MTOTO WA MAMA ALIYE KUFA NA MWANAJESHI MSTAFU KAFUNGUKA MAPYA BABA AKISAFIRI ALIKUWA ANAKUJA KULALA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 107

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 8 วันที่ผ่านมา +11

    Uyu sio mwanawe fara tu sura imemkomaa na pua zake anavyo zitanua kama matobo ya tanuli la mkaa yanayo tolea moshi😂😂😂😂😏😏😏

    • @Nite-zd8il
      @Nite-zd8il 8 วันที่ผ่านมา +3

      Na kwanini wanafanya hivi. Yaani wanaigiza ru. Inabidi kuiripot hii TH-cam. Juzi alikuwa Tegeta kama witness kwa ile issue ya TRA

    • @JamilaSeif-y8m
      @JamilaSeif-y8m 7 วันที่ผ่านมา +1

      😅😅😅😅😅

    • @theodorythobius3965
      @theodorythobius3965 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@Nite-zd8ilkabisa , kuna haja kubwa kuiriport hii chanel.

    • @EstherCharo-lc3md
      @EstherCharo-lc3md 7 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 7 วันที่ผ่านมา

      @@JamilaSeif-y8m 😀😀👍

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 8 วันที่ผ่านมา +2

    Yaani mjeshi anajifanya kuja kuangalia ball , kumbe anakula mke wa mtu. Pole sana Kijana!

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 8 วันที่ผ่านมา +5

    Mtangazaji na mtoto feki wa marehemu wote mbwa tu ivi mnajitambua au ndo maisha yamekuwa magumu mnatafuta kiki wmuone komwe kama zoleo la taka 😢

    • @GabrielWilliam-b4g
      @GabrielWilliam-b4g 8 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂 et kama zoleo la taka

  • @theresinasmuhinda1606
    @theresinasmuhinda1606 7 วันที่ผ่านมา +3

    Jamank habari hii ipuuzwe huyu si mtoto wa marehemu. Ni mwongo naomba achukuliwe hatua.

  • @MohammadAl-shehhi
    @MohammadAl-shehhi 8 วันที่ผ่านมา +2

    😂goja nicheke kwajisi anavyo bwabwaja huyu mpuuzi mzee alisema aliwakuta wamelala na wewe unasema walikuwa wamegadana hebu muwache wapumzike kwaamani 😢

  • @khadija5761
    @khadija5761 9 วันที่ผ่านมา +2

    Pole mwanangu allah akutiye nguvu

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 8 วันที่ผ่านมา

      Hyiyo faki si mtoto wa marehemu dd wasenge waandishi

    • @VictoriaMwanga-o4f
      @VictoriaMwanga-o4f 8 วันที่ผ่านมา

      Hata Mimi nimepata wasiwasi Mtoto hawezi kuwa na ujasiri kiasi hiki nae amefiwa na mama mzazi.Mungu amsamehe

    • @tumainiseni6845
      @tumainiseni6845 7 วันที่ผ่านมา

      Sio mtoto wake huyo

    • @TukaeAhmadi
      @TukaeAhmadi 7 วันที่ผ่านมา

      Mwandishi Hana maajabu mpuuzi tu

  • @ThureyyaSaid
    @ThureyyaSaid 9 วันที่ผ่านมา +4

    Haifai watangazaji kwa dini zote kumsema maiti mtu kesha kufa aombewe duaa msiseme maiti kwa makosa yake yalopita haifai dini zote zinakataza Mtangazaji mue na Subra kutangaza mambo yalopita haipendezi ungekuwa wewe unafurahia

  • @BenedictaMagantg
    @BenedictaMagantg 8 วันที่ผ่านมา

    Pole saba. Poleni sana watoto.

  • @MariamCrispo
    @MariamCrispo 6 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi matumizi ya lugha Bado sana

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 6 วันที่ผ่านมา

    Msenge wekaka unaharibu sana stori

  • @rosemkeleja7768
    @rosemkeleja7768 2 วันที่ผ่านมา

    Waongo Sana hawa

  • @saudarashidi8734
    @saudarashidi8734 9 วันที่ผ่านมา +2

    Nikweli mbona uyu kijan kafanana na uyu mume wa uyu mama anaweza kuwa mwanaye kweli

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ameweza kufariki. Ameweza kuzikwa. Ameweza kuweza, imeweza kila baada ya neno moja. Video ina maudhui ya kuudhi na imewasilishwa kwa hii lugha ya ajabu ambayo inashika kasi kubwa hapa Tz. Jirekebisheni mnakera sana😢

  • @midilastahans7188
    @midilastahans7188 7 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani kwanini huyu mbwa anasema uwongo?sio ndugu jamani watanzania huyu kijana mwizi WA mtaani

  • @DianaNyange
    @DianaNyange 7 วันที่ผ่านมา

    Mmmh jamani inaumiza sana

  • @JacksonMaganga-fz5qk
    @JacksonMaganga-fz5qk 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee wangu we usijali kwa hili chukua huyo mke wake uishi naye

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 6 วันที่ผ่านมา

    Halafu haikua gesti ilikuwa nyumbani kwa mwanajeshi kuku nyie mchinjwe Christmas 😢

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 8 วันที่ผ่านมา

    Hukumu ni ya Mungu mwenyewe sio ya wanadamu. Inawezekana yeye Ni mwema kwa Mungu kuliko ninyi.

  • @happinessmchome9101
    @happinessmchome9101 8 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani mitihani ya darasa la saba tayari mda sana. Uongo mwingine bwana? Alafu kwenye ndoa miaka kumi na nne wakati wameishi miakq 30 na ndoa ndio wamefunga mwaka jana duuuu. Muwe mnajipangq aisee.

  • @LudovickTibakyenda-gs2wh
    @LudovickTibakyenda-gs2wh 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa njaa itamuua. Ndg wa huyo mama watamshitaki ataishia jela pumbavu zake

  • @priscakengwa2497
    @priscakengwa2497 5 วันที่ผ่านมา

    Guest??shwetaain

  • @zakiaSalim-v3e
    @zakiaSalim-v3e 8 วันที่ผ่านมา +1

    JAMANI HAO VIJANA MSIWAULIZE MAMBO HAYO MNAWAUMIZA

  • @RehemaJackson-f9s
    @RehemaJackson-f9s 9 วันที่ผ่านมา

    Pole kaka inatakiwa kumgeukia mungu

  • @carolinemungwa955
    @carolinemungwa955 6 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji una chosha 😢 duuu

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 7 วันที่ผ่านมา

    😢

  • @MagdalenaMatiko
    @MagdalenaMatiko 6 วันที่ผ่านมา

    Amefia dhambini na kifo cha aibu

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 6 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji mshamba sana

  • @ModesterRuguzye
    @ModesterRuguzye 6 วันที่ผ่านมา

    Mm niseme tu kuwa aliyetenda Jambo hilo atalipa hakika hakupaswa kuwahukumu sasa mtalilipia hakika nawaahidi mtalilipia hakuna mkamilifu chini ya jua

  • @AlfonceKasanyi
    @AlfonceKasanyi 8 วันที่ผ่านมา

    Kama ni kweli huyu si mwanaye Hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake pamoja na Channel hii.Lakini kama ni mwanaye kweli Pole sana kijana.

  • @priscakengwa2497
    @priscakengwa2497 5 วันที่ผ่านมา

    Mhhh et wamegandana na yule mzee eti kasafiri kutoka Dodoma mpaka Tabora akakuta wamegandana nyie nyie😂😂

  • @Magreth-f2j
    @Magreth-f2j 6 วันที่ผ่านมา

    Ina maana una miaka mingapi mbwa we ndoa ya wazee wako ina miaka 14 je.we una miaka minapi

  • @zayanazayana5518
    @zayanazayana5518 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu kijana labda ni mtoto wa huyo mume tu, labda yeye mama yake ni mwingine

  • @ZuhuraAthuman-u2i
    @ZuhuraAthuman-u2i 6 วันที่ผ่านมา

    Pumbavu zako mtoto wa marehemu hawezi mdhalilisha mama yake hadharani mwandishi uchwara kabisa tena nyokoo kabisa

  • @MariamCrispo
    @MariamCrispo 6 วันที่ผ่านมา

    Siyo ameweza kufariki Mimi sijasoma ujue jifunze kutumia lugha vizuri.
    Usikurupuke ktk kuongea

  • @moyojubeki6330
    @moyojubeki6330 วันที่ผ่านมา

    Yaani mpaka anaona aibu

  • @ChristinaShaban-j8v
    @ChristinaShaban-j8v 6 วันที่ผ่านมา

    Akome

  • @yussufhashim4472
    @yussufhashim4472 7 วันที่ผ่านมา

    Ndugu wangu watanzania watu wamekufa sitirini aibu za watu nakama huyu kijana ni mtoto wake ni mjinga sana

  • @EinothMotika
    @EinothMotika 2 วันที่ผ่านมา

    Nyie mkitaka watu wawapende media zenu acheji uzushi.kwani mtu akisha kufa atarudi? Wala haisadii chochote kuendelea kumwongelea

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 7 วันที่ผ่านมา

    Wewe unasema mama na baba wameishi miaka14 kwa hiyo wewe siyo baba yako maana wewe mtu mzima. Acheni uwongo siyo mtoto wake

  • @MwajumaSadiq
    @MwajumaSadiq 7 วันที่ผ่านมา

    Eti mtihan wa darasa la sabaaaaaa😂

  • @user-ts1tp6se3z
    @user-ts1tp6se3z 7 วันที่ผ่านมา

    Nanyie waandishi mnatuchanganya mume wa marehem anasema walikuwa hawakukamatana walikuwa wamelala wakiwa uchi tu, huyo naye anayedai ni mtoto wa marehem anadai walikuwa wamegandana sasa tuamini yupi ?au taarifa ni kubumbz ?

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 7 วันที่ผ่านมา

    Makosa tu yakawaida sioni haja yakuwahukumu aliyewaua ndio anadhambi sana na atakua huyo mwenye mke au mwenye mme

  • @CONEONLINETV
    @CONEONLINETV 9 วันที่ผ่านมา +1

    wakwanza kutoka zimbabwe

  • @AishaHussein-en3wf
    @AishaHussein-en3wf 7 วันที่ผ่านมา

    Uyu awekwe ndani,pumbavu kabosa

  • @titongholo6261
    @titongholo6261 8 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni uongo hawakunasana

  • @anoldamkumba3208
    @anoldamkumba3208 7 วันที่ผ่านมา

    Hamna sifa ya uandishi wa habari ila UZUSHI mwauwezaa,.Aliyewaambia wamegandana nani? Vyombo kama hivi vinastahili kufungiwa.

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 8 วันที่ผ่านมา +2

    Sio mtoto wa marehemu😂😂😂😂

  • @SalomeDaudi-b7s
    @SalomeDaudi-b7s 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu kijana achukuliwe hatua kwa kusema uongo mtoto wa mwisho ana miaka saba huyo anatumiwa

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 7 วันที่ผ่านมา

    mi ningekua huyo baba ningewaroga we mtangazaji na hii mbuzi unayoihoji

  • @hamiskakandilo1176
    @hamiskakandilo1176 8 วันที่ผ่านมา +2

    Sema mtangazaji kasome mkuu wangu, huwa ni " situation" hutamkwa kama sichueshen, na siyo STRESHENI

    • @RamlatyMkwata
      @RamlatyMkwata 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂🙌

  • @naomipieter4627
    @naomipieter4627 8 วันที่ผ่านมา

    Hii tv litawakuna jambo watt wote nawajua nahuyu hahusiki wala sio mwanafamilia ..mnaj8haribia sana

  • @SalomeDaudi-b7s
    @SalomeDaudi-b7s 7 วันที่ผ่านมา

    Huyo siyo mtoto wa marehemu

  • @joycemganga
    @joycemganga 7 วันที่ผ่านมา

    Wewe sio mtoto WA huyu mama hivi unapata wapi nguvu ya kusema mambo ya mama yako

  • @naomipieter4627
    @naomipieter4627 8 วันที่ผ่านมา

    Mhhhh

  • @VincentKazadi-n3b
    @VincentKazadi-n3b 7 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji naye maadili sifuri.Unamuulizaje mtoto mambo ya aibu ya wazazi wake ??

  • @AlexTawe-c1s
    @AlexTawe-c1s 9 วันที่ผ่านมา

    Pole,dogo Kwa machungu.

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 8 วันที่ผ่านมา

    Et unauliza mmesem mpo mkoa gan sii tabora huko sii ndo chimbuko la waganga na wachawi hamuamin mungu kam yupo

  • @tumainiseni6845
    @tumainiseni6845 7 วันที่ผ่านมา

    Kuigiza kwenyewe hujui,c ujiachie tu!acha uongo kijana

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 8 วันที่ผ่านมา

    Wewe mtangazaji mtoto atongelea vipi maswala ya uzinzi kwa mama yake. Huoni wewe huna busara. Sisi tupo mbali Dsm. Lakini hatuna haja. Nawewe mtoto ni mjinga tuu huna haja ya kutowa taarifa yoyote akaongee na baba yako .

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 7 วันที่ผ่านมา

    Muongo huyu eti kwenye ndoa Wana mipaka 14. Nyie

  • @Marjeby
    @Marjeby 9 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni usenge nyie huyo dogo msenge tu wala hana uhusiano wowote na hiyo familia

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 9 วันที่ผ่านมา

      Ndio wanarana sana vijan sio mwanawe

  • @GabrielWilliam-b4g
    @GabrielWilliam-b4g 8 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 8 วันที่ผ่านมา

    Huyu hana uhusiano na familia ya huyo aliyefariki, Bali katengenezwa ili kuleta habari

  • @priscakengwa2497
    @priscakengwa2497 5 วันที่ผ่านมา

    Mama nimnase kibao

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 8 วันที่ผ่านมา

    Baba anasema vingine na mwana mengine. Baba kakusema kuhusu kunatana na yeye hakuingia kumuona mama yake chumbani

  • @FekiHappy
    @FekiHappy 8 วันที่ผ่านมา

    Sio.mwanae.kwendaaaaaa

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 7 วันที่ผ่านมา

    Wameishi miaka 30 bila ndoa.ndo wamefunga ndoa mwaha jana.wewe unasema het miaka 14.mjinga mkubwa mjnga dogo sana

  • @djnangaxtwo2975
    @djnangaxtwo2975 9 วันที่ผ่านมา

    Dogo choko huyu 😂😂😂😂😂😂

  • @fkhalfan31
    @fkhalfan31 9 วันที่ผ่านมา

    😅😂😂😂

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 7 วันที่ผ่านมา

    FEKI

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 8 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni mbwa etii mtangazaji

  • @KisomaMwana
    @KisomaMwana 8 วันที่ผ่านมา

    Sasa kwann mumuhukumu nyie ndo mungu? Binadam yyt akifa afanyiwe mambo yote mtoa ukumu allah

  • @CharlesPeterkimweli
    @CharlesPeterkimweli 8 วันที่ผ่านมา

    Kwanza huo sio mama ake unalaana

  • @BusegaMigela
    @BusegaMigela 9 วันที่ผ่านมา

    Hamkufanya vizuri sio wale wanao saliwa ni watakatifu kiimani tuombeane wrote mungu ndie anae hukumu nyie mnamuukumu dini huficha maovu tu

  • @FatumaJuma-b2g
    @FatumaJuma-b2g 8 วันที่ผ่านมา

    Mh co mtt wake huyu pyiiiiiiiiii 😏 upuuzi tu

  • @Alphonce223
    @Alphonce223 8 วันที่ผ่านมา

    Uyu siyo mtoto wake ni drama mnatengeneza tu

  • @MosesBahanza
    @MosesBahanza 8 วันที่ผ่านมา

    Sasa wewe mtu mzima bado unaishi kwenu, umri wako sio wakuishi nyumbani ungekuwa unajitegemea usingepata aibu hii, hii ni aibu kwako

  • @RahimaMct-ik8mr
    @RahimaMct-ik8mr 9 วันที่ผ่านมา

    Huyu mtoto kanakisea usinge sema madhaif ya mama yako

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 7 วันที่ผ่านมา

    Hawajagandana hacha ujinga.na wewe ni.mtoto umeingia kichwa kichwa wenzako wanapiga pesa kwa video hii.

  • @LoyceLoyceMwainyekule
    @LoyceLoyceMwainyekule 8 วันที่ผ่านมา

    Uongo mtupuu,, ni mtoto wa nani anayeweza kumzungumzia mama yake ujinga huo

  • @maxmillanayo2979
    @maxmillanayo2979 8 วันที่ผ่านมา

    Ili ujue hii ni trending zinatafutwa,baba nilimsikiliza akasema kwanza watoto awajajitambua vzr bado,na baba alisema mtoto wa mwisho anayo miaka saba,huyu kasema mtoto wa mwisho yupo shule boarding,wajinga sana hawa

  • @sophiamtatondwa9002
    @sophiamtatondwa9002 8 วันที่ผ่านมา

    Ivi hawa wanaojiita wanafamilia kwanini wasikamatwe kwanini uongeleee familia isiyo ya kwako. Mnakela sana ovyo kabisa

  • @GhatiPaulo-v5c
    @GhatiPaulo-v5c 9 วันที่ผ่านมา +1

    Pole kaka

  • @PierreBukasa-fu3yx
    @PierreBukasa-fu3yx 8 วันที่ผ่านมา

    Mjinga wewe mtangazaji na huyo kijana,

  • @FidelisNdorobo
    @FidelisNdorobo 8 วันที่ผ่านมา

    Waandishi wa habari wengine wapumbavu kweli mnatafuta watu wa uongo na kutengeneza habari ili mpate viewers huyo anaonekana cyo mtoto wake maana anaongea vitu havieleweki!! Hizi online media nyingine ni za kijinga sana

  • @omarydiwani1488
    @omarydiwani1488 8 วันที่ผ่านมา

    Msitafute kiki za kijing

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 9 วันที่ผ่านมา

    Kiki za mbwa

  • @CharlesPeterkimweli
    @CharlesPeterkimweli 8 วันที่ผ่านมา

    Wajinga nyie watu wahovyo sana nyie

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 8 วันที่ผ่านมา

    Bora nijiondoe kwenye channel hii ya uzushi na uwongo

  • @AbdallahMchaga-e5q
    @AbdallahMchaga-e5q 8 วันที่ผ่านมา

    Mamayako huezi ongea ivyo

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 8 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu sio mwanawe fara tu sura imemkomaa na pua zake anavyo zitanua kama matobo ya tanuli la mkaa yanayo tolea moshi😂😂😂😂😏😏😏