I still love this choir, the message is driven deep in heart.This Album dunia imechafuka carries a lot of anointing and it's a life changing album. I still love how they sang message songs. I can play these kind of gospel songs over and over and never get tires of them.
Who with me here 2023🥰
2024 still listening
Bado ni wimbo bora mpaka sasa❤🔥
Nini kimetokea watumishi wa Mungu mmebadili aina ya uimbaji? Bring back this kind of songs please
Nyimbo hii inakumbusha siku natoka Kitunda kwenda Kimanzichana, nilipiga hadi nafika huko Kimanzichana umbali KM 115, ilinifariji sana” Big up
⁰0
Wimbo huu unanikumbusha kipindi nilichokuwa nawatembelea rafiki zangu Martin na Chausiku nyumbani kwao, enzi hizo nilikuwa nasoma sekondari 🙏🙏🙏
Natamani viongozi wa kwaya hii wapate Japo mda kidogo wa kuitamza Album hii, You are too morden currently, Please rudini kwenye asili yenu
Kweli kabisa
Kabisa yaaninkama ulikuwa moyonieanhu, kiukweli sibarikiwi na uimbaji wa sasa hauna utukufu kabisa. hii ndo ilikuwa Neema
@@davinadaniel2794 Wamehama kabisa kwenye asili yao, mie nyimbo zao mpya wala sina mda nazo
🎉njema sana
Nawapenda
Wimbo unanikumbusha mbali sana wakat huo mama angu mzazi amefariki ndo ulikuwa ukipigwa kila wakati pale msiban 😢😢😢
Umenikumbusha Masumbwe kipindi napiga ruti za kasulu kahama wakati nauza maharage full Bata
Wimbo mzuri sana una nguvu ya roho mtakatifu, mbarikiwe watumishi.
Ok
Kazi hii ni nzuri sana
Enzi hizo Niko dalasa lanne nakumbuka tunangalia hii nyombo kwenye vibanda umiza kingilio sh50 da maisha yanaenda kasi sana
Umenikumbusha MBL sana huu wimbo oooh baba yangu alikuwa anauimba jmn ntakukumbuka daima baba yng najua umelala
Bnamuona marehemu kanumba😢😢
Remember legend Steven Charles kanumba
The Gitaa man... I remember the song from my childhood. Rest in peace my grandpa. He used to buy batteries for radio cassette
Daah R.I.p kanumba alikuwa kwenye hii kwaya
Nyimbo nzuri sana
Kitambo sana
Bado nawapenda
Good churrch
Inanikumbusha umri wa utoto wangu
nabalikiwa xana na wimbo huuh unanibaliki xana kila Ninapo uxikiliza balikiwa xana
Nawakubali mpaka leo
Nyimbo nzur sana
Bring back the old the Memories.....This Choir was Lit ever since.
Mbarikiwe nyote.
Uwongo si Kitu chema kweli
I still love this choir, the message is driven deep in heart.This Album dunia imechafuka carries a lot of anointing and it's a life changing album. I still love how they sang message songs. I can play these kind of gospel songs over and over and never get tires of them.
This song reminds me when my grandma was the only person in the village having a Compact Disk Player
My best song
Nyimbo bora sana kuwahi kutokea
Napenda Sana kusikilizawimb huuu, mungu awabrk Sana watumish wa mungu
Wimbo hauchuji huuu mzur mnoo
amen brethren
Amen,, mbarikiwe sana
Nabarikiwa sana na wimbo huu
October 2021 like tujuane 💞
I really love this song todate 2020🤲🙏
A very nice song, bringing back those beautiful memories... mbarikiwe sana
Lots and lots of memories
2021/15/7 stil watching & listen
Ameen
Wahenga mpoooo
Very good song
Mubalikiwe sana
Amen and Amen
Nyimbo ilitamba sana, kuna nyingine inaimbwa Ondoa shaka kabisa kabisa, wewe ulobeba mizigo Mungu ameshayaona mateso uliyonayo
nimjaribu mie kuzitafuta hazipatikani mfan, si ninyi mlionichagua bali mimi niliyewachagua, zinakuja tu temporary temporary
@@stephenkalidush5446 yes hiyo pia
@@stephenkalidush5446lakini hiyo Si ninyi inapatikana nimeiona andika vizuri utaiona
Amen 🙏🙏
Nakumbuka mbali Sana
✋
Kitambo Sana
Nov 2022 🔥
I have like the song
Aminaa
2022🔥
Hii ndo ilikuwa Neema gospel siyo bhana
Munalikiwe san
Hii Kwaya Inanikumbusha tukiwa kijijini Lububu na Familia yang Da Jocye Kigatta watoto wake hakika tulikuwa tunapenda kusikiliza kila Iitwapo leo🙏
Amina
Na mimi nasema ubora wa zamani sio kama wa leo. Mungu awabaliki. Amen
2020
Karibu tena 2021, ukausikilize wimbo huu" uongo" by neema gosple
@@neemadaniel5954 Kanumba sijamuona lakini humo