Highlights | Team AgreySebo 0-0 Team Babimuda (Pen: 1-3) | Mechi ya Hisani 30/06/2024
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024
- Leo imepigwa mechi ya hisani visiwani Zanzibar kati ya timu marafiki wa Agrey Moris na Abdallah Kheri Sebo (AgreySebo) dhidi ya timu marafiki wa Mudathir Yahya na Abdi Kassim Babi (BabiMuda).
Mechi imepigwa kwenye Dimba la Mao Tse-Tung dakika 90 zikimalizika bila goli na Team BabiMuda kushinda kwa mikwaju ya penati kama hivi…. - กีฬา
Hafidhi kokoi,au konkon,,,sijaelewa
Hafidh kokoi wa Zanzibar
oyaaaa sasa yanga wanataka kumsajilii chama
Kwan konkon bado yupo
Raisi wa ball 🎉🎉🎉
😂😂😂uyu mtangazaji anaumwa koo ama
Kokowe hafidhi
MWAKATOBE KAPAGAWA NA TAMTHILIYA YETU YA MJUKUU WA MZEE MCHAWI INAYOTAMBA KWA SASA
Kwan konkon bado yupo