Ndiyo ndiyo Lilian. Kuna aina nyingi na inategemea unapenda sukari ama la. Unaweza kutazama video nyingine kuhusu milkshake. Subscribe channel yetu ya TH-cam kama bado hujasubscribe ili usipitwe au soma Jiko Point tovuti kupitia www.jikopoint.co.tz. Karibu sana na kila la kheri kwenye upishi wako.
Dah safi sana brooi
Blender ni brand gani
Asante Kwa soma zuri
Mashaallah
Je ukiongezea na karanga mbichi inafaa?
Akijibu nitag hata karanga zilizokaangwa??
Unaweza kutumia yoghurt kama huna maziwa fresh..?
Maziwa fresh yatakusaidia kupata matokeo mazuri zaidi ya Yogurt
Asante kwasomo
Asante kwa kutazama.
Ahsante napenda mno juice yakuchujwa
Hongera sana, unaweza pia kujaribu kutumia juisi isiyochujwa kwani nyuzi nyuzi zinazopatikana katika juisi hizo huwa na virutubisho vingi.
Kwani lazima kuchemsha maziwa
Nilazima ya chemshwe
kumbe huwek sukar
Ndiyo ndiyo Lilian. Kuna aina nyingi na inategemea unapenda sukari ama la. Unaweza kutazama video nyingine kuhusu milkshake. Subscribe channel yetu ya TH-cam kama bado hujasubscribe ili usipitwe au soma Jiko Point tovuti kupitia www.jikopoint.co.tz. Karibu sana na kila la kheri kwenye upishi wako.
Ni maziwa fresh yalio chemshwa au ??
Habari, ndio hakikisha maziwa yamechemshwa na kupoa kabla ya kusaga pamoja na tende.
❤
Ulichokosea nikimenya tende bila kuvaa kitu mkonon zile gloves lain, lazima uvae kiafya
Ni gloves za aina gani zinafaa hapo,NAMI nafanya hiyo
Hiyo hauzi ni yake anakunywaa yeye