Tania mbaya za wanaume 1)munachuma pamoja lakini kila kitu jina lake. 2)vimada nje. 3)bakhili kila siku sina. 4)mvivu. 5)hajui kusifu chakula au uzuri. 6)akipata aongeza wa pili.
Sisi wanaume tunapenda mke akisema njoo nikupe tamuu yaani njoo tusex lakini wake wengine ni kununa tuhata njoo chumbani hakuna hee unaomba penzi Kama police raha ya mme kwa mke no penzi wanawakee padirikeniii
Mawaidha mazuri kabisa. Thanks Lulu na Rashid kwa kazi njema mnayohifaya. Huyo mama kutoka Tanzania next time ahakikishe hako na bundles za kutosha before muingie kwa mada. You guys are very informative. Most of us tunaheshimu ile kazi ambayo mnahifanya!
Mada nzuri MashaAllah. Rashid wa sisemi kitu; hakika una niwacha hoi kwa vibwagizo na misemo ya mitaani. Kipindi kiko imara isipokua amepungua mzoefu Mkala. Yupo wapi lakini? Hongereni na Mola Awahifadhi.
Bi Msafwari, Miriam na Lulu, maoni yenu mazuri sana lakini ukweli ndio hamtaki kusikiza kabisaaaaa. Hakuna dada au mwanamke yeyote upenda ukweli vile ilivyo mpaka ile wakati kumetokea uzuni ndio mnalia, heri ningeskiza wakati ule niliambiwa haya. Hakuna mwanamme upenda kuterekeza bibiye au mpenzi wake Bora afanye yale yanastahili tu. Wanaume hawana maitaji saidi ya tatu ndio kila kitu ikamilike 100% kwa ndoa. Kiburi tu, uharibu lila kitu kabisa harafu maovu mengine ufuata Mume anaitaji heshima, unyenyekevu na kutambuliwa.(Respect, submission and appreciation) basi. Hayo yooote mmeyasema kana kwamba ndio mwaitaji nyie kama wanawake yatatimia bila kuhuliza. Mwanamke yeyote anaonyesha kiburi upoteza raha na imani ya mazungumzo kwa ndoa yake Mwanamke ambaye hako na ulimi wa sumu ya nyoka (venom) ufukuza bwanaye kutoka nyumbani. Mwanamke ambaye uelezwa kitakatibu makoza yake kiza badala ya kurekebisha ununa wiki nzima ufanya bwana kukata kauri ya kutomuelezea maendeleo anafanya ya kifamilia badala yake upata hekima ya kuwaeleza jamii yake mahali amenunua ardhi au nyuma. Mwanamke ambaye upeleka mishene ya kuongelelea bwanake kwa vikundi vya hakina mama wengine uleta dhana mbaya ambayo inaeza peleka mwanamke mmoja muovu akatafute mumeo. Lakini haya yooote ni mwanamke jasili gani anaeza sikiza na akayafuata? Kama kweli mnadhania naongea uwongo tegea hapa tu mkajionea wenyewe. Waume wengi tuseme idhadi kubwa kama 80% utezeka lakini kawaida hawateti kama wanawake na hasira. Hao upata starehe kwingine.........
Hmmm,mwanamke anafaa aitwe; beb,sweet, honey....n. Bla..bla...so hii inakuwa time ya kutongosana mkifika kwa nyumba mabadhiliko yanaanza.....unaambiwa usiseme beb mum atasikia!Alah!!!
Tania mbaya za wanaume
1)munachuma pamoja lakini kila kitu jina lake.
2)vimada nje.
3)bakhili kila siku sina.
4)mvivu.
5)hajui kusifu chakula au uzuri.
6)akipata aongeza wa pili.
Uko sawa, Bi Msafwari, kutoka Tanga, Tanzania
Haa yaani Ahsanteni nyote pamoja kila mtu asimama kidete kusema ukweli kabisaaa.nimefuraia sana.
Umependeza sana Lulu Hassan💞
There're many women who never got the chance to be adviced by there mom, thank you bi. Mshafari umekua mama yetu
Sisi wanaume tunapenda mke akisema njoo nikupe tamuu yaani njoo tusex lakini wake wengine ni kununa tuhata njoo chumbani hakuna hee unaomba penzi Kama police raha ya mme kwa mke no penzi wanawakee padirikeniii
@@misheckmwambogoro5878
😂😂😂😂😂😂
@@misheckmwambogoro5878 🤣🤣🤣🤣🤣
Mawaidha mazuri kabisa. Thanks Lulu na Rashid kwa kazi njema mnayohifaya. Huyo mama kutoka Tanzania next time ahakikishe hako na bundles za kutosha before muingie kwa mada. You guys are very informative. Most of us tunaheshimu ile kazi ambayo mnahifanya!
Mungu awalip mema vipenzi,.
Hongera Sana kwenu
Mada yenu Ni nzuri Sana Tena ZAIDI
Lulu Hassan unapendeza sana na buibui ukhti
Umeona eh!
Kabisa
Swadakta
Jamani swadakta mada hii inatugusa wengi jamani wanaume wagumu balaa yeye anataka kusifiwa lakini yeye sasa Allah Akbar Mungu awaongoze
Wanaume wa 2020 ni balaaa ni khery amshirikishe rafik kila kitu
Shukurani Sana kwa mada zuri
Mada nzuri MashaAllah.
Rashid wa sisemi kitu; hakika una niwacha hoi kwa vibwagizo na misemo ya mitaani.
Kipindi kiko imara isipokua amepungua mzoefu Mkala.
Yupo wapi lakini?
Hongereni na Mola Awahifadhi.
1owieijddv
Kwel kabisa mariam
Neno nakupenda huwa wanaambiwa mchepuko tu wake wa ndoa mtasubiri sana
Wanawake wa siv wanapenda maisha yakuiga cn
Bi Msafwari, Miriam na Lulu, maoni yenu mazuri sana lakini ukweli ndio hamtaki kusikiza kabisaaaaa. Hakuna dada au mwanamke yeyote upenda ukweli vile ilivyo mpaka ile wakati kumetokea uzuni ndio mnalia, heri ningeskiza wakati ule niliambiwa haya.
Hakuna mwanamme upenda kuterekeza bibiye au mpenzi wake Bora afanye yale yanastahili tu. Wanaume hawana maitaji saidi ya tatu ndio kila kitu ikamilike 100% kwa ndoa. Kiburi tu, uharibu lila kitu kabisa harafu maovu mengine ufuata
Mume anaitaji heshima, unyenyekevu na kutambuliwa.(Respect, submission and appreciation) basi. Hayo yooote mmeyasema kana kwamba ndio mwaitaji nyie kama wanawake yatatimia bila kuhuliza.
Mwanamke yeyote anaonyesha kiburi upoteza raha na imani ya mazungumzo kwa ndoa yake
Mwanamke ambaye hako na ulimi wa sumu ya nyoka (venom) ufukuza bwanaye kutoka nyumbani.
Mwanamke ambaye uelezwa kitakatibu makoza yake kiza badala ya kurekebisha ununa wiki nzima ufanya bwana kukata kauri ya kutomuelezea maendeleo anafanya ya kifamilia badala yake upata hekima ya kuwaeleza jamii yake mahali amenunua ardhi au nyuma.
Mwanamke ambaye upeleka mishene ya kuongelelea bwanake kwa vikundi vya hakina mama wengine uleta dhana mbaya ambayo inaeza peleka mwanamke mmoja muovu akatafute mumeo.
Lakini haya yooote ni mwanamke jasili gani anaeza sikiza na akayafuata?
Kama kweli mnadhania naongea uwongo tegea hapa tu mkajionea wenyewe. Waume wengi tuseme idhadi kubwa kama 80% utezeka lakini kawaida hawateti kama wanawake na hasira. Hao upata starehe kwingine.........
Uko sahihi Bwana Rashid, niko Tanga,Tanzania
Nimependa Sana hii mada
Bi safari waongea sana patina lulu na bi tz time
Kweli kabisa
Leo moto
Nilipitwa huku jamani😂😂😂
Ni hakika kwa hayo
Hmmm,mwanamke anafaa aitwe; beb,sweet, honey....n. Bla..bla...so hii inakuwa time ya kutongosana mkifika kwa nyumba mabadhiliko yanaanza.....unaambiwa usiseme beb mum atasikia!Alah!!!
Mmmmmmh nikweli
kweli kabisa tunapitia magumu
Rashid Hadi wanaume wako na mazoeano sio wanawake tu😂
Bi msafari mpe mwenzio muda achangie maoni yake pia
Mapenzi ni glass ikivunjika n basi
Ama upate mwanaume asie penda watotowako
Hata Paulo kasema wazi wanaume ishini na wake zenu kwa akili.
Cjui aliwaza nini hapa
Wanaume vidondoa ndume
Said.mapenzi.hakuna.niheri.kila.mtu.aishi.peke.yake.bora.uwe.nakatoto.kanaweza.kukusaidia.uKiwanis.kamazing.mgonjwa.
Mimi.niheri.
Nisiolewwe.niheri.nibaki.wanaume.nimastress
Kwanin wanahojiwa wanawake tu? Ni vizuri mnahoji na wanaume. Ili kupata mawazo pande zote.
Leo ni wanaume juzi ilikuwa wanawake click the link below
Ata chupi hamna
Dff
Niko Texas napenda kipindi chenu
Bi maliam yaan hcho mnacho kisema kipo kabs nip pamoja na nyie
Rashidi anavyotetea hadi anabore
Kkkkk
Atafute yake aandikishe jina yake
😂😂😂😂 ati shamba liandike jina la mwengine wakati wewe ndo umekinunua
Rashidi tambua kuwa Kuna baadhi ya wanaume wenzio.hawajielewi kabisa nibora uwaelimishe kupitia wewe kuliko kuwatetea unaharibu
Kweli kabisa