Vitu 10 Vinavyoharibu Blenda Kirahisi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Kwa nini Blenda nyingi zinaharibika? Unaweza kusingizia Quality ya blenda ila tunaharibu blenda zetu kwa matumizi mabaya bila kufahamu na pengine kwa mazoea yake.
    Hakikisha unaangalia video hii mpaka mwisho ili kuepuka matumizi mabaya ya blenda yako ili idumu kwa muda mrefu.
    Pia kama una "ushauri" au swali yoyote, andika kwenye comment ili wengine pia wafaidike!
    kama umefurahishwa na video hii, hakikisha una like, share na kusubscribe kwenye channel yetu.
    Asanteni sana na karibuni wote
    Instagram link: / fundi_dsm
    Facebook page link: / bombaywallla

ความคิดเห็น • 48

  • @AliSalehe-rh6eu
    @AliSalehe-rh6eu 11 วันที่ผ่านมา

    Nataka brenda yakusagia karanga brother

  • @user-nf7js6ms1r
    @user-nf7js6ms1r 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee yangu nimeuwsa kweli

  • @mayasakhatibhajj787
    @mayasakhatibhajj787 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana izi blander zenye uwezo wa kusaga kila kitu mnauza bei gani na mnapatikana wapi

  • @angelinacharles8144
    @angelinacharles8144 ปีที่แล้ว +1

    Asante duuu nilkuwa sjui

  • @heriethmkojera-vn7wf
    @heriethmkojera-vn7wf ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa somo zuri, ila mimi natumia hiyo commercial brenda, lakini nilijaribu kusaga bitruits brenda ikazima

    • @cities-flavors
      @cities-flavors  ปีที่แล้ว

      Hizo quality zinatofautiana boss wangu, nyingine matunda tu inazima

  • @feliciamassau9488
    @feliciamassau9488 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana,nimejifunza

  • @utherkahabi6930
    @utherkahabi6930 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante fundi kumbe hiyo blender kubwa inasaga kila kitu yani ni pamoja na nyama?

  • @sporahsende9738
    @sporahsende9738 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kuanzia leo ntafata maelezo yako

  • @ladymayanka26
    @ladymayanka26 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nahitaji kununua brenda heavy duty naomba muongoxo wako tafadhali ni kwa ajili ya biashara

  • @christinamalima1296
    @christinamalima1296 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @MillianBoniface-ey9dr
    @MillianBoniface-ey9dr ปีที่แล้ว

    Kitunguu maji jee

  • @ChristophaChongolo
    @ChristophaChongolo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ko hilo komesho hadi hilo tangawizi na kitunguu swaum linasaga bila shida

  • @SirajiOmary-hl7sn
    @SirajiOmary-hl7sn 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Brenda yangu imeua meno please

  • @furahagwasa7312
    @furahagwasa7312 หลายเดือนก่อน

    Kennywood ni blenda ndogo au kubwa

  • @janeth1335
    @janeth1335 ปีที่แล้ว

    Una patika wap

  • @annaMushi-jo1wz
    @annaMushi-jo1wz ปีที่แล้ว

    Mim natumia commercial Brenda Ila nikichomika kwa switch umeme unakata shida Ni nin

  • @rosenjawala1449
    @rosenjawala1449 2 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji na jagi ya heavy duty commercial bl

  • @hannachaula7033
    @hannachaula7033 4 หลายเดือนก่อน

    fundi mimi brenda yangu jag linavujisha tuu sjui ni nn yana inavuja mpk juyce inaenda ad kwa mota

  • @atu5303
    @atu5303 ปีที่แล้ว

    Samahn naomba jinsi ya kujua kua hii ni blnd ynye motor nzr isiyokua frki

  • @muna1165
    @muna1165 6 หลายเดือนก่อน

    Jagi langu lime pasuka kama unalo naomba niuzie please

  • @muna1165
    @muna1165 6 หลายเดือนก่อน

    Fundi Mimi ninataka jagi la Brenda ya monelex

  • @damasabinalis7471
    @damasabinalis7471 ปีที่แล้ว

    Unapatikana wapi

  • @shamsiamsaghati
    @shamsiamsaghati 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks kwa somo
    Sorry commercial blenda inauzwaje
    Inaweza kusaga hata karanga(Peanut butter)

    • @cities-flavors
      @cities-flavors  2 ปีที่แล้ว

      karibu sana, ila bei za blender sijajua boss, maana sisi tunarekebisha tu..kuna mashine special zinauzwa kwa ajili ya kutengeneza peanut butter kwa ajili ya biashara zinapatikana maduka ya vyombo

  • @margaretmkangala7774
    @margaretmkangala7774 ปีที่แล้ว +1

    Mnapatikana wapi nina blenda ina tatizo

    • @cities-flavors
      @cities-flavors  ปีที่แล้ว

      Kama na mwendokasi, Bombaywalla appliance repair and service, mtaa wa mwisho, Njoo kituo cha mwendo kasi ya kisutu, au soko la zamani la kisutu, usoni na ATM ya CRDB posta ya libya, zamani standi ya mabasi ya arusha yalipokuwepo, kuna choo cha kulipia, niko hapo nyuma, duka la njano utaliona..au google tu..simu 0684-017-700, karibu sana

  • @sporahsende9738
    @sporahsende9738 ปีที่แล้ว

    Mimi rice cooker yangu inaunguza waya kila mara je tatizo ni nini

    • @cities-flavors
      @cities-flavors  ปีที่แล้ว

      usichomoke kwenye extension cable au multiplug boss, waya uwe na plug ya pin tatu ili uweze kuchomeka kwenye socket moja kwa moja

  • @allymbaruku7072
    @allymbaruku7072 ปีที่แล้ว +1

    Manatengeneza brenda?

    • @cities-flavors
      @cities-flavors  ปีที่แล้ว

      Ndio tunarekebisha pia boss wangu

    • @monicaasenga7076
      @monicaasenga7076 ปีที่แล้ว

      @@cities-flavors mnapatikana wap

    • @MamaJasi-qh7iy
      @MamaJasi-qh7iy 10 หลายเดือนก่อน

      @@cities-flavors mnapatikana wapi

  • @sabihunaurisha8847
    @sabihunaurisha8847 ปีที่แล้ว

    Kwa Nini River za blender yangu inalika?(zinasagika)

    • @sabihunaurisha8847
      @sabihunaurisha8847 ปีที่แล้ว +1

      Ni River nimekosea herufi

    • @cities-flavors
      @cities-flavors  ปีที่แล้ว

      inawezekana jagi yako ya blenda inavujisha chini ndo maana inasaga meno za motor

    • @neemamsuta2650
      @neemamsuta2650 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@cities-flavorskwahiyo inawezekana kupata meno mengine ya motor?

  • @VickyVeresi
    @VickyVeresi 5 หลายเดือนก่อน

    Unapatkan wap fund

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu ปีที่แล้ว

    Blenda ya kusaga nafaka inapatikana sh ngapi na zinapatika duka duka kwa Dar?

    • @cities-flavors
      @cities-flavors  ปีที่แล้ว

      Maduka ya mtaa wa aggrey unaweza kupata boss wangu

    • @alicemuiruri8551
      @alicemuiruri8551 ปีที่แล้ว

      Nataka ni pesa ngapi

    • @JeniferDenisMgisha
      @JeniferDenisMgisha 9 หลายเดือนก่อน

      @@cities-flavors ya bei ndogo ni sh.ngapi

    • @deboranicoraus4866
      @deboranicoraus4866 3 หลายเดือนก่อน

      Sorry mm brenda yng ni hyo km yko yenye injin nyekundu lkn kila nikiiwash kusaga kitu inatoa moshi shd nn..?

  • @JoyceMgimba
    @JoyceMgimba 3 หลายเดือนก่อน

    Je karanga inafaa kusaga Brenda ipi Kati ya hizo

    • @PillyFlora
      @PillyFlora 2 หลายเดือนก่อน

      Unatumia Brenda ya vitu vikavu apo naona haipo