Jamani kumbe jeni umehamia wasafi sijapenda kumkimbia mpenja nilikuwa nawapenda sana wew pamoja na bosi wako mpenja nazikubali sana kazi zenu nilikuwa nimekumis sana shabik zako tulikuwa tunakuulizia sana
Yaani licha ya Mpenja kumpa uongozi Jenny Bado wamembomoa! Jamani Ng'ombe wa masikini, ila Mpenja kaza tu Bro, tengeneza wengine chanzo chako Mpenja kinaaminika sana umewapiga wengi sana Online Tv. Jenny kula Hela mama kaukimia kalikuwa na sababu🤣🤣🤣🤣🤣
Ally Shaban Kamwe Ana Akili Sana Huyu Mtu Mungu Akulinde Kijana Wetu.👏👏👏👏👏💪💪
AISEEEE SIO SIRI NIMEKU
MISS WEWE MAMA MZUNGU
HEBU UUNAPO UJUMBE HUUU JANE
LIKE MARA 9
Aliyemleta Jane Kishai Wasafi Mungu Am’bariki.
Jaaaaneeee😍😍 na kamwe bonga moja la comb
Duhhh kama unamkubali huyu dada hebu gonga likes za kutosha hapa
Huyu Dada alikuwa Mpenja Tv
Sio kumukubari TU namupenda sana 😁😁
Me nampenda sn uyu dada sijui nitampata wapi jmn😢
We mdada umekuja wasafi
SWAAAAAAAAFII KABISA
Kumbe Dada Angu upo wasafi unajuwa sana
Woooooow Jane I missed you❤
Jenny kishai kumbe upo uku wasafi❤
Wa kwanza naomba likes zenu wananchi❤
Huyu sister 🔥🔥🔥
Well come back Jane ,we missed u!
Huyu mdada amekuja WASAFI dah Nampendaga sanaaa
PWAAAHH MARA JANE KAIBUKIA WASAFI.....😂😂😂😂😂
Baada ya kazi kuna maisha muache afanye kazi dada anajua sanaa
Jenny Mrembö Kaja USAFINI Safi Kabisa 🔥💥💯🧡🖤💚💛
Jamani kumbe jeni umehamia wasafi sijapenda kumkimbia mpenja nilikuwa nawapenda sana wew pamoja na bosi wako mpenja nazikubali sana kazi zenu nilikuwa nimekumis sana shabik zako tulikuwa tunakuulizia sana
Huyo Dada namkubalisana yuko vizuri anastaili❤❤❤❤
Jane kamkimbia mpenja sijapenda😀😀
Ame advance Bro mpe2 makopa yake.
Mpenja ni moja ya online Tv inayoandaa vizuri watangazaji wake.
Apewe tu pongezi na majukumu mema huko wasafi
@@AmanaHassan-cy4fi
anajua sana ally kamwe he is genious
Jane wasafi
Mashaallah kipenz chngu nilikua nakusubir kwa ham jmn
All the best my sister nakuombea mafanikio makubwa Mungu azidi kukuinua nilitamani sana kuona unapiga hatua hivi .
Jane nilikumiss sana
🖐️ tena
Jenny mashallah upo wasafi 🎉🎉🎉🎉 asante mola akulinde Jenny hongera well come Jenny ila mbona hatujaona utambulisho na mapokezi
huyu dada nami namkubali sana
JANE uko vizuri sana
jen siku hizi kajazia mashallah
Alikuwaga wapi? Namuona Leo halafu katokelezea wasafi
Jane kishai, tulikuwa tunakuulizia kumbe ulishaondoka mpenja bila kutuaga washabiki wako ? Tumefurahi kukuona tena
Alwaaga watu kwnye page yke ya insta 😢
Hee uyu dada yupo wasafi!!!?? Kumbe ndman kwa mpenja simuoni
Miee na jeni tuu 😂😂😂😂 Ila jeni nilimmis sana jeni wetu jamaniii 😂😂
Uyu dada jamani tulio mmisi like hapa WCB
AKILI NYINGI SAANA KIJANA NA NI UKWELI ❤❤❤❤❤ #YANGA
Jenny jamani ulikuwepo wapi mbona kitambo sijakuona ukifanya interview?
Dada ujua sana nakukumbuka wew ulimwambia Ahmed ali kua mtani ata shusha mnara wa 5 G akacheka sana lakin baadae akakubali mziki wa mwananchi
Naomba kuuliza iyo pesa inayotoka kwa app inafanyia kitu gani sio kwa ubaya
Huyo dada alipotea sana
Jane kishayi
Huyu dada alikuwa mpenja TV.. ghafla yuko wasafi.. amependeza au alikuwa maternity..
Daaaaah wamemchomoa mpenja huyu😅😅😅😅
Wasafi mumetusikia kilio chetu cha Jean shayo😂😂
Jen ulipotelea wapi
Nimefurahi sn kumuona huyu dada akiwa wasafi cz huyu dada yuko sawa sn ktk kz yke anaijuwa na anajuwa kuhoji
Jaman,dada,mbona,hatukuon,saiz
Unacheka kama kaka ako Ahmed
Wapeeee,madundukana wajingawenzaoooo😂😂😂
😂cheko la Alikamwe
Jeny anajitekenya utyo😂😂😂😂
Hamna mchezaji hapo sasa mchezaji anasema hajui program ya mazoezi sasa sjui itakuwaje
Hiyo kwa heri mpenja...karbu wasafi
Kamwe anajua kucheza na akili zao
Uyu dada aliamia Wasafi jamani alitoka mpenja
Yaani licha ya Mpenja kumpa uongozi Jenny Bado wamembomoa! Jamani Ng'ombe wa masikini, ila Mpenja kaza tu Bro, tengeneza wengine chanzo chako Mpenja kinaaminika sana umewapiga wengi sana Online Tv.
Jenny kula Hela mama kaukimia kalikuwa na sababu🤣🤣🤣🤣🤣
kitengo chahabali chayanga kimchukuwe huyu dada
Sijamwona siku nyingi Jane
Vipi Jane upo? Mtafute Semaji la kimataifa
Jane kishai nimefurahi kukuona usafini dada😂😂😂😂
😅😅😅Ally Kamwe kiboko
Ametoka kwa mpenja sikumuona mda mrefu sana huyu jenny
Wamemuacha kagoma now wamerudi kwa baleke
Umenenepa
Jane katoka Mpenja?!
Nilikuw najiuliza kishamba yupo waoi kumbe upo huku
Baleke jina jingine anaitwa popo😅😅
Huyu dada namkubali kumbe kaja kwenye chama lawana
Janne mchagga
Baada ya kufeli sakata la KAGOMA, Wanatafuta skendo nyingine
Kama la Lamek Lawi lilivyoisha
Ila Jane we Ni chuma
Ndo kama wewe ulivyomuhuni kwa kagoma matako we kione mnziiiiiiiiu
Nili mmx uyu dad
Magoma makubwa na kagoma kadogo
Nan kamleta huyu usafini
Tonny
Kumbe jane kishai umehamia wasafii ndo maana ulikuwa huonekani mpenja tv