Umebarikiwa Baba Askofu. Endelea kufunfisha Kanisa maana Wakatoliki hupenda kufundishwa na Maaskofu na mapadre wenye moto wa Roho Mtakatifu na kuwaponya. Walei wakarismatiki wabaki kuwa wasaidizi wa Hawa viongizi wakuu maadamu wajiongeze ktk elimu ya wokovu kama alivyoagiza Kristu. Wasiwazime wakarismatiki. Umoja wetu ni nguvu.
Askofu nimekupenda laiti Maaskofu wote wangekuwa kama Baba huyu I an a born again charismatic Anglingan Canon Fantastic may God give many years of life.
Atukuzwe Mungu Kwa ajili ya Baba huyu. Naam , Kwa maana pendo la Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yetu na Roho mtakatifu tuliyepewa sisi. Mungu akulinde na kukutunza Baba na kukukubatia.
Mnaona? Akihubiri Askofu wengi wanakiri ndiyo njia, lakini mapadre wakarismatiki pia wakihubiri na kufundishwa watu wanashtuka na kukiri kuguswa! Karismatiki inatetea Neno la Mungu, linamtangaza Yesu, Linaponya, Linafukuza shetani, Linakuza Imani, Linaimarsha waumini, Linaongeza upendo wa kuhudumiana, Linaonesha utendaji wa Mungu dhidi ya miungu, linarudisha injili moto na Imani moto na kubadilisha tabia n.k. Twende pamoja tukuze Imani na Kanisa la Kristo.
Umebarikiwa Baba Askofu. Endelea kufunfisha Kanisa maana Wakatoliki hupenda kufundishwa na Maaskofu na mapadre wenye moto wa Roho Mtakatifu na kuwaponya. Walei wakarismatiki wabaki kuwa wasaidizi wa Hawa viongizi wakuu maadamu wajiongeze ktk elimu ya wokovu kama alivyoagiza Kristu. Wasiwazime wakarismatiki. Umoja wetu ni nguvu.
Asante sana baba kwa kutulisha neno kuhusu roho mtakatifu. Hakika tusiondoka.
Amina Baba Askofu Kwa kutuelewesha ubarikiwe mno
Amen 🙏 iliku raha kweli 🙏🙏🙏
Thanks alot Baba Askofu. Mwenyezi Mungu akubariki na akufunulie mengi.
Amina
Baba Askofu Mungu akaubariki sana, umefungua wengi macho baba.
Whaau...this is powerful
Askofu nimekupenda laiti Maaskofu wote wangekuwa kama Baba huyu
I an a born again charismatic Anglingan Canon
Fantastic may God give many years of life.
🎉
Atukuzwe Mungu Kwa ajili ya Baba huyu. Naam , Kwa maana pendo la Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yetu na Roho mtakatifu tuliyepewa sisi. Mungu akulinde na kukutunza Baba na kukukubatia.
Uko vizuri padri
Well priched,Bishop very good of you
YESU Asante
Powerful! The Holy Spirit it at work.
Baba nimekupenda sana ubarkiwe saana
Amina Baba Askofu MUNGU AKUBARIKI SANA na uurithi ufalme wa Mbinguni
Amina Baba askofu
This is what we need in the church really!!!
Holy Spirit power of charismatic is my greatest desire of my heart..
Mungu akubariki Baba Askofu
Aaaha Asante
This is powerful and informative homily
Asante Askofu
Amina baba
Nimebarikiwa na maneno yako baba
Ameeeeeeeeen......
Very well said MOG add volume
Amen.
Amenn
Ubarikiwe baba kwa neno zuri
Barikiwa mno Baba askofu
Ubarikiwe sana baba askofu kwa kunifungua macho ya rohoni
Mungu azidi kukutunza baba yetu uneongeà maneno ya nguvu sana
Atukuzwe Mungu kwa neno hili la baba askofu lebulu imepenya ni kweli asiyetambua Karismatiki amefilisika.
😂😂kufilisika ni kubaya sana
@@CCRIFMFELLOWSHIPAmen 🙏🏻🙏🏻
🙏🙏
Huyu askofu ndo maana hazeeki. Anamadini Sana
MUNGU ALIYEKUJALIA KARAMA HIYO ATUKUZWE BABA KTK BWANA WETU YESU KRISTO-HAKIKA UNAYAWEZA YOTE KTKT YEYE AKUTIAYE NGUVU
Amen barikiwa baba Askofu
Amina baba mungu akulinde
unatuelimisha sana
Wanapenda mno hela na mizimu na majivuno
Revival church
Powered by Holy Spirit
Glory to God
Ameen kuhani
Mnaona? Akihubiri Askofu wengi wanakiri ndiyo njia, lakini mapadre wakarismatiki pia wakihubiri na kufundishwa watu wanashtuka na kukiri kuguswa! Karismatiki inatetea Neno la Mungu, linamtangaza Yesu, Linaponya, Linafukuza shetani, Linakuza Imani, Linaimarsha waumini, Linaongeza upendo wa kuhudumiana, Linaonesha utendaji wa Mungu dhidi ya miungu, linarudisha injili moto na Imani moto na kubadilisha tabia n.k. Twende pamoja tukuze Imani na Kanisa la Kristo.
Kuanzia Leo Mimi Ni karismatic
Welcome
Ameeeen Caholic ever🥰🥰🥰🥰
Amina baba
Amina
Amina
Amina