DIAMOND PLATNUMZ: NAOMBA MUWAPENDE WATOTO WANGU WOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 635

  • @matildamkombachepa2095
    @matildamkombachepa2095 6 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana Diamond una busara kweliii waache utimu kwenye familia za watu wakuachee

  • @AfiSoul103
    @AfiSoul103 6 ปีที่แล้ว

    Umeongea point sana m/mungu awape mapenzi watoto wako,

  • @ahmedyhassan7344
    @ahmedyhassan7344 6 ปีที่แล้ว +6

    A good message from a lovely Dad Diamond

  • @rehemamsekeni9640
    @rehemamsekeni9640 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana diamond mwenyezi mungu akubari sana wewe pamoja na familia yako

  • @fatmamariam7294
    @fatmamariam7294 6 ปีที่แล้ว

    Hongera diamond wapende wanao usikubali walimwengu au Kati ya wake zako kugawanya family.

  • @naidaathman2196
    @naidaathman2196 6 ปีที่แล้ว

    Hapo sawa kaka dii chuki hazina faida yoyote wote nindugu 💑💏💑💏💑💏

  • @happinesstuvana5775
    @happinesstuvana5775 6 ปีที่แล้ว

    Umesema vizuri sana nasibu hongera sana kwa hilo.

  • @ukhutfatuma4157
    @ukhutfatuma4157 6 ปีที่แล้ว

    Allah akubalik umeongea point sana chibu

  • @sheilanafula768
    @sheilanafula768 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana diamond umoja na maelewano ni jambo bora sana katika familia.Achana na wambea injenge familia yako iwe na amani.

  • @zuhuramwalimushabani8836
    @zuhuramwalimushabani8836 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie km umeamua kuyafanya hayo kwa kutengeneza haki ya watoto wako

  • @salmasaid2401
    @salmasaid2401 6 ปีที่แล้ว

    tokea umekuwq na hamisa tumekupenda sana nyimbo.zako pia tunazipenda piga kazi mond

  • @didaamohsin6440
    @didaamohsin6440 6 ปีที่แล้ว

    Sheria wa 4..waoe wotee..wema..zari..hamisa.uwezo unao..alhamdullah

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 6 ปีที่แล้ว +61

    unacho waboa mashabiki kutoonyesha upendo kwa mzee Abdul ,hapo ndo tunahix pengene umelixhwa xumu🌷

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 6 ปีที่แล้ว +1

      JERRy MWASa That is their personal issues it has nothing to do with mashabiki the main issue with us is his music so let him deal with the rest.

    • @leeron77
      @leeron77 6 ปีที่แล้ว +2

      JERRy MWASa kweli kabisa

    • @leeron77
      @leeron77 6 ปีที่แล้ว +3

      asha ali even this here is personal. Am not seeing any music. This 👆he can call a family meeting and tell them that. Sio kuweka mambo personal kwa social media, definitely people will comment on issues posted

    • @linrosa8863
      @linrosa8863 6 ปีที่แล้ว +2

      asha ali Natamani nchi yetu ingekua na watu wengi zaidi wenye hekima kama hii yako... 🙏

    • @benjaminleonard5470
      @benjaminleonard5470 6 ปีที่แล้ว

      JERRy MWASa kwel

  • @khadijaabubakar5494
    @khadijaabubakar5494 4 ปีที่แล้ว

    Mond big up mungu Awe nawe kila hatua

  • @SwahiliPrideBongoMovie2018
    @SwahiliPrideBongoMovie2018 6 ปีที่แล้ว +2

    hayo ni maneno ya mzazi, na ni mzazi anae jielewa,,HONGERA SANA DIAMOND

  • @عبداللهالزعبي-ق8ض
    @عبداللهالزعبي-ق8ض 6 ปีที่แล้ว

    Kweli Mondi Umeongea Point Allah azidi kukufanyia wepesi ktk kazi yako upate kulea wanao....

  • @christinagodfrey3457
    @christinagodfrey3457 4 ปีที่แล้ว

    Saw saw umeongea kweli kbx jenga upendo kwa watt wako baba mmoja 🤝♥️

  • @janejane4220
    @janejane4220 6 ปีที่แล้ว

    hongera zari kwa kujitoa mapema hapa hakuna kazi wacha ang'a ng'ane na hali yake aliyojitafutia mwenyewe

  • @mwanaamisa8193
    @mwanaamisa8193 6 ปีที่แล้ว +8

    Kweli kabisa diamond wategeneze mazigira bora wawe Familia yenye upendo

  • @pendojeremiah9111
    @pendojeremiah9111 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akujalie amani upendo na furaha ktk familia zako 🙏

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 4 ปีที่แล้ว +2

    Umeongea point. Nzur

  • @marychami1346
    @marychami1346 6 ปีที่แล้ว

    ok. na sasa uoe maana umezidi.mwogope mungu
    .watoto watatu nje ya ndoa ni hatari.ww ni kioo cha jamii, wako wamataka kuzaa na ww ili wawe maarufu. tafakari
    .zari is great mother of ur kids.

  • @asmaafamau5139
    @asmaafamau5139 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah hongera umeingea point nasibu

  • @lilomo6713
    @lilomo6713 6 ปีที่แล้ว

    Najua hii coment mtaogopa kumuonesha diamond,ni kweli maisha ni mafupi sana mimi nakushauri diamond jitahidi uwapende wazazi wako ote baba na mama maana unaonekana unamjari sana mama kuliko baba,wapende wote kwa usawa ili upate baraka duniani na akhela

  • @gilbertgillian1984
    @gilbertgillian1984 6 ปีที่แล้ว

    Ndio kabisa platnumz ndio ivyo ukiwa mwanaume nikumiza kichwa nakutengeneza amani note.......... By by

  • @rhodaayuma9527
    @rhodaayuma9527 6 ปีที่แล้ว

    Wewe na hizo tabia zako Hamisa ndio anaweza kukubali...if its time for showing love do it to your father too.

  • @mercymziray126
    @mercymziray126 6 ปีที่แล้ว +2

    Everyone cheats siku izi.. uwe black or white kucheat ipo.. im happy anawork hard for his kids.. Keep on loving you're kids ni baraka!

  • @ahmedahlam6
    @ahmedahlam6 6 ปีที่แล้ว

    Correct master..watoto wanauma...big up

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 6 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi, kuona Hamisa anapata amani, nafurahi amkumuua mtoto wa watu na ugonjwa wa Moyo, yaani pleasure mliyompa; Mimi mtu akimfanyia binti yangu ville ,,, nimgeishia jela.. ningepiga risasi mtu... mama mobetto Ana roho nzuri... Mimi ningeua! Ningenunua bunduki.
    Yaani ilikuwa inanuma utafikiri Hamisa nilizaa mimi.. namuonea tu huruma atayekuwa mkwe wangu, maana sitaruhusu kijana au mama yeyote aninyanyasie binti yangu . Na wala sitaruhusu kijana wangu wa kiume amfanyie binti wa mwanamke mwenzangu, vitu alivyopitia Hamisa. Mungu awasamehe... na ninahope Diamond alimuomba Hamisa msamaha vile walivyomzalilisha na kiumbe chake.. bado naamini mungu atatoa karma.. kwa yote aliyopitia.. yeye asamehe tu.. hongera Diamond kufikia Hatua hiyo, lakini umeasahau kumwambia mama Dangote akuache , asikuingilie, utazifunza mwenyewe by your mistake.. mimi pia ni mzazi, na nina binti, na wa kiume ... maisha Yao ya mapenzi siwezi kuingilia watajifunza by doing mistake. Na nitawashauri tu... sio kuchukia watoto wa wenzangu kwa ajili watoto wangu wako stupid.. kwanza vijana wa siku hizi mjifunze kuwa na msimamo kwenye maisha yetu.. pili mama yako akuache ufuate Moyo wako sio ndugu au mashabiki, in the end you need to be happy the rest of your living life.

  • @donnexmorgan4589
    @donnexmorgan4589 6 ปีที่แล้ว

    Big up man.. that is how we are doing... thanks for waking up

  • @estergoharim4350
    @estergoharim4350 5 ปีที่แล้ว

    Umesema point sana dangote its true upendo ndo kila kitu na we nd wakuwaunganisha pa1 sana

  • @allykassim3145
    @allykassim3145 6 ปีที่แล้ว

    That is point unajitambua sana mond

  • @murshidabra3004
    @murshidabra3004 6 ปีที่แล้ว

    Kweli mzee mondi unavoxema kuxiwe nachuki happy iwepo

  • @ahmedahlam6
    @ahmedahlam6 6 ปีที่แล้ว +1

    We are fighting bcz of watoto..tunahustle hard jst for them

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 6 ปีที่แล้ว

    Unapendeza kakayangu 👌👌👌👊👏👏👏

  • @PINKYSHARLOVE
    @PINKYSHARLOVE 6 ปีที่แล้ว

    Hapo sawa diamond ft zari ft mobetto nd the kids

  • @naifatiramadhani5887
    @naifatiramadhani5887 6 ปีที่แล้ว

    hapo nimekupata sana mzee baba izo ndo kauli za kiume sio kubez sehem moja

  • @carolinethuo6999
    @carolinethuo6999 6 ปีที่แล้ว

    Hope pia wao wameelewa mapenzi yadumu most hamisa n zari mambo ya Mitandao wametuchoka...hamisa aombe msamaha kwa mamako plz that ma point😍😍😍😍

  • @mwanaamisa8193
    @mwanaamisa8193 6 ปีที่แล้ว +16

    Safii saaaaaan diamond love kwa wote

  • @mau-h2123
    @mau-h2123 6 ปีที่แล้ว

    Simba all the way from Tandale, weka familia yako ktk hali shwari mzee

    • @herziminamaige7383
      @herziminamaige7383 6 ปีที่แล้ว

      usitulazimishe kwa umalaya wako tulia uwoe kila mtoto namamayake wewe vipi ueleweki adam7 huna wewe

  • @faumash831
    @faumash831 6 ปีที่แล้ว +2

    Well said kudos

  • @devtzmbalilaki
    @devtzmbalilaki 6 ปีที่แล้ว +6

    You gotta future on them ata kesho keshokutwa inabid wanao wayaxkliza aya na wayatafakari. Nimekuelewa Baba mkwe

  • @lulum8017
    @lulum8017 6 ปีที่แล้ว

    MashaAllah now I see grown man not a boy anymore MashaAllah well said 👏👏👏

  • @mariamsaid4651
    @mariamsaid4651 6 ปีที่แล้ว

    Good boy !! nimefurahi

  • @puritykaroki765
    @puritykaroki765 6 ปีที่แล้ว

    You've really grown up mond God bless you n your family

  • @uwimanaraoul6824
    @uwimanaraoul6824 6 ปีที่แล้ว +1

    Vizuri sana mzidi kuwaombea wanenu dua yamzazi hairudi

  • @mariamhaidarijamali806
    @mariamhaidarijamali806 6 ปีที่แล้ว

    Tatizolenu maisha yenu yote mmeyaweka kwenye mitandao mtapata tabu sanaaa

  • @nailaniyonkuru5718
    @nailaniyonkuru5718 6 ปีที่แล้ว

    Umengoye point kabisa good Dady.

  • @jovinabunyomyo3993
    @jovinabunyomyo3993 6 ปีที่แล้ว +10

    jamani jitahidi comments ziwe fupi na za kiswahili tunapata tabu wasomaji🙏😇😇😇😊😊😊😊😊😊😊

  • @mahijakapingu395
    @mahijakapingu395 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @imahfaith5053
    @imahfaith5053 6 ปีที่แล้ว +16

    me too I would love to see those kids together na pia mama zao pia wakiwa pamoja..it's true life is too short kuishi Na chuki..chibu atleast today umeongea Jambo la busara sana

    • @janejane4220
      @janejane4220 6 ปีที่แล้ว

      kitu huwezi kufurahia ukifanywa usifurahie kwa wengine

    • @janejane4220
      @janejane4220 6 ปีที่แล้ว +1

      will u allow your husband to introduce your kids to his side chick?

    • @blandinamnyinga8318
      @blandinamnyinga8318 5 ปีที่แล้ว

      Watoto kuwa pamoja YES,their mothers please its not necessary kikubwa kila MTU aendelee na mambo yake baba yake atawachukua pale na wakati anaoona unafaa

  • @maureenmwimano1973
    @maureenmwimano1973 6 ปีที่แล้ว

    big up diamond

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 6 ปีที่แล้ว

    fanya kazi nzuri

  • @nzoyihayalylyshadia4149
    @nzoyihayalylyshadia4149 6 ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda bureee yaani wewe ni baba mzuri ki ukweli

  • @happymushi8197
    @happymushi8197 6 ปีที่แล้ว

    Diamond unahekima sana tumia vzur hekima hiyo kulea watoto. Na kama unapenda watt wackae kimatabaka jaribu kumuweka na baba yako karibu japo kidogo tu. Ili watot wajue kuna babu cyo bibi tu.

  • @kigozizari658
    @kigozizari658 3 ปีที่แล้ว

    Aise mondi umesema vizuri sana icho ndo kitu ambacho una takiwa kukifanya watoto wawe wamoja maana usipo fanya angalicho izo chuki za mama zao zina weza kuwa bana ukubwani kuwahiyo fanya haraka jamani😔😔✋

  • @فهدالحربي-ك1ه
    @فهدالحربي-ك1ه 6 ปีที่แล้ว

    nimekupenda sana mond kweli ww ndio unatatuwa kila jambo

  • @jovinabunyomyo3993
    @jovinabunyomyo3993 6 ปีที่แล้ว +1

    nice boy I like u mondi😘😘😘

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 4 ปีที่แล้ว

    Kwa dini yetu ya kiislam dimond huna mtto hata 1 maana hujaowa kwa na yule tifa wewe waweza muowa wala hupati zambi jipange rudi kwa mola tubu staghafiru haya maisha ni mafupi sana wala hayana thamani na mbora ni yule mwenye kuwa na hofu ya allah namuomba allah atuswamehe sote atujaliye na aturidhie

  • @marinamooh4055
    @marinamooh4055 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Hongera sn Diamond Allah hu Ibarik family yk na wazazi wenzako🙏

  • @smartmussadozen3535
    @smartmussadozen3535 6 ปีที่แล้ว

    Bro umeongea busara sana 👏👏👏

  • @naomibrown4675
    @naomibrown4675 6 ปีที่แล้ว

    Weee brother diamond surual hizo kama huvai mkanda basi miii kama disaina utoage luksi by David Madudu boi from mbeya

  • @lindasophia1288
    @lindasophia1288 6 ปีที่แล้ว

    Umeongea vizuri sana leo 😍😍

  • @mildredagunda3555
    @mildredagunda3555 6 ปีที่แล้ว

    Well said boss man that's why I like you and will always be my favourite East African artist. Baba Dully 👐

  • @MariamsLifestyle
    @MariamsLifestyle 6 ปีที่แล้ว

    Umeongea point sana maana watoto n malaika hawajui chchte kile

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 6 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa chibu 💖💖😍

  • @anilamnazi7295
    @anilamnazi7295 6 ปีที่แล้ว +5

    Nyie mastaa mna sifa sana vitu vya kuongelea kifamily paka mtoe kwenye mitandao ndo mnaona sifa

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 6 ปีที่แล้ว

    Safiii chibu ila ucmuache hamisaaa ili wasiompendaa wajinyonge hawa mbulula

  • @shakiraally7073
    @shakiraally7073 6 ปีที่แล้ว

    apo sawa mond

  • @sharlinanyanje4065
    @sharlinanyanje4065 6 ปีที่แล้ว +23

    Lakini watoto wazari wakiwa wakubwa n kujua yale baba yao alitetendea mama yao... Watamchukia sana. Vzur internet hua haifuti mambo... Hawatamheshimu baba yao hata..

    • @jaysballoh22
      @jaysballoh22 6 ปีที่แล้ว

      Sharlin Anyanje kabisa

    • @frankmufunga1792
      @frankmufunga1792 6 ปีที่แล้ว

      Sharlin Anyanje sio kumueshimu tu baba hata kutopendana

    • @thomaschenge8132
      @thomaschenge8132 4 ปีที่แล้ว

      Hawawezi kuwaza ufala kama wako

    • @thomaschenge8132
      @thomaschenge8132 4 ปีที่แล้ว

      Hawana mawazo ya kifala kama yako

    • @nassorali3427
      @nassorali3427 4 ปีที่แล้ว

      Lau ungejuwa thamani ya mzazi bc usingesema hivyo

  • @faidadusabe9249
    @faidadusabe9249 6 ปีที่แล้ว

    umenena jambo Mondi, Mungu awatangulie 🙏

  • @yannillahabdallah2357
    @yannillahabdallah2357 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah upend zaidi nimama waache hao wasimamia kucha

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 6 ปีที่แล้ว

    Zari safiiiiiiii.

  • @augustinepaul8739
    @augustinepaul8739 6 ปีที่แล้ว

    It's well said big young brother

  • @janejane4220
    @janejane4220 6 ปีที่แล้ว

    ulijitafutia mwenyewe...to love somebdy is a choice u can't force pple to love whoever they don't want to....watanzania mna maneno

  • @estherbebe2303
    @estherbebe2303 6 ปีที่แล้ว +1

    Wow beautiful speech 💙👌🏾

  • @judydota4242
    @judydota4242 6 ปีที่แล้ว +3

    Kkuja pamoja kama family ya watoto watatu ni kazi ngumu kwa Zari she is a don't care but 4 hamisa ni kama kumeza mate amekubali because she depends on diamond that's a fact to hamisa

  • @simpawfb8026
    @simpawfb8026 6 ปีที่แล้ว

    go forwad bro demion platnuzm like this song

  • @mr_yassinofficial
    @mr_yassinofficial 4 ปีที่แล้ว

    Ushauri mzuri,ila na wewe punguza ku zaa zaa hovyo mzee baba
    Kumbuka wewe ni muislam chunga heshima ya Dini🕋 yako

  • @starwork9496
    @starwork9496 6 ปีที่แล้ว

    Kabisaaa simba upendo kwa woteeee ndosaw kizaz sanaaa man

  • @omarmasuke8610
    @omarmasuke8610 6 ปีที่แล้ว

    Ahaa sasa nimekuelewa uliposema wazazi wao watabaki kuwa washikaji tu, nivzuri coz ukimuoa m1 utatengeneza chuki endelevu kwa wanao hawatapendana.

  • @zephaniahkebwage9999
    @zephaniahkebwage9999 6 ปีที่แล้ว

    True father,children first

  • @ommydee
    @ommydee 6 ปีที่แล้ว

    good San #diamond skuping.

  • @mohamedmustafa8336
    @mohamedmustafa8336 6 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa san mzazi

  • @kenyansingulfarabscountrie2988
    @kenyansingulfarabscountrie2988 6 ปีที่แล้ว +1

    I love this😍

  • @ashakidide9982
    @ashakidide9982 4 ปีที่แล้ว +2

    Leo mond umeongea la maana sana bora uongee mwaya maana wengne hawaelew

  • @araphaalhad6362
    @araphaalhad6362 4 ปีที่แล้ว

    Mzee big lea patanisha watoto

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 6 ปีที่แล้ว +1

    Mabrook..watapata tabu sana

  • @officialpriscillakiloko9811
    @officialpriscillakiloko9811 6 ปีที่แล้ว

    Nakupenda dada kwa sauti yako 👌❤❤

  • @semenibrahim8340
    @semenibrahim8340 6 ปีที่แล้ว

    God bless you and your family

  • @susanseebich5264
    @susanseebich5264 6 ปีที่แล้ว +19

    God be with your family.....marry a good wife like wema sepetu God bless you

    • @amryzubery1051
      @amryzubery1051 6 ปีที่แล้ว

      ww akiri huna unakosa kumtunza baba yako unaacha eti kisa kakukimbia

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 6 ปีที่แล้ว

      Susan Seebich kenge wee

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 6 ปีที่แล้ว +21

    Mzee baba @diamondplatnumz umekua now coz umeongea maneno ya busara kilicho bakia ni picha tu ya pamoja ya wototo wote

    • @harrispuki464
      @harrispuki464 4 ปีที่แล้ว

      Geofrey Barama .All o den he cdnt get da right one.eeeeh

  • @rashididavid3220
    @rashididavid3220 6 ปีที่แล้ว

    U r intelligent bro

  • @naidaathman2196
    @naidaathman2196 6 ปีที่แล้ว

    Hapo vipi hapo sawa

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 6 ปีที่แล้ว

    Yaan ungejua kama kuna kufa ungemrudia mungu wako ukatubu dhambi zako ndo kwanza zinaa umeweke mbele ila mungu anakuona baba tee

    • @salmaothman153
      @salmaothman153 6 ปีที่แล้ว

      Alfred Angelo nawe nn kafiri pambana na hali yako

  • @habibutz8679
    @habibutz8679 6 ปีที่แล้ว +2

    kweli bro simbaa tunakubali sasa sisi watu tanga wale wa kwetu like hapahapa

  • @alimaalimaa6048
    @alimaalimaa6048 6 ปีที่แล้ว

    wow ongera simba wangu

  • @sadatykadeda1478
    @sadatykadeda1478 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @shakirakawambwa5344
    @shakirakawambwa5344 4 ปีที่แล้ว

    nimependa hiyoooooooooo

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 ปีที่แล้ว

    Nice simbaaa