JINSI YA KUTATUA TATIZO LA NO SIGNAL KWENYE KING'AMUZI CHA AZAM TV. Bila fundi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • The decoder displays the channel number but the TV is blank.
    Reboot your decoder. If the problem persist, press Menu, go to search and press OK. On Auto Search, press OK twice to re-scan all the channels again.

ความคิดเห็น • 36

  • @LarryEvarist-xn6jh
    @LarryEvarist-xn6jh 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa kweli nashukuru sana umesaidia mno na pongezi kwenu kwa watu wenye shida hii kwa kweli fwata maelekezo na kingamuzi chako kitawaka freshi mim in lawrence na hii kitu kinasaidia san

  • @ndayizeyenusla5935
    @ndayizeyenusla5935 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka asante kwa kweri nimefanikiwa kuzirejesha big up saana,from 🇧🇮

  • @HalimaSaleh-cl5hn
    @HalimaSaleh-cl5hn ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka hakika tunajifunza kupiti nyinyi mung awe nanyi tuzidi kujifunza

  • @Flora-fg1jq
    @Flora-fg1jq 4 หลายเดือนก่อน

    Thank you so Much it worked

  • @khalidshafi6571
    @khalidshafi6571 6 หลายเดือนก่อน

    Big up sanaa Chanel zimerudi zote aisee ubarikiwe sana

  • @prof.abusakelsaleh3524
    @prof.abusakelsaleh3524 ปีที่แล้ว +2

    Vipi kama nimebonyeza menyu,ila hainipi matokeo yoyote

  • @EnaSaid
    @EnaSaid 3 หลายเดือนก่อน +1

    King,amuzi changu, kinasema pleaseinsertthe smartcard nifnyje?

    • @nintabou3275
      @nintabou3275 2 หลายเดือนก่อน

      Towa card hakikisha umeyweka vizur

  • @GivenLwidiko
    @GivenLwidiko 6 หลายเดือนก่อน

    Mko powa saan

  • @mussampeyama6795
    @mussampeyama6795 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mm naomba namba yako ya CM nina jambo

  • @khalidshafi6571
    @khalidshafi6571 6 หลายเดือนก่อน

    Nashkuru sanaa jamanii Yani nimehangaika mpaka nimeweza hilii tatizo lilikua linanikera I hope haitaharibika tenaa

  • @fatimaussene1010
    @fatimaussene1010 6 หลายเดือนก่อน

    Msaada cha kwangu kinaganda ganda sana niko mozambuque shida nini scrach nyingi ata akina raha aa

  • @Giant349
    @Giant349 ปีที่แล้ว +1

    King'amuzi changu hakiwaki kaka mkubwa msaada 🙌

    • @NASHEED_254
      @NASHEED_254 11 หลายเดือนก่อน

      Umekitia maji au Kuna waya flani hukuweka vizuri

    • @Giant349
      @Giant349 11 หลายเดือนก่อน

      @@NASHEED_254 decoder haiwaki lakn ni mpya kabisa

  • @NASHEED_254
    @NASHEED_254 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mungu akubariki

    • @nicodemusmwasi8152
      @nicodemusmwasi8152 8 หลายเดือนก่อน

      Nimefanya unavyoelekeza ila bado kinaonyesha no channel

  • @sharifadudu-d4v
    @sharifadudu-d4v 2 หลายเดือนก่อน

    jamani toka ni nunue juzi hadi leo hakioneahi chochote chaneli zaj aukifungua wanakataa shida nini mi mgeni nisaidieni

  • @TeresiaMrosso
    @TeresiaMrosso 4 หลายเดือนก่อน

    Nimeshindw kbc kurekebisha

  • @maryamjaphet7175
    @maryamjaphet7175 4 หลายเดือนก่อน

    Nitumien namba za ofisin kwao

  • @jacklinebahath174
    @jacklinebahath174 ปีที่แล้ว

    Hizo steps bila shaka ni Kwa wenye dish,Mimi Nina antenna sijasaidika.maana hizo procedures zote hazipo

  • @ZamoyoniSalanga
    @ZamoyoniSalanga หลายเดือนก่อน

    Wenye vingamuzi vyeusi mqmbo tafauti

  • @SharifaOmary-lm1xc
    @SharifaOmary-lm1xc 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka habar

  • @EnaSaid
    @EnaSaid 3 หลายเดือนก่อน

    Mbna majibu! Halafu mbna kinaonesha gizahakina mwanga , nielkeze, na ona hakina hta matumaini kma kitaonesha nikuona tamthilia, nisadieni ,wafnyakazi wte kwa ujumla,nitakosa rha mmi leo, maana nimemiss kiukweli npo myuma michezo sijaiona ktmbo, tokea nimeacha Fikret,

  • @SHAHARANMOHAMMEDMKAMBA-dw3rn
    @SHAHARANMOHAMMEDMKAMBA-dw3rn ปีที่แล้ว

    Nimejaribu kuset inakataa Ila kwangu Kuna 7c niganyaje

  • @mentndebeto3817
    @mentndebeto3817 4 หลายเดือนก่อน

    Mbnaaa nashindwa kusave

  • @OmbeniNgulwa-jc4jm
    @OmbeniNgulwa-jc4jm 6 หลายเดือนก่อน

    Me sina remote aisee

  • @EnaSaid
    @EnaSaid 3 หลายเดือนก่อน

    Mbna majibu!

  • @NasriaKhamis
    @NasriaKhamis 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona ya kwangu Ina 7c na 7 b nafanyaje haikubali

  • @EdwardMwaipopo-j4z
    @EdwardMwaipopo-j4z ปีที่แล้ว

    Aiwaki

  • @allysalehe1912
    @allysalehe1912 4 หลายเดือนก่อน

    namimi pia naomba msahada king'amuzi changu kinaandika smart card is expired

    • @nintabou3275
      @nintabou3275 2 หลายเดือนก่อน

      Nunua vochaa zingin

  • @SarhaYuzo
    @SarhaYuzo 5 หลายเดือนก่อน

    Na km kingamuzi kimeandika RPP

  • @oscarmgeradinukauangaze1130
    @oscarmgeradinukauangaze1130 ปีที่แล้ว

    Ume eleweka na sisi tulifundishwa vivyo hivyo

  • @EnaSaid
    @EnaSaid 3 หลายเดือนก่อน

    Mbna majibu! Halafu mbna kinaonesha gizahakina mwanga , nielkeze, na ona hakina hta matumaini kma kitaonesha nikuona tamthilia, nisadieni ,wafnyakazi wte kwa ujumla,nitakosa rha mmi leo, maana nimemiss kiukweli npo myuma michezo sijaiona ktmbo, tokea nimeacha Fikret,