Avina kazi ivyo na vingine vya kichawi na kiganga kwa Jina la YESU KRISTO MWOKOZI NA MWANA WA MUNGU MKUU ALIYE HAI MILELE YOTE. Amen. Mjue sana Mungu mkuu ukaishi. Mtatizame Kristo Yesu Mwokozi msalabani nawe utashinda yote. Yesu kristo mwokozi ndiyo kilakitu . Mwami yeye. Amen.
Katika ulimwengu wa roho mtumishi wa Mungu nimekubari kuongozana na wewe tuombe malaika wa bwana aingilie kati kwa hali ngumu tulionayo kwa jina la Yesu Kristo alie mwokozi wa maisha yetu.Amen.
Mungu tupe kiu ya kuomba sana
Mungu nitie roho ya kuomba kila siku🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏
Amen halelluaa udusaidie YESU
Yesu naomba nisaidie katika kuomba
Munguatusaidie
Amen, ahakika, mtumishi,wanitia vumbi, kabisa,Kuna, mahalii,wani,peleka,katika,ulimwengu,wa,rohoni
Amen mtumishi
Asante YESU kwajili ya mafundisho naomba roho mtakatifu anisaidie kuelewa neno la MUNGU
Mungu nisaidie niwe na roho wa maombi ndan yangu
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu
Mungu naomba unipe kiu ya kuwa mwombaji
Eeeh Mungu naomba *kiu ya kuomba isipungue ndani yangu* AMINA
Mungu niokoe mapito ninayo pitia kwa wakati huu
Amen
Amen amen 🙌🙏🙏🙏
Amen Amen 🙏
Amen barikiwa
Amina mtu waMUNGU🙏🙏🙏
Ee Mungu sema nami sasa
Ameen Mungu anisaidie niweke rayiba ya msombi
Oh my lord nani ameigia kwenye maombi kama mimi tuungame pamoja tu.wombe mungu akatujaze nguvu zake Amina🙏
Mungu nipe kiu ya maombi
Amina,ee MUNGU npee kiu ya kuomba
Asante MUNGU kunipa malaika wa kunipigania
Eeeeh mungu shuka uniokoe wakati huu mgumu yesu ni wewe pekee yako unajua Hali yangu
Amina👏👏👏👏👏👏
Amen amen ooh yesu
Amen amen asante sana kwa neno 💪🏿💪🏿🙏🙏
Asante sana kwa mafunzo mazuri ya mungu
Ameni🙏🙏🙏
Amen nabarikiwa sana
Amina asante niko poamoja nawe mbaka mbingu zifunguke
Ahsant Mungu
Amen🙏🙏🙏...maombi ñ silaha....
Mungu ingilia kati
Eenh Mungu muumba wngu nionekanie yaweh
ameen mungu nikumbuke
Mungu naomba unisaidie nisimame katika maombi
Avina kazi ivyo na vingine vya kichawi na kiganga kwa Jina la YESU KRISTO MWOKOZI NA MWANA WA MUNGU MKUU ALIYE HAI MILELE YOTE. Amen. Mjue sana Mungu mkuu ukaishi. Mtatizame Kristo Yesu Mwokozi msalabani nawe utashinda yote. Yesu kristo mwokozi ndiyo kilakitu . Mwami yeye. Amen.
Asante Mungu nipe kiu ya kuomva wakati wote majila yote bila ww Mungu atuwezi
Amen amen
Mungu azidi kukubariki zaidi kwa kuleta haya mafundisho ya kumjua Mungu naona kama nimechelewa kuyapata maana yamenigusa sana kabisa yani
Ubarikiwe mchungaji
Kabisa mtumishi wa MUNGU ubarikiwe mno🙏🙏
Amen
Ameen and ameeeen 🙏🙏🙏
Ni kweli kabisa tuamini katika Maombi kwan ndiyo Kila kitu katika maisha ya sasa na ya baadae
Na mimi BWANA YESU unapowadhuru wengine na mimi usinipite
Amina
Eee MUNGU niongozeeee nivusheeee baba katika hiliii 🙏🙏🙏 nilindeeee dhidi ya maadui zanguuu
Maombi ni afya ya Roho pia
Amen and amen mungu naomba unizidi kunitia kiu ya kuomba
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu 😢😢😢 nazidi kufunguliwa Mungu atakupungukia
Mungu wangu naomba unisaidie niweze kujua kukushukuru na kuomba 😢🙏🙏🙏🙏
Baba mungu niumbie moyo upya ,moyo wakukunyenyekea na kukutumikia shusha malaika wako kwenye maisha yangu wanihudumie
Amen Maombi nisiraha kwa mukristo Asante Mutumishi wa Munguu ubarikiwe
Eee Moyo Mtakatifu wa Yesu Asantee kwa ajili ya Mtumishi wako huyu Uzidi kumuinua kwa viwango vingine kwa Sifa na Utukufu wa Jina lako AMINA.
Amen Amen nawomba mungu anipee hamu yakumtafuta kila siku
Eeee yesu mwana wa mungu nipe neema ya maombi uniondolee kiburi na majivuno na tamaa mbaya ndani yangu ,unipee roho ya kunyenyekea na kukuabudu
Amen
Haleluya Asante Mungu kwa kunikumbusha. Ubarikiwe mtumishi kwa neno ...
Ameen
MUNGU naomba unipe kiu ya maombi Kila wakati 🙏🙏🙏
Amen mtumishi 🙏
Shalom 🙏
Amen Amen 🙏🙏🇶🇦🇶🇦
eeh mungu nitilie roho ya ujasili katika kukutumikia wewe
Amen Amen Amen 🙏 🙌 waiting ✋️
Amen mtumiahi wa Mungu nashukuru Kwa mafundisho yako nabarikiwa. Naomba mungu anipe Watoto Sina Mtoto nataka nipate Mtoto
Kama vile alimkumbuka hannah na akukumbuke pia neema ya mungu iwe nawe dada
Na iwe kama uaminivyo hakuna linalo shindikana kwa MUNGU Amini tu mpenzi
Pokea katika jina la Yesu Kristo
Maombi ni muhimu sna hasa kwa maisha yetu ya kila ck
Amen mungu naomba unifanyie njia mahari ambapo hapana njia
Naomba mungu anitie nguvu ya maombi
Emeeeen tuko pamoja
Thank God mtumishi nilifahamu siri za bibilia unibariki Sana Kila NINAPOSIKIZA MAFUNDISHO yako. Ubarikiwe Sana mtumishi.. AMEEEEEEEN
Amen, namwomba Mungu anisaidie nijue kusema na Mungu, nijue kuomba ili niwe karibu na Mungu. Ameen
Amen ubarikiwe san mtumishi
Maombi ndio ngao katika vita vinavyio tukumba maishaini mwetu
Ameni 🙏🙏🙏 💕 ubarikiwe sa neno lanitia moyo kweli kabisa
Katika ulimwengu wa roho mtumishi wa Mungu nimekubari kuongozana na wewe tuombe malaika wa bwana aingilie kati kwa hali ngumu tulionayo kwa jina la Yesu Kristo alie mwokozi wa maisha yetu.Amen.
Eee yesu kristo nisaidie niww muombaji
Amen 🙏🙏 mtumishi
Mungu nikumbuke
Amen neno la mungu lisimame na kitenda kazi katika maisha yangu maana madui ni wengi wamesimama.lkn naamani mungu yupo Pamoja NAMI🙏
Mungu uzidi kuni imarisha ki roo niwe mtuu wakuogipa zambi na nitembee chini ya uoga wako yesu
Mungu wangu nisaidie nizidi kukutafuta kupitia maombi,,nipe kiu ya maombi kila saa kila wakati katika jina la Yesu Kristo.
you will get it by faith
😭😭😭MUNGU NISAIDIE NIKUNYENYEKEE WEWE KILA. IITWAPO LEO 🙇♂️🙏🙏🙏🙏
AMINA 🙏 MUNGU nipe nguvu za kuomba
Mungu naomnba unipe nguvu ya kuomba bila kuchoka naomba na neema ya kuamka usiku kuomba
Ee bwana yesu nitie nguvu sawasawa na neno lako niondolee majivuno tamaa ,dharau na kiburi nipe moyo wa kunyenyekea na kuabudu
Roho mtakatifu nifundishe kuomba bila kuchoka 🙏Amen
Naamini mungu yupo nashukuru maompi yenu yenye ngufu kutoka Kenya 🙌🧜🇰🇪🇰🇪
Eee Mungu nisaidie nisimame ktk maombi🙏🙏
Amina.mungu nipenguvu za.maombi
Mimi nafanya maombi Sasa kwa kumaanisha,,,,, MUNGU nisaidie
Amina, walipo wawili au watatu kwa jina lako Yesu, na wewe upo kati yetu
Eeeh Mungu nisaidie nikujue zaidi na kukutafuta wewe zaidi ni jaze moyo wa ibada
Amini
Eee naomba unipee kiu ya kuomba
Mungu nipe nguvu za maombi in jesus mighty name AMEN asanti roho mtakatifu kwa uliyotutendea
Asante mungu mokozi wa maisha
Thank you jesus
Amen naomba Mungu unisaidie nfuke mahali ambapo nmekwama😭😭😭
Able GOD
Mungu naomba nisaidie kumbukumbu mbaya zinanirudia kila wakati !!!!