Mawaidha na Bi Msafwari |Mbona ndoa za siku hizi hazidumu?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 468

  • @halimaalex5295
    @halimaalex5295 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah jazzakallah kheri inshaallah Allah awajalie zaid nimefurai sana mawaidha mazur mashaallah nimependa san

    • @florencejames501
      @florencejames501 3 ปีที่แล้ว

      Halima naomba naomba yako ya VODA mm saidi

    • @halimaalex5295
      @halimaalex5295 3 ปีที่แล้ว

      @@florencejames501 saidi mgani tena jaman

  • @winnieodhiambo3511
    @winnieodhiambo3511 5 ปีที่แล้ว +7

    Well explained. Sasa nimejua tofauti ya kupendwa na kutakwa.asanteni.

    • @maxwellking9399
      @maxwellking9399 4 ปีที่แล้ว

      Sasa wee Winnie niambie... mimi unanipenda au Unanitaka:-)?

  • @amahorohusna9670
    @amahorohusna9670 5 ปีที่แล้ว +20

    Shukran sana
    Tunapata faida sana kutoka kwenu,big up sana Rashid..
    Sheikh Allah akujaze kheir

    • @zulekhasaidmohamed4043
      @zulekhasaidmohamed4043 4 ปีที่แล้ว +2

      Rashid
      Huyokaka kakamwegine ninamuelewa sana laiti nigempata ninamaswali nataka kumuuliza namuamini asema kweli

    • @koudrashabani9674
      @koudrashabani9674 4 ปีที่แล้ว

      Mwenyezimungu Awanusuru

  • @egidiusrwebuga6222
    @egidiusrwebuga6222 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimependa sana hiki kipindi kinafaa kabisa kufanyika katika vyuo vyetu live na vijana wakapewa wasaa wa kuuliza maswali. Big up sana

  • @dicksonmkokota4966
    @dicksonmkokota4966 3 ปีที่แล้ว +4

    Mm ni Mtanzania! Hongera Sana kipindi ni kizuri na kina maudhui mazuri wazee fanyeni kazi zenu/funzeni Mungu anawaona

  • @Babygirl_S
    @Babygirl_S 5 ปีที่แล้ว +13

    Basically an educated, financially stable woman who stands for herself is a problem for the man. Those times are over. Women are not your prisoners anymore. Accommodate the modern woman's needs, ideas because clearly things are not the same anymore. Let women progress without demeaning them.

    • @abufidu
      @abufidu 5 ปีที่แล้ว +3

      All the hosts of the show are in total agreement with what you are saying. This is why marriages don't last these days, things are not the same anymore. Probably "women's lib" and successful marriage are mutually exclusive. We just can not have both.

    • @chachamarwa1913
      @chachamarwa1913 4 ปีที่แล้ว

      Bi msafwari nakuliuza swali je mimi nimeoa kwako mfano avu wewe do chanzo cha kutenganisha ndoa yangu mke wangu nami hamna shida nitafanyaje ili uachene na Mke wangu ?

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 ปีที่แล้ว +3

    Wanawake wengi wanaolewa wakiwa na tabia njema sana ila huko kwenye ndoa wanavurugwa wanadharauliwa sana na wao wanaota mapembe yanawashinda wanapambana

    • @marthajuma8411
      @marthajuma8411 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani ulichoongea kiko sawa kabisa,hata mm mwenyewe niliolewa nikiwa na tabia nzuri sana lakini saiv acha tu nibadilike Hamna namna

  • @elyseerugonderakrely738
    @elyseerugonderakrely738 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunawafwata 100/100 mimi na mke wangu Cécile. À santé kwa mashauri yenu

  • @jojoba2633
    @jojoba2633 3 ปีที่แล้ว +1

    Bi Mswafwari na squad yako, nashukuru kwa mawaidha yenu mazuri,yanajenga mno mungu awabariki na mzidi kutupa mambo mema ya uheri

  • @farhanaomar1177
    @farhanaomar1177 3 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni sana nilikuwa namtafuta sana hiyo shekhe kuna CD niisikia ya aina ya.wanawake xjui 7nk nilicheka mno moja ya hao wanawake no yule ambae akiona.wageni huanzisha kixhwa kinauma au no hao wa kichwani,na.mwingine.akiensa sehemu na mumewe utasikia ha on a friji lao kubwaa sio kama letu jmn

  • @rosekesina7871
    @rosekesina7871 หลายเดือนก่อน

    Thank you for your help

  • @elizabethdaud6446
    @elizabethdaud6446 3 ปีที่แล้ว +2

    Nkweli ndoa hazdumu nyakat hiz sana nkwasababu unakuta mwanaume amezoea kuwa na wanawake wengi tofaut tofaut rangi, shape n.k kwahyo kudumu na mmoja ningumu sana, naitwa lizbeth

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 2 ปีที่แล้ว +1

    If I ever walk down the aisle I will walk out period I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine

  • @lizikiabdallah3054
    @lizikiabdallah3054 3 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @ameenajumah7335
    @ameenajumah7335 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh tumekupata swafisana nice advice .Nakupenda sheikh kwaajili yake Allah .

  • @mahmudmustafa8588
    @mahmudmustafa8588 3 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh Allah akuzidishie zaidi

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 2 ปีที่แล้ว +1

    Personal responsibility begins with myself Steve Irungu Jermaine

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 2 ปีที่แล้ว +1

    Marriage went to the intestive care unit ie ICU I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 ปีที่แล้ว

    Mm naona chanzo n kukosa hekima na busara na hofu ya Mungu na maadili ya kiafrika zaidi.

  • @hdeegithinji2191
    @hdeegithinji2191 3 ปีที่แล้ว +1

    I came here today and this is just pure wisdom💯💯🙌🙌both religion and philosophies meet ... Those with ears let them hear, listen and understand💯🙌

    • @johnnsenga5079
      @johnnsenga5079 3 ปีที่แล้ว

      Nimelewa sana maada

    • @agnessjohn1222
      @agnessjohn1222 3 ปีที่แล้ว

      Wangu ukimtesa natoa avumilie mwisho auwawe saizi wanaume niwakatli wanaua wanawake zamani kulikua na ukandamizaji sio ndoa walikua wanalazimishwa kuolewa kwa nguvu

  • @sunyareh
    @sunyareh 5 ปีที่แล้ว +5

    Wanawake wa siku hizi imani imewsisha heshima hakuna upendo ndo kabisa imekufa. Kazi tunayo si mchezo kuoa miaka hii. Ee mungu tusaidie

  • @lesashigeneral9213
    @lesashigeneral9213 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli Mwanamke akidisha urembo ule ubora wa shunguli zakifamilia utapungua :
    -kufuga kucha ndefu,kwenda kuoshwa miguusaluni, kujipodoa kupita kiasi nk. Huyu maranyingi atakua anamtegemea binti wa kazi.
    Sasa tayari anaanza kua mlemavu.
    Kumbe umemuoa mwanamke mlemavu ambae hata hawezi kunawa mwenyawe.

  • @furahamwakalukwa
    @furahamwakalukwa 4 ปีที่แล้ว +1

    Siku hizi hamna ndoa ila kuna maigizo tu katika ndoa!!!Wanawake wengi wapo aftermoney kwa kipindi cha urafiki na uchumba uwa wanakuwa na heshima mno lkn ndoa ikifungwa tu ni sarakasi na kila aina ya kiburi.

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 3 ปีที่แล้ว

    Hii class ni safi sana hongereni wazee wetu nyote hapo studio maneno yenu Yapo sawa kabisaa na bila kufuata hizo tabia zenu tutafeli

  • @rajabjabu2125
    @rajabjabu2125 5 ปีที่แล้ว +21

    From tz mungu akupe umri mrefu shekhee Amir

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 ปีที่แล้ว +6

    Wanawake wa zamani waliteseka sana hawakuwa wa kuwasemea kabisa na wengi walikuwa hawafanyi kazi wanategemea waume zao ukiongea nao wamkuambia tulivumilia sana, wanawake wa sasa huwezi kuwanyanyasa wanajua kusimamia haki zao

  • @sabrinayounisaden7238
    @sabrinayounisaden7238 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashaa Allah,shiekh wangu, Allah akuhifadiye.

  • @moanasaboud4399
    @moanasaboud4399 4 ปีที่แล้ว +9

    Sheikh gonga point kuhusu mapishi
    Mashallah

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 2 ปีที่แล้ว +1

    I would rather live alone period by Steve Irungu Jermaine

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 2 ปีที่แล้ว +1

    Marriage is a voluntary union period I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine

  • @elizakituzaleyaapoline5283
    @elizakituzaleyaapoline5283 4 ปีที่แล้ว +3

    Jambo mama ubarikiwe sana kabisa upepe shauri kabisa

  • @emmanuelgathage3835
    @emmanuelgathage3835 5 ปีที่แล้ว +8

    Too much truth...

  • @hassanaloisi3643
    @hassanaloisi3643 4 ปีที่แล้ว +1

    Chikeni part pia nichanzo.Sababu kungwi uwafunza uwiz natamaa mabint.Unakuta kungwi mwenyewe anawatoto sita.Nakila mtot na babake.Mabint somen wazaz wenu wawil.Nakuxoma maandiko matakatifu.Mtaacha maisha ya utawandazj namtavumilian

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 4 ปีที่แล้ว +4

    Siyo marafiki tu mama, na famillia zinaingilia ndoa za wanao sasa wenye ndoa wakikubali, ndoa inaisha au inaishi vibaya mwanandoa wa kike anaishi kwene ndoa kwa kuvumilia

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 2 ปีที่แล้ว +1

    Marriage is like a death convict to me it's a hell NO I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 5 ปีที่แล้ว +2

    Sababu ya ndoa nyingi kuwa hazidumu { Katika Jamii ya Waislamu ] ni kwa sababu tumeacha njia aliyotufundisha Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, hasa kuhusu malezi. Vijana wakipatiwa malezi mazuri lazima yawe ya Kielimu. Na jukumu la kuelimisha vijana haliko juu ya wazazi peke yao bali Imaam ana jukumu la kuwafikishia watu wote wanaoswali Msikitini kwake ujumbe kamili wa Allah. Kwa hivyo kuhusu ndoa wanaoingia kwenye ndoa ni vijana. Ikiwa waliacha kuhudhuria vikao vya ilmu walipofikia umri wa ujana wengi utaona wanajua Kusoma Qur'an lakini ukiwauliza maana yake watasema, hatuelewi Kiarabu.Jambo la kwanza kuteremshwa katika Qur'an ni kuhsu umuhimu wa KUSOMA. Waislamu wa kwanza walikuwa ni waarabu kwa hivyo wakisoma qur'an wanaelewa, Lakini sisi wa sasa hatuwafundishi vijana wetu Kiarabu. Kwa hivyo wataweza vipi kuelewa mafundisho ya Ndoa na hali ya kuwa somo la Ndoa bado liko katika lugha ya Kiarabu? Na badala ya wazazi kuongea na Imaam ili apange masomo kwa vijana baada ya swalah na apange masomo kwa wazazi pia wamjue Allah na wajue kumuabudu na wajue malezi bora na apange masomo kwa Waslamu wapya. Hilo hakuna. Kwa hivyo ikiwa haturekebishi makosa yetu tujue kuna kujibu siku ya kiama kwa sababu Mtume amesema. Kullukum Raain wa Kullukum Mas'uulun. Ukisoma vyema hiyo Kauli ya Mtume utaona kwamba jukumu la malezi sio kazi ya wazazi peke yao. Turudini kwa Allah na tuwapatie vijana nafasi ya kujiendeleza ki masomo badala ya kuwaacha bila mawaidha wanakuwa watu wa kukaa vijiweni

  • @farahanimselem5232
    @farahanimselem5232 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndowa azidumu kwasababu maisha magumu hali mbaya mwanaume anaisia ya mapenzi njogoo akilala amki kwamwezi malamoja

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 2 ปีที่แล้ว +1

    Marriage is by choice period by Steve Irungu Jermaine

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 2 ปีที่แล้ว +2

    I'm a proud bachelor without limits period so help me God in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine

  • @hamzaabdirahman3282
    @hamzaabdirahman3282 5 ปีที่แล้ว +5

    Very great show, thanks all

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 4 ปีที่แล้ว +2

    jazzakaAllah kheri Allah awazidishie kila KHERI in Shaa Allah.... najifunz mengi san

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 3 ปีที่แล้ว

    Mimi Nimzanzibari Naishi UAE Nina Asili ya Oman Nimimi Nimependa Kipindi Nikizuri Mashaallah Mashaallah Mashaallah

  • @officialcarolyne2985
    @officialcarolyne2985 5 ปีที่แล้ว +9

    That's true I love this topic

    • @yakobolaiza1474
      @yakobolaiza1474 4 ปีที่แล้ว

      Gfmyewnczoyevsp

    • @hawamshamu303
      @hawamshamu303 3 ปีที่แล้ว

      Mimi tz nimeipenda iyo mada lakini matatizo nimengi kwenye ndoa

  • @wanjirukarago9308
    @wanjirukarago9308 4 ปีที่แล้ว +8

    The guy in green Ankara shirt hunibamba sana ...I always like his school of thought seen few of his videos .

  • @reenmakamu2278
    @reenmakamu2278 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow i love this

  • @hassanomar2708
    @hassanomar2708 3 ปีที่แล้ว +1

    Hassan Omar Dirie jag är på besök från mig själv till ett nytt sätt är på väg till jobbet så mycket jag vill ha ett nytt jobb med mig.

  • @nadirmahfoudh1812
    @nadirmahfoudh1812 3 ปีที่แล้ว +2

    Mada zuri sana masha'Allah

  • @rahmaally2775
    @rahmaally2775 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah shekhe

  • @jackiemabduswamadkimimbi8652
    @jackiemabduswamadkimimbi8652 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice topic

  • @felisternjeru9196
    @felisternjeru9196 4 ปีที่แล้ว +4

    Heshima muhimu ladies respect men

    • @dripemoji3315
      @dripemoji3315 3 ปีที่แล้ว +2

      We will respect them if they respect us

  • @valentinenasike6048
    @valentinenasike6048 4 ปีที่แล้ว +4

    Wanaume wengine ni mbwa tu Hawana huruma unamuheshimu lakini hakueshimu kwanza ukizaa mtoto woooi wanadada twapitia shida tuliumbwa kuteseka na kuvumilia

    • @vokstheboss
      @vokstheboss 4 ปีที่แล้ว

      Ni kama kuna mwanaume alikukosea

    • @valentinenasike6048
      @valentinenasike6048 4 ปีที่แล้ว

      VOKS the BOSS not really it’s happening now days

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 4 ปีที่แล้ว

      @@valentinenasike6048 mwanaume hajakuoa mulizaa nae kisa alikutamani kimapenzi na haikuwa kwa hisia ya kukupenda ndo maana lazima akutende lkini unapojieshimu na kujijua lazima utampata anae kupenda vile ulivyo ata ikitokea umezaa ndo mapenzi yanazidi.

    • @mentodimwanjale5771
      @mentodimwanjale5771 4 ปีที่แล้ว

      Kumbe nababa yako ni umbwa

    • @valentinenasike6048
      @valentinenasike6048 4 ปีที่แล้ว

      Mentodi Mwanjale nimesema wengine si wote uko na matatizo ya akili weuwe

  • @hyilnematangi768
    @hyilnematangi768 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki ndugu,nimejifundisha mengi.

  • @masilamutua5392
    @masilamutua5392 3 ปีที่แล้ว

    Wakipenda mungu na kufuata sheria zake watapendana

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 4 ปีที่แล้ว +8

    1.Usafi
    2.Maneno matamu
    3.Chakula kitamu
    4.Busara na uwajibikaji kwa mwanamke
    Hili ni limbwata tosha

    • @thegreat.9869
      @thegreat.9869 4 ปีที่แล้ว +1

      Kaka umeacha busara na uwajibikaji kwa mwanamke

    • @stephenmnkeni1949
      @stephenmnkeni1949 3 ปีที่แล้ว

      @@thegreat.9869 No

  • @abedkirway8668
    @abedkirway8668 3 ปีที่แล้ว

    Asanten sana kwa kipind kizur mm mtz nawafuatialia vizur sana

  • @iceplay18
    @iceplay18 3 ปีที่แล้ว +1

    kkk huyu sheikh vituko mleteni kila siku nimecheka sana sina mbavu

  • @orojinaledjemm1315
    @orojinaledjemm1315 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawashukulu kwamawogezi mazuli👍

  • @teresiahkiarie8440
    @teresiahkiarie8440 3 ปีที่แล้ว +1

    I have learned something, kunakupendwa na kutakwa

  • @alvinsafi2733
    @alvinsafi2733 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndoa za sikuhizi tunaangalia sana TV...tunataka kuwa fulani sababu ni maarufu au tunataka kufananisha sana ndoa zetu na jerani kaacha mkewe kwa sababu hii na wewe unaacha. Pili ni marafiki wanachangia sababu hao marafiki wengi hawajaolewa au ndoa zao zina matatizo. sasa huwe zi kufata ushauri wa mtu ambaye hajaolewa au hajui nn maana ya ndoa..ushauri utakuwa mmbovu. .tatu vishawishi vingi ndaa inachangia wanawake wengi wanataka kuolewa kwa manufaa. .

  • @zighemargaret
    @zighemargaret 5 ปีที่แล้ว +4

    Asanteni kwa mashauri yenu nimepata kitu wapendwa

    • @zighemargaret
      @zighemargaret 4 ปีที่แล้ว

      @Tumsifu Cheyo Yenyewe doa ni matunzo asante my dear

  • @munaongoeliebamongi8128
    @munaongoeliebamongi8128 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi bwana Mongi Enoch kutokea DRC na shukuru sana na Yale mawaidha kwa kweli yamenifunza sana Mungu awabariki sana

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 4 ปีที่แล้ว +14

    Huyo kaka wa nguo ya kikwembe anasema kweli. Wanaume wanapenda heshima lakini hawapendi kuheshime wake zawo

  • @dankago8668
    @dankago8668 5 ปีที่แล้ว +12

    Ni kweli mkala mume anataka heshima ndio muhimu

  • @jamilatongota5852
    @jamilatongota5852 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanaume Pia sio,umtumikie pesa umletee hizohizo atongoze akuache,kweli shekhe yooote ni kweli usemayo ila visa vya wanaume sasa ni ,nipo tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @fatmahassan8857
    @fatmahassan8857 3 ปีที่แล้ว +3

    Ukijipamba kwaajili ya mume na waume wa sasa waingia nyumbani saa 6 ucku meckp yote ina wanja vimeshafutika

  • @roseannakapalila4715
    @roseannakapalila4715 4 ปีที่แล้ว +3

    Hapana sio kweli kusema mwanamke awezi sahau bwana wa kwanza

    • @bahatijoseph8763
      @bahatijoseph8763 3 ปีที่แล้ว

      Wanawake hamuachani na mtu wako wa kwanza hilo ni kweli kabsaaa

  • @rosegatara4232
    @rosegatara4232 3 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @jacquelinerayamu3187
    @jacquelinerayamu3187 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkalla una facts Sana jamani mashallah 👍

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 2 ปีที่แล้ว +1

    Marriage is a corrupt institution I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine

  • @feisal6592
    @feisal6592 ปีที่แล้ว

    Kukitakaa kutegezaa garii lazima ulibodibide Kisha ulinyishe lakini kama gari limefantija accident pilaz panal biting itakuwa ngumuu sana

  • @deboraamos560
    @deboraamos560 4 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana

  • @aminajohn5055
    @aminajohn5055 3 ปีที่แล้ว +3

    Napenda sana mnavyoongea

  • @Jane-ie9ul
    @Jane-ie9ul 4 ปีที่แล้ว +2

    Watoto watapata mawaidha kwa nani na wazazi ndoa zao zimeharibika ama zina yumbayumba. Hao wazazi ndio wameshindwa na malezi.

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli ilo ndo maana siku izi ndoa hazidumu

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 2 ปีที่แล้ว +1

    I don't want to get married period by Steve Irungu Jermaine

  • @fatinaabdul2392
    @fatinaabdul2392 5 ปีที่แล้ว +14

    Shekh unafafana vzr sn na huyo kk aliyevaa shat la kitenge sante sn nmejifunza kitu santeni sn kwa wote

  • @oliverabraham6544
    @oliverabraham6544 3 ปีที่แล้ว

    Napenda sana mjadala wenu Mungu awaongezee siku nyingi za kuishi

    • @yonasimbo2945
      @yonasimbo2945 3 ปีที่แล้ว

      Mijadala yenu mihimu Sana tatizo kizazi cha sasa ndo shiida na sijui kama Kita sikia haya na kufuata maana hatali ila munngu asaidie haya

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 5 ปีที่แล้ว +8

    Jadhaka llah kheyra

  • @bryfrancis7879
    @bryfrancis7879 3 ปีที่แล้ว

    Me too ,hahaaaa I think Vyote vimezungumzwa lakini kikubwa ni mtu kuwa na "HOFU YA MUNGU"ndo jibu la kila kitu

  • @mohamedlacha6515
    @mohamedlacha6515 3 ปีที่แล้ว

    Ndoa hazidumu kwasababu mila na desturi zetu za Kiafrika zimepuuzwa kabisa. Fikiris wazazi wetu walidumu na ndoa zao kwa maisha yao yote. Mwanaume siku hizi haheshimiwi kabisa na wanawake shauri ya usawa
    M . Lacha
    Dsm

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake wengi wa kiislam haswa wale sio na imin ya dini wanaona kutoka nje bila kujipamba ni unyanyasaji lakini uislm unasema kweli kabisa lazima mwanamke utavunja bdoa yako kwa mapambo tako na utaachwa kwa mapambo yako wanawake tujue kujitunza ndani ya ndoa sio nje ya ndoa

  • @kassimchande4985
    @kassimchande4985 4 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe mungu akushushie rehema na akusamehe kwa Yale uliyoghafirika nayo

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah

  • @murekatetegermaine6559
    @murekatetegermaine6559 3 ปีที่แล้ว

    Ndoa kweri ni kama mlima rakini mungu razima awe msingi wa ndoa.tena razima uvumirivu uwe kwa ndoa, na siri , kuurumiana.wakati kumetokea shida razima mmoja awe na unyenyekevu .

  • @iddiseleman5556
    @iddiseleman5556 3 ปีที่แล้ว

    Hongela xana kwa mada mzuli

  • @beyoncebeyonce2737
    @beyoncebeyonce2737 5 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kabisa twafulahia sana juu ya kutufunza mengi God bless all

  • @japhetmarco4936
    @japhetmarco4936 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante mjadala Safiii

  • @aishaabdullah233
    @aishaabdullah233 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo si sababu kuna wanaume wengine wanasema wanataka mwanamke mwenye dini lkn akiiingia ndani anataka kukubadilisha uwe upto date hapo ndio munaanza mgogoro n.k

  • @stanelymuthomi8542
    @stanelymuthomi8542 4 ปีที่แล้ว

    Very educative

  • @Idafa
    @Idafa 4 ปีที่แล้ว +4

    Mbona hawa ni kama wanamlaumu tu mwanamke? Yaani kweli ndoa hazidumu na wa kulaumiwa ni mwanamke tu? Yaani hapa hawajagusa mtoto wa kiume kabisa. That is so wrong ndio maana wanawake wengine huteseka kimya kimya wakifikiria ni kosa lao..Africa kufikiria kila kitu kinachokwenda vibaya ktk nyumba ni kosa la mwanamke. Anyanyasike tu au mume awe ni mhuni na mnaona kosa ni lake mwanamke? It is about time to start to think things through in a different way.

    • @coyancodavao6891
      @coyancodavao6891 3 ปีที่แล้ว

      Mwanamke ndio source ya matatizo ktk ndoa kuliko mwanamme, mwanamke hataki kuwa chini ya mumewe anajihisi kama wako sawasawa, nafasi ya mume kwa mkewe ni karibu na nafasi ya baba kwa mtoto, wewe umekabidhiwa kwa mumeo, usijifanye uko sawa na mumeo, wanaume wanayo makosa mengi tu ktk ndoa lkn je anapokosea mumeo huwa unachukuwa hatua stahiki? Unataka ww ndio umuhukumu, ttzo la wanawake hata haki zao huwa wanazidai kinyume na utaratibu, hivi ww babaako kakukosea utamfokea au? Tunarudi palepale chanzo cha matatizo ni wanawake kwa sababu wanawanyima waume zao nafasi zao

  • @happytimes9747
    @happytimes9747 4 ปีที่แล้ว +7

    Nasikiliza sana huyu mzee ako sawa kabisa

  • @ndenitoriakimaro6090
    @ndenitoriakimaro6090 3 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU awatunze wazee wetu💥💥💥💥Nawasikiliza nikiwa Oman mascut nawapenda mno

  • @sabrialharthy7090
    @sabrialharthy7090 3 ปีที่แล้ว

    Mr. Rashid

  • @alinelumona8836
    @alinelumona8836 3 ปีที่แล้ว

    lakini yote si kweli mbona amji jitaji wenyewe hata ninyi wazazi wetu ni wabaya sana haswa upande wa wahume semeni kuwa kila mafamilia zani hali zaho wengine wamama mukwe huchangia sana kuchukia welekazi wao hata hivo si hote lkn wengi ndo walivyo utafikiri watoto wao. Watahowa madada zao lkn ajabu ya mungu si hivyo

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama hajui kupika utampikia asante sana si kumwacha, akimwacha hakumpenda

  • @salmamohamed4678
    @salmamohamed4678 3 ปีที่แล้ว

    kutokuwekana uwazi wanasababisha wanaume, maana mwanamke utamuweza wazi mumewe km amenunua kiwanja basi kuna leo nakesho atamjengea alafu atamuolea mwanamke mwengine alafu akamfukuza mke wa awali

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana MAMA na MZEE. 🤲👏💕💓

  • @godfreylaizer8371
    @godfreylaizer8371 3 ปีที่แล้ว

    Basis

  • @yusuphmdoe4987
    @yusuphmdoe4987 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana shekh

  • @margritkraeuchi8723
    @margritkraeuchi8723 3 ปีที่แล้ว

    Mm nimkenya natarajia kuingia kwa ndoa .mke wa pili.lakini ss yule mme Anita mkewangu na bado hatuja funga doa jee Bi msafwari niolewe au niwache