KISA CHA SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA JULIUS NYERERE 1958

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Video from Mohamed Said

ความคิดเห็น • 30

  • @ShamsiMikdad-bj7me
    @ShamsiMikdad-bj7me ปีที่แล้ว +1

    الهم غرله ورحمه وسكنه فلجنه

  • @ray9738
    @ray9738 ปีที่แล้ว +1

    "MWALIMU" alitengenezwa vizuri sana na Fabian society, naweza sema ni Moja ya product bora kabisa kutoka Africa kwenye chuo Cha Edinburg university na katika jamii ya Fabian. Nakukumbusha "Mwalimu" alisomea "Arts" na Economics. Nadhani umenielewa. I wish siku Moja tuonane nijifunze vitu vingi kutoka kwako Mzee wangu, natakani Unielezee vizuri watu kadhaa ambao Mimi nawafuatilia historia zao,then we can share some thoughts. Shukran.

    • @abdallahal-khaify
      @abdallahal-khaify ปีที่แล้ว

      Fabian society chini ya malkia elizabeth .

  • @musakibwana4596
    @musakibwana4596 ปีที่แล้ว +2

    Swadakta Sheikh Takdir. Mola akuweke pema peponi kwa mchango wako mkubwa mno.

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel ปีที่แล้ว +1

    Historia kamili ya kweli haifahamiki kwa vijana. Wazee mnaondoka toeni Historia. Kwani Ni jambo jema kabisa.

  • @abdallahkiongozi9390
    @abdallahkiongozi9390 ปีที่แล้ว

    Sheikh Mohamed Said maneno yako yote ni kweli 100%.
    Ukweli utabaki kua Kweli.

  • @masungajp1
    @masungajp1 ปีที่แล้ว

    WAISLAMU nawapenda. BARIADI tuna Wakristo na ....

  • @shamsamanja9141
    @shamsamanja9141 ปีที่แล้ว

    Tafadhali tuandikie zaidi

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo

  • @DanielDaudi
    @DanielDaudi ปีที่แล้ว

    Mzee wacha Udini hakusaidii

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 ปีที่แล้ว

      Sio udini bali historia inazungumzwa, walioleta udini wanakulikana na wanauenzi ipasavyo

  • @DanielDaudi
    @DanielDaudi ปีที่แล้ว

    Hata mseme vipi ukweli utabaki palepale mwalimu Nyerere aliwazidi akili hao wote ulowataja

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 15 วันที่ผ่านมา

    Udini mbele kwa mbele hapa. Mbona tunaambiwa kuwa wa Nyerere aliambiwa na Padre kuwa kiti cha Tanganyika ni kudaiwa tu mwingereza ni mdhamini tu.Mapadre wakamsaidia namna ya kudai uhuru, Leo mnasema kila kitu Wamefanya mashehe?!!!.

    • @samitungo
      @samitungo  12 วันที่ผ่านมา

      Historia hiyo uliyoambiwa si ya kweli. Soma kitabu cha Abdul Sykes utajifunza mengine yatakayokuongezea maarifa.

  • @stevensenghana1593
    @stevensenghana1593 ปีที่แล้ว +2

    akili ndogo udini kukosa kujiamini

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 ปีที่แล้ว +3

      Wewe unaesema akili ndogo na udini, sasa wewe mwenye akili kubwa unaeleza nini kuhusu hili?? Na kama ni udini, Nambie umeshaona Waraka wa Msikiti Wa-Islam?? Tunaona Nyaraka za Makanisa tu, sasa nani Mdini?? Mjibu basi Wapi Maaskofu na Mapadri walisimama na Nyerere kupigania UHURU???

    • @jonathanntare4787
      @jonathanntare4787 ปีที่แล้ว

      Hawa watu ni wa hovyo Islamic state

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo ปีที่แล้ว

      Hapo udini au ukweli ktk historia ya Tanganyika?hapo mujibu hoja zake sio maneno ya upuuzi

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo ปีที่แล้ว

      ​@@jonathanntare4787Wakristo na Nyerere ndio wadini na kutaka kuifanya Tanganyika ni Christian State!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo ปีที่แล้ว

      ​@@jonathanntare4787Hawa watu wa hivyo ndio waliowafsnya Baba na mama zenu kuwa guru Leo na kufikia kuwakashifu wapigania Uhuru ama kweli!mtu asiye na fadhila Bora umfadhili mbuzi!

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we ปีที่แล้ว

    Udini tu

  • @mustafapandu5189
    @mustafapandu5189 ปีที่แล้ว

    KOSA LA WAISLAMU KUMUAMINI MTU SIE WAMEPUUZA MAFUNDISHO YA MUNGU WAO ALIPOELEZA WASIOKUWA WAISLAM MSIWAAMINI KWA VYOVYOTE MKAWAPA UNDANI WA MAISHA NA MIPANGO YENU

  • @SimbaHaji-jm7md
    @SimbaHaji-jm7md ปีที่แล้ว +1

    Mkiacha mafundisho ya allah , ni lazima allah atawasalitishia adui yenu tu ....allah ashasema msiwafanye mayahudi na manaswara kuwa ni marafiki , afu nyie ndo mkamtanguliza huyo kafiri mbele kwanini asiwageuke ?? ...akili haina faida juu ya Quran,na sunnah

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 udini bhana

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 ปีที่แล้ว +2

      Hiyo ni historia ya kweli, hakuna udini hapo. Hayo mambo ya kufunga kwa ajili ya uhuru na kadhalika msikilize Mwalimu Nyerere mwenyewe akihadithia tena akisema "mkristo nilikuwa peke yangu". Ndugu usiwe mkurupukaji hebu fatilia fatilia hutuba zake japo TBC walau ung'amue ukweli.

    • @ramadhanimdillah67
      @ramadhanimdillah67 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo hawa wakisikia huo ukweli wa waislam ktk kupigani UHURU na wao kuwekwa daraja la 3 huwa inawauma ndyo maana wanasema UDINI udini uko wapi hapo na hii ni historia hamuitaki ikisimuliwa?au INAWATISHA?

    • @abdallahal-khaify
      @abdallahal-khaify ปีที่แล้ว

      Udini kwa maana ya Uislamu au ?

  • @mohamedrashid7864
    @mohamedrashid7864 ปีที่แล้ว

    Udini wapi huo nd ukweli