#MEDANIZASIASA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !

ความคิดเห็น • 10

  • @massawemrlowprice3949
    @massawemrlowprice3949 ปีที่แล้ว +2

    Naomba like zangu za kuwa Namba 1 juu kabisa

  • @gilbertfuria5817
    @gilbertfuria5817 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Star TV na Kipindi hiki cha Medani za Siasa kwa Kumuhoji Baba Raila,

  • @robertjustine358
    @robertjustine358 ปีที่แล้ว

    Hongereni StarTV for daring

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 ปีที่แล้ว

    Nakubali ulimshinda kibaki ila hukumshinda Ruto

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 หลายเดือนก่อน

    Laila odinga is not politician is the popular Kuna tafouti kt ya mwana siasa na maarufu lakini sio mtawala

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 ปีที่แล้ว

    Ubaya ni kwamba unaleta Ukabila sana kwenye siasa. Ungeachana na Ukabila naamini utashinda

  • @shetijay
    @shetijay ปีที่แล้ว +1

    Raila yuapoteza nguvu zake bure,nusu mkate katika serikali ya ruto haipo maana deputy president rigathi gachagua na wandani wake hawatakubali,alafu chengine,swala la wewe(raila)kuwa rais,halitofanyika kamwe.

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 ปีที่แล้ว

    Raila siyo kiongozi bora.Wakati akiwa waziri mkuu aliwapendelea zaidi watu wa kabila lake la wajaluo.Hata hivyo,naamini alimshinda Ruto mwaka jana.

    • @hesabugabo
      @hesabugabo 6 หลายเดือนก่อน

      Gombea.naww.usiwe.
      Unabagua