MASHAHIDI |HUYU KIJANA KAAMBUKIZWA HIV NA JIMAMA LA MIAKA 50 |TUMEMUOKOTA ANADONDOKA TU BARABARANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @pilimusa3217
    @pilimusa3217 2 ปีที่แล้ว +14

    😭😭😭😭😭😭😭😭 Ya Rabi mjaalie kaka Zahir maisha marefu aweze kutupambania tusio na uwezo. Mwenyezi Mungu wajaalie kheri waliomuokota kaka Ashraf. Amiin

  • @salmaalrawahy3326
    @salmaalrawahy3326 2 ปีที่แล้ว +3

    MashaaAllah kaka zangu Allah awazdshie moyo huohuo mulionao
    , Allah ampe shifaa kijana wetu kaka yetu ndugu yetu mtoto wetu hakika anayoptia ni makubwa sana kwakwel muhimu subra kwasbab yote ni mitihan ya Allah anatupima waja wake

  • @shainagoodrack9732
    @shainagoodrack9732 2 ปีที่แล้ว +3

    Vijana watanzania mna mioyo ya uluma, mungu atuzidishie uluma na nchi yetu itazidi kuwa na aman yaarabi wape maisha marefu vijana wako wanafanya vitu vya kukupendeza, tunakuomba Allah umponye huyu kijana

  • @twix1404
    @twix1404 2 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭 dah pole Sana mdogo wangu inasikitisha Allah atawalipa nyie vijana mlio muokkota pamoja na Zahiri

  • @rukaiyaahmadsuleiman3951
    @rukaiyaahmadsuleiman3951 2 ปีที่แล้ว +9

    Huyu bwana alovaa kikofia ameguswa sana na haya matatizo ya huyu kijana ila Allah ni muweza atamfanyia wepesi huyu kijana inshaallah🙏🙏🙏

    • @zakiakiriani2817
      @zakiakiriani2817 2 ปีที่แล้ว

      Nimechukizwa sana sana na uyu aliekoment ujinga analeta masiala kwenye uganjwa, kama upo mzima nashukulu, mungu, usimdhiaki;-)mwezio uyu kijana angekuwa anaumwa ukimwi asingejitokeza adhalani, anaitaji msaada moyo si ugonjwa laisi usiludie tena umechukizwa watu kama utaki kumsaidia acha pita usikoment ujinga

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 2 ปีที่แล้ว +2

    😢😢😢Pole mdg angu yn kuna binadamu wana roho mbaya yn bajaji kashindwa kumbeba mgonjwa ambae hana kitu 😭😭daah maisha haya pole mdg angu kuugua sio kufa utapona inshallah

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 2 ปีที่แล้ว +4

    Allah atakupa shifaa mndogowangu kufa kwa imam somwisho wa ibada 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 2 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah pole sana mungu ata kuafu inshaallah

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera vijana wema,Mungu awabariki sana

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 2 ปีที่แล้ว +7

    hongereni kwa huruma vijana

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 ปีที่แล้ว

    Pole sana mtoto mzuri Allah hakusimamie kwenye maradhi Yanayokusumbua hakika Allah yupo nawe AMEEN

  • @shainagoodrack9732
    @shainagoodrack9732 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka zahir Allah akupe maisha malefu uzid kutusaidia sis watanzania tusiokuwa na uwezo kaka zahir nakuombea dua njema kwa allah kila kukicha, akika unaokoa maisha ya watanzania wasiojiweza, yaan inasikitsha sana naandika uku machoz yakinitoka

  • @zenasaidy3168
    @zenasaidy3168 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atakusimamia kaka inshallah utakuwa sawa

  • @tato8979
    @tato8979 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kaka usikate tamaa mungu yupo pamoja nawe utakuwa sawa tu

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu simama na zahiri anasaidia sana Allah amufanyie shifaa kaka yetu apone🤲

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว

    Mashallah kijana uko na Imani munqu atakulipa ujira wenu wewe na kaka zahiri

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah atawalipa kwa kila jema in shaa Allah

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah awalipe nyiyewote mlomsaidia uyu kaka

  • @fatmanuhu1103
    @fatmanuhu1103 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimelia hadi mwisho 😭😭😭😭😭😭Allah atampa shufaa ya haraka inshaa Allah zahir Allah atakulipa kwa hichi unacho kifanya

  • @rozina2161
    @rozina2161 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli ata mm nalaumu huyo mzazi wake hata mm nilislim na cjawahitengwa na mzazi wangu

  • @hadharaalli5201
    @hadharaalli5201 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah Allah atamsimamia Kwa Kila hatua na hongera kaka zahir Kwa jitihada zako Allah atakulipa Kila laheri na Allah wajaalie heri wote watakao mchangia huyu kaka pia Naona wamefanana huyu kaka alovaa kofia kama ndugu Allah atampa shifaa in shaa Allah

  • @jokhasimba586
    @jokhasimba586 ปีที่แล้ว

    Allaah atakuponja kwauwezo wake muombe sana mungu ila uswali sana kwa kumuomba mung

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kaka angu mdogo wangu utapona mungu atakujalia tu inshaallah utakaa sawa amini kaka zahir Mtetezi wa wanyonge yeye pamoja natim yake alla awaepusha na kila lashali wape afya njema amiin

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว +4

    Ila usiwakabidhi pesa hao watu Dhahir ww unao wapeleka watu wengi Hospitali kwa hiyo pesa iingie kwenye no zako Kisha huyo kijana umuongoze ww kwenda Hospitali kama unavyowafanyia wagonjwa wengine utapeli kweli upo na hasa Hilo eneo alipodondokea

  • @Nuseybaonly
    @Nuseybaonly 2 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 หลายเดือนก่อน

    Hizo dawa
    Za ARV mbona ni Bure haziuzwi nenda hospital za serikali mwanangu Wala usiwaze mungu omba ila dawa usiache yaani ningekuwa karibu ningempeleka hospital maana ni kawaida tuu wengi wanamtumia dawa jitunze lakini hizo Hela za kununua dawa ndo nakataa haziuzwi bwana labda apewe Hela ya kujikimu ale vinzuri ndo Cha msingi

  • @pilimusa3217
    @pilimusa3217 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaka mwenye kofia kaniliza kweli 😭😭😭😭

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว +2

    Halafu tunaomba muendelezo wa mama Lailat

  • @mwanaherhussani7425
    @mwanaherhussani7425 ปีที่แล้ว

    Mkaka mzuri ndiyo basi tena 😢

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 หลายเดือนก่อน

    Cha msingi matibabi arv Bure Kinga yake itapanda usiache dawa Wala wewe siyo wa kwanza pia msaidieni aende Kwa Dr msigwa Yuko hapo dar

  • @jokhasimba586
    @jokhasimba586 ปีที่แล้ว

    Ila kuhusu dini usimchezee mung usicheze na dini hasa dini ya kiislam hii nidini ya allaah

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭

  • @user-uu9pu7wr5u
    @user-uu9pu7wr5u 2 ปีที่แล้ว

    Zaili hata kwamwaposa wanasaidiwa sn kama pesa hajatimiza watu ajalibu kweda huko hata mm nilikuwa natatizo kubwa sana niliponea huko

  • @kakakakabeka624
    @kakakakabeka624 2 ปีที่แล้ว

    Aki pole Sana broo utapona omba mungu.

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว

    Ivi ninataka niulize unapo toa nilazima uanrishe hawao usiwape pesa basi musiwachangiye maana kutoa ni moyo na sio utajiri punguzeni zana zisizo na maana na pengine hao wanao fikiriya vibaya hata mchango hawaja toa

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 2 ปีที่แล้ว +1

    Mawazo piya apunguze huenda yanachangia

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 ปีที่แล้ว

    Zahiri mpeleke hospital uhakiki

  • @zulfaomar8185
    @zulfaomar8185 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwani ivo vidonge si nibure?..

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 ปีที่แล้ว

    Huyu wa kofia ameniliza jamani 😭😭

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 2 ปีที่แล้ว

    Baba zhairi jambo Habari yako? Huyo mama mgonjwa wa Kansas apime kukata majani ya mihembe kutwanga kunya yale maji kila siku pamoja na majani ya mistakes kutwanga yale maji hata mtu wa Hiv majani ya mihembe na mistafeli ni dawa tosha ao amended kwa kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha kimara temboni atapokea uponyaji kwa bure

  • @asterm3843
    @asterm3843 2 ปีที่แล้ว

    Hivi viwanja viko serious kweli wanauza

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 2 ปีที่แล้ว

    mhhh allaziy yuwasuwisu fiy sudduri nnas.

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 2 ปีที่แล้ว +1

    Wa kwanz nmemshinda mtu hapo☺

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว

    Usihadaike na kofia na sura ya upole fuwatilia vizuri Dhahir

    • @ngushy8798
      @ngushy8798 2 ปีที่แล้ว

      Usimdhanie mtu bila kuwa na uhakika .. hata allah hapendi

  • @moniepaul8972
    @moniepaul8972 ปีที่แล้ว

    Tapeli mkubwa wewe ukikanyaga Arusha tutakomesha mara ya pili

    • @user-in2bz2db5e
      @user-in2bz2db5e 2 หลายเดือนก่อน

      Nan tapelii ebu tueleweshe

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 2 ปีที่แล้ว +1

    havina utapeli hivyo viwanja

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว

      Hivi ikindu ukitoka wapi ndio vikindu

    • @fathimamct232
      @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว

      @@user-po8hz7xw9j vikindu ni njiya ya mbagala chamazi having utapeli ni kweli vinauzwa vikindu chanika

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว

      @@fathimamct232 vikindu . /KARIAKOO SHNGAPI NAULI

    • @fathimamct232
      @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว

      @@user-po8hz7xw9j Nauli kwa kweli sijui

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว

      @@fathimamct232 okay

  • @nasranaser1599
    @nasranaser1599 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭