NIMEAMBUKIZWA UKIMWI NA JIMAMA LA MIAKA 50| ALIKUWA ANANIFUNGIA NDANI NISITOKE NJE MWAKA MZIMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ค. 2022

ความคิดเห็น • 288

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  2 ปีที่แล้ว +15

    TUMA MCHANGO WAKO KUPITIA NAMBA

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 2 ปีที่แล้ว +5

    Pole ndugu yangu kuwa na ukimwi sio mwisho wa maisha ipokee hali ya tatizo lako kula vizuri kunywa maji kwa wingi na matunda fanya mazoezi haya magonjwa siyakucheka Wala kumnyanyapaa mtu nilichojifunza nikuomba mungu kutwa kucha Allah atuhifadhi na maradhi makubwa makubwa na madogo madogo

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 2 ปีที่แล้ว +9

    Anaonesha huyu kua alikua mstarabu Tena sana daa pole brother kwa mtihani Allah atakuonesha njia sahihi hiyo kwako ni Sawa na jihadi

  • @ashasharif2102
    @ashasharif2102 2 ปีที่แล้ว +13

    Pole sana mungu ndiye anaye juwa imani yako Allah atakufanyiya wepesi swali uombe mungu yote ni mitahani

  • @nooor1120
    @nooor1120 2 ปีที่แล้ว +7

    Usimtolee siri mama yako

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 ปีที่แล้ว +2

    Kuwa na uhai na mzima wa afya ni neema ya Mungu na sio ujanja wetu binadamu.... ukijiona ni mzima wa afya mshukuru Mungu!

  • @hadharaalli5201
    @hadharaalli5201 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole Kaka angu Kwa mitihan in shaa Allah mungu anakupima Imani na ukifaulu hiyo Ndio Pepo Yako Allah atakusimamia Kwa Kila hatua ya maisha kaka angu na atakuwafu pia na utapata msaada wa watanzania utatulia

  • @pilimusa3217
    @pilimusa3217 2 ปีที่แล้ว +11

    Kaka Zahir Mwenyezi akujaalie kila la kheri dunia mpaka akhera. Akupe maisha marefu uwendelee kutusaidia .Amiiin🤲😭😭😭🤣🤣

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole bwa Ashraf mung atakufanyia jambo atakupa afya utasimama kak

  • @rukaiyaahmadsuleiman3951
    @rukaiyaahmadsuleiman3951 2 ปีที่แล้ว +15

    Pole sana baba angu Allah atakufanyia wepesi kwa kila hali unayopitia inshaallah🙏🙏🙏

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole san kaka angu wa dini moja hongera kwa badili dini tunakupenda kwa ajili ya allah allah yupo nawe allah hamtupi mja wake😭😭kk mzr tu jaman mpole

  • @joharikamariza864
    @joharikamariza864 2 ปีที่แล้ว +7

    Pole sana kaka Mungu akupe shufaa kwa myaka 26 ulikuja kupata ukimwi 2012 inaonesha kama ulianza kufata na naye ukiwa na myaka 14 sizani ila pole sana M mungu akupe shifa ya mbiyo

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mchungaji Mungu amrehemu na amuongoze katika njia ya kweli Pole sana mdogo wangu Mungu mwenye haki atakupigania inshallah

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole Sana Kaka yng Allah atakufanyia wepesi inshallah kwa kila jmb

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani huo wazee hawezi kusaidia mtihani ukifa utapata nafuu akhera utapata janat fidaus ishaalah usijali mungu yupo

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah ni muweza wa kila jambo in shaa Allah utakuwa sawa

  • @festinamwakipale3919

    Ulisilimu kuabudu watu na.ndio.maana uliendelea kuzin.mwe.inauma.sana.mge

  • @saumuimeda5181
    @saumuimeda5181 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana kaka angu mungu yupo pamoja nawe atakuafu utapona tu inshaallah🙏

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 ปีที่แล้ว

    Daaa pole sana kaka,huyu kaka kwa umbali anafanana na Zahir picha za kitambo

  • @Alic665
    @Alic665 2 ปีที่แล้ว +8

    Imani yako itakuponya kaka🙏🏽