Unguja mnajenga daraja la juu pemba barabara za kusini zote mashimo pima ila unguja barabara kila chochoro mnajenga hivi nyinyi viongozi madhalimu mtaenda kumuambia nini mola wenu, kake mwinyi umekaa madarakani kwa kutumia jeshi na kuuwa watu, kwa kweli hii nchi ina walafi wasioshiba milele.
Mwinyi wakat hujawekwa madarakani na majeshi ya tanganyika ulikuja pemba na kutuambia kua utakachokifanya unguja basi na pemba utakifanya kumbe ulikua unaendelez usanii wako na unafiki mshenzi sana wewe mzee ila kumbuka kua una jukumu zito na utaenda kuulizwa utapofika kwa mola wako na sisi wananchi (wapemba) tutakua mashahidi, wewe endelea kutembea na ving’ora jisahau ila ipo siku yako moja tu utaacha ufahari wako ukakutane na mola wako.
Tanzania bara miradi imesimama yote , kisiwani zanzibar miradi inaendelea hapo ndo sielewi kabisa na yote tanzania bara na tanzania visiwani ndo tanzania ile ile
Tatizo liko upima na ramani hawa ni corrupt peopels na pia ni wapungufu wa mawazo maana mtu anapanga mji hafikirii baada ya miaka kumi au ishirini nini kitakuwa nafikiri nyie viongozi mnapiteuwa hao watendaji msiangalie nasaba zao muangalie utendaji na ubunifu mijitu ina nafasi imekuwa inafuga mitumbo na kutuharibia vijari mitaani
Ulaya/marekani wana mipango ya kupeleka watu sayari ya Masi, sisi viongozi wetu wana fanya mikutano ya kushangilia daraja limejengwa. Kweli wananchi watanzania tumekosa utashi kiasi hiki. Africa we have a long way to go.😢
Tunakushuru wewe mh raisi utaacha alama ya fly over wenzako wameondoka wameacha alama ya magomvi na hata shutuma za mauji ya watu baada ya uchaguzi,,kwa wewe mh mategemeo ya wanyonge wengi hutofikia huko ,,inshaallah
Kila hatua uanza na moja keep it up💪🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Hio sio fly over ni daraja😂
Fly over inakueje?
Usipo shukuru kwa kidogo hata kikubwa huwezi kushukuru Ahsante Mh. Mwinyi hata Roma haikujengwa kwa siku moja
Barabara ya Mkoani hamuoni??
Unguja mnajenga daraja la juu pemba barabara za kusini zote mashimo pima ila unguja barabara kila chochoro mnajenga hivi nyinyi viongozi madhalimu mtaenda kumuambia nini mola wenu, kake mwinyi umekaa madarakani kwa kutumia jeshi na kuuwa watu, kwa kweli hii nchi ina walafi wasioshiba milele.
Natamani nirudi nyumbani najivunia mm kuwa mzanzibar❤
Daraja la kwererkwe😂😂😂😂
Safi sana Rais wetu Tanzania tunasonga mbele kimaendeleo
Kwa hicho kidaraja?
MashaAllah!!!
Daraja la juu 😂
Mwinyi wakat hujawekwa madarakani na majeshi ya tanganyika ulikuja pemba na kutuambia kua utakachokifanya unguja basi na pemba utakifanya kumbe ulikua unaendelez usanii wako na unafiki mshenzi sana wewe mzee ila kumbuka kua una jukumu zito na utaenda kuulizwa utapofika kwa mola wako na sisi wananchi (wapemba) tutakua mashahidi, wewe endelea kutembea na ving’ora jisahau ila ipo siku yako moja tu utaacha ufahari wako ukakutane na mola wako.
Sasa mwnyi kwanini unaogopa uchaguzi na unajinadi umefanya😂mzuri znz?
Tanzania bara miradi imesimama yote , kisiwani zanzibar miradi inaendelea hapo ndo sielewi kabisa na yote tanzania bara na tanzania visiwani ndo tanzania ile ile
hongeraaaa sanaaaaa
Hongeren sana
Hilo ni daraja naona mm
Kumbe ni madaraja ya juu
Tatizo liko upima na ramani hawa ni corrupt peopels na pia ni wapungufu wa mawazo maana mtu anapanga mji hafikirii baada ya miaka kumi au ishirini nini kitakuwa nafikiri nyie viongozi mnapiteuwa hao watendaji msiangalie nasaba zao muangalie utendaji na ubunifu mijitu ina nafasi imekuwa inafuga mitumbo na kutuharibia vijari mitaani
Ulaya/marekani wana mipango ya kupeleka watu sayari ya Masi, sisi viongozi wetu wana fanya mikutano ya kushangilia daraja limejengwa. Kweli wananchi watanzania tumekosa utashi kiasi hiki. Africa we have a long way to go.😢
Africa bado sana. Wenzetu wana mipango ya kutokumia mafuta ili kulinda hewa nzuri. Africa ndio inaandaa mipango ya kuchimba hayo mafuta.
Wewe umetoa mchango gani mpaka sasa
@ kipindi tukijua kichimba hayo mafuta, kutakua hamna sehemu ya kuyauza na sehemu kubwa za mitambo au magari duniani yakua hayatumii hayo mafuta.
@deohaule8161 umeona ee
@deohaule8161 mimi mchango wangu ni kwamba Tz aiache kuendekeza siasa na iangalie zaidi maendeleo ya nchi.
Hili ni Daraja fly over haiko hvyo!!limekaa daraja kabisa
Fly over inakueje
Tunakushuru wewe mh raisi utaacha alama ya fly over wenzako wameondoka wameacha alama ya magomvi na hata shutuma za mauji ya watu baada ya uchaguzi,,kwa wewe mh mategemeo ya wanyonge wengi hutofikia huko ,,inshaallah
@@rashidomar2771 huyu kaangia madarakani Zaid ya watu 30 wameuwawa
Bahussein tunataka mamlaka kamili fly over ni mambo ya baadae babu
Huyo hutomsikia kuzungumzia haki wala kuzungumzia mamlaka kamili.
Rais punguani sana uyu, mshamba kabsa
Ahmad Seif ni bora ukae kimya kuliko kuongea maneno ya kumkashifu kiongozi hususan Mh Hossein Mwinyi alokua mstaarabu na mnyenyekevu kwa wananchi wake