana alipigwa mawe hadi kufa wakati hiyo ni adhabu ya mtu aliyewahi kuoa au kuolewa, pia mtume aliamua yule mtoto abaki na nani ikiwa hana baba? Na mbona Mwenyezi Mungu ni akimu muadilifu iweje sasa kosa wafabye wote adhabu nzito imshukie mmoja ya kulea mtoto maisha yake yote? Na kwa mawaidha haya vijana watafanya wengi maana mpaka hapo hawana hukumu yeyote. Ya Allah tujaalie tuweze kuiona haki.

    • @joharimarijani6031
      @joharimarijani6031 5 ปีที่แล้ว

      Inaonyesha mama yetu Hawa ndo alimshawishi nabii Adam kufanya kosa lkn wote walilaaniwa na Adam ndo alikuwa wa kwanza kuomba msamaha kwa Allah, huku sasa inakuwa vipi?

    • @ibinalycharamanda1172
      @ibinalycharamanda1172 5 ปีที่แล้ว

      هذا رجل يقدم تأويل قبل التفسير وهذا الأ مر منع منا فالتق الله يا من تقال أنك شيخ

  • @islamictv3684
    @islamictv3684 3 ปีที่แล้ว

    999

  • @abdab8466
    @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

    Tafuta wewe elimu maulamaa wangapi wamepinga kumuoa mtoto wako wa haramu

  • @abdab8466
    @abdab8466 5 ปีที่แล้ว +1

    Makosa mtu utamuoaje mtoto wako hata kama ni wa haramu si ni manii yako

    • @IsmailIsmail-yf6cr
      @IsmailIsmail-yf6cr 5 ปีที่แล้ว +1

      Tafuta elimu kwanza ndipo ukoment! Allah ameliweka hili kwa hekima maalum, hivyo fanya jitihada ya kusoma kwanza utaelewa ni kwanini ataweza kumuoa mtoto aliyemzalisha mwanamke wa nje ya ndoa. Wallahu A'alam.

    • @sajidseif9473
      @sajidseif9473 5 ปีที่แล้ว +1

      Ikiwa unalichukia suala LA kumuowa Mtoto wako Wa zinaa Basi kwanza uichukie zinaa zaidi usifanye

    • @abdab8466
      @abdab8466 5 ปีที่แล้ว

      Tafuta wewe elimu

    • @abdab8466
      @abdab8466 5 ปีที่แล้ว +1

      Ni elimu ya vp ya mtu kulala na damu yako hata kama ni wa haramu kwani umekosa wanawake wa kuoa upuzi tu

    • @dotdots7868
      @dotdots7868 5 ปีที่แล้ว +1

      Huyu sheik anamafundisho weird pia minakataana na yeye,