Kila mtu ana historia ya alikotoka na aliko sasa. Hivyo ni jambo la muhimu kumshukuru Mungu kwa umbali aliotutoa. Be blessed my people na mjue nawapenda sana.♥️♥️🥳🥳🙏🙏🔥🔥
Hey , n furaha tu🎉🎉 😊😊😄 aki c u barikiwe zaidi , nasikiza nyimbo zako nikiwa Nairobi, dada una kipaji kweli , usilegeze kamba , ubarikiwe mahali pale ulipo😄😄
Wow... Anastasia you made it... congrats 🎉 for this ...I can't take it for granted coz Catholic artists are rare , who can sing in line with the liturgy.🎉🙏🙏🙌
Kila mapito yanatuachia historia, nyingine za kufurahisha na nyingine za kuumiza na kuhuzunisha, kweli hakuna safari isiyokuwa na changamoto. Mawimbi ni makubwa, mishale ni mingi lakini Mungu wetu mwema amekuwa upande wetu, akituvusha katika kila changamoto, wema wake ni waajabu na Matendo yake yanashangaza.
Kwa kila jambo tunapaswa kumshukuru; liwe baya au Zuri. Na kwa kila hatua tunamrudishia sifa maana matendo yake kwetu ni ya ajabu na yanashangaza sana.❤❤😊😊
Kiukweli bidii na standards umezifikia ipasavyo. Hongera sana kwa wimbo mzuri wenye maneno mazuri ya shukrani. Kilamtu anayo story yake, alikotoka na alipo sasa. Congratulations Anastacia ❤❤❤
Hongera sana dada Anastacia kwa uinjilishaji huu kwa njia ya uimbaji. Hongereni pia wana Karoli Lwanga wa Parokia ya Familia Takatifu, Njiro - Arusha kwa kushiriki uinjilishaji huo. Mungu azidi kuwabariki nyote na kuwainua.
Nautazama nikiwa Juja @Kenya. Hongera sana Annastacia kwa Kazi nzuri ya Uinjilishaji. Ujumbe muruwa kabisa, tumshukuru Mungu kwa kuwa ameambatana nasi katika safari yetu ya Maisha, Uinjilishaji, mafanikio na kadhalika. Pasaka njema.
Woooow this is amazing....what a encourangement song it is!!!Congratulations for this new song👏👏👏👏👏👏its true ametukinga,ametulida na tunashukuru kwa hayo.....I love you sooo much pamoja na songs zako dear❤❤❤❤❤❤
Congratulations annastacia keep going, it's true Am here to proclaim God's greatness having been a maid for 7 yrs raising my siblings sure he has strengthen me,amenitoa mbali.....
I'm honestly touched by this. Huu ni ushuhuda Tosha kwamba Mungu anatembea nasi throughout our daily hustles and all this is for the glory of His name. May you live to proclaim His goodness to your life and may all who come across you call you "the blessed one".
@@anastaciamuemaTruly, It's good to give thanks to the Lord in all things. The good abd bad that happens in our lives, for he directs the steps of his faith. Great Song❤
I'm from Togo but the way i like that song every day i listen very nice voice , thanks for the joy in our heart , may God Give you strength and good Heath to Continue to Glorify God 🙏🙏
Our Kenyan Mukasa.....❤❤❤ Love and prayers from me .I love you @Anastacia Muema...I love your songs, uplifting and superb job to the videographer ..❤❤❤❤❤❤❤
This song reminds me of many times in my life and the life many families and friends that I know who have been through a lot 😢 But now the plans of the almighty and faithful God revealed 🎉🎉❤❤ Glory to God in highest ❤
Kila mtu ana historia ya alikotoka na aliko sasa. Hivyo ni jambo la muhimu kumshukuru Mungu kwa umbali aliotutoa. Be blessed my people na mjue nawapenda sana.♥️♥️🥳🥳🙏🙏🔥🔥
and we love you even more our catholic viva💞💞✍✍
❤❤❤
Rozashala pia anakupenda pia sana❤ 😊
Siku zote Mungu 😝
😢kweli yashangaza matendo ya Mungu wetu🙌
kama unamkubali Mama Anastazia gonga like hapa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Namkuvari sana 0:24 🎉
Naomba higokop yawimb
Congrats🎉 kazi nzuri🤝👏🏽👏🏽
❤❤nabarikiwa sana na nyimbo zako sauti tamu tamu
Honger San Anastacia muema Mar zote unatuletea nyimbo nzur
Wimbo uko 🔥🔥🔥
Wakwaza jaman kutoka Dodoma like hapa kwajili ya nyimbo hii zur🥰🥰
Asante sana Jamaica. Wasalimie sana watu wa Dodoma❤❤
Ubarikiwe sana🎉😊❤
@@anastaciamuema Asante piya Kwa nyimbo zenu zinabaliki sana 🙏🙏
Hey , n furaha tu🎉🎉 😊😊😄 aki c u barikiwe zaidi , nasikiza nyimbo zako nikiwa Nairobi, dada una kipaji kweli , usilegeze kamba , ubarikiwe mahali pale ulipo😄😄
Wa kwanza from zanzibar more likes kwa dada yetu qeen of catholiç songs
Shukran sana kwa kuchukua muda wako kutazama wimbo huu.❤❤ Wasalimie saba huko Zanzibar❤❤❤
Wow... Anastasia you made it... congrats 🎉 for this ...I can't take it for granted coz Catholic artists are rare , who can sing in line with the liturgy.🎉🙏🙏🙌
Enjoying great music once again by Anastasia the songbird ❤ beautiful
Hengera dada unajua kuimba alafu unasauti nzuli yakuimba nakukubali sana mungu akubaliki sana na uimbaji wako
This so beautiful you never disappoint.. congratulations Anastacia
Mamy Anastasia nyimbo Zako niutulivu kwa moyo wangu
Hongera sana dada Kwa kazi nzuri ❤Mungu azidi kukubariki na kukutumia
Mungu akubaliki Kwa utume🙏
Because of gebby am here listening to this beautiful song,,,never been a catholic but for this song can see myself transforming to be a catholic ❤
Wooow!! Haki asante sana Margaret. Mungu akubless sana and thanks to Gebby too for bringing you to our channel. Feel at home❤❤❤
You are welcomed sana to catholic ❤❤emagine listening to this songs always
C'est parfait! Merci et que le Seigneur guide vos pas!
Kila mapito yanatuachia historia, nyingine za kufurahisha na nyingine za kuumiza na kuhuzunisha, kweli hakuna safari isiyokuwa na changamoto. Mawimbi ni makubwa, mishale ni mingi lakini Mungu wetu mwema amekuwa upande wetu, akituvusha katika kila changamoto, wema wake ni waajabu na Matendo yake yanashangaza.
Kwa kila jambo tunapaswa kumshukuru; liwe baya au Zuri. Na kwa kila hatua tunamrudishia sifa maana matendo yake kwetu ni ya ajabu na yanashangaza sana.❤❤😊😊
yanashagaza kweli🙏🙏🙏
amina
Hongera sana natazama kutoka USA ❤
Kiukweli bidii na standards umezifikia ipasavyo. Hongera sana kwa wimbo mzuri wenye maneno mazuri ya shukrani. Kilamtu anayo story yake, alikotoka na alipo sasa. Congratulations Anastacia ❤❤❤
Asante sana for this compliment. Sifa na utukufu zimrudie Mungu akiwa kitini cha enzi🙌🙌🤝🤝❤❤
Ukweli tunatambua wema wa Mungu, matendo ya Mungu yanashangaza, Merci seigneur🎉🎉 22:07
Wimbo mzuri Anne na kwa ya Mtakatifu Karoli ❤
Sauti nayo ulibarikiwa❤
Kazi njema kabisaa 4 representing Kenya 🇰🇪 Annastacia
Asante sana. Be blessed dear❤❤
Congratulations my dearest darling sister ❤❤❤❤❤❤❤love you so much
Thankyou so much my darling bro❤❤. Love yoy too😊😊🎉🎉
Wakwanza kutoka kigoma like nyimbo nzuri ya dada yetu mpendwa Anastacia💕💕
Mm Blandina na mume wangu🥰🥰
Jamani mungu wetu ni mkuu sana huu wimbo umenibariki sana , hongera sana dada yetu Anastasia muema. Msalimie mpiga kinanda
Dada anasta unachikanisha mizizi ya Imani kikatoliki.baba yetu wa binguni akulinde vyema..Amina
Wimbo mzuri ❤
The sweetness of catholic music,hongera sana dada Anastacia....kazi safi sana ❤️❤️❤️ keep going
Thankyou so much my sister❤..
Be blessed 🙌 ❤
Aa mbarikiwi sana
Glory to Jesus ❤
Watching from the Uganda the pearl of Africa 🇺🇬🇺🇬
Thankyou so much for tuning in. Feel appreciated ❤
Niko voi Kenya wimbo mzuri sana
Woooow congrats Queen💗💗💗🎉🎉🎉🎉🎉♥️♥️♥️♥️
The first one leo
Thanks my dear. You were for sure the first one to watch and comment❤❤❤😊
Wimbo mzuri kabisa, Mungu akutie nguvu
Hongera sana dada Anastacia kwa uinjilishaji huu kwa njia ya uimbaji. Hongereni pia wana Karoli Lwanga wa Parokia ya Familia Takatifu, Njiro - Arusha kwa kushiriki uinjilishaji huo. Mungu azidi kuwabariki nyote na kuwainua.
Amina, ubarikiwe pia mwana wa Mungu
Asante sana Jackson. Ubarikiwe sana🙏❤️
Napenda kazi yako
❤ Mungu akutangulie
Mwenyezi Mungu aendelee kukukinga mabaya kama alivyofanya siku za nyuma. Zaidi ubarikiwe sana
Amina. Na asante sana kwa matashi mema❤🙏👏🫶
This lady with her voice mashallah🥰🥰, I just love her❤😘,,and that field of shooting I really miss it where u can see Mt Kilimanjaro so near u😋☺️
Nautazama nikiwa Juja @Kenya.
Hongera sana Annastacia kwa Kazi nzuri ya Uinjilishaji. Ujumbe muruwa kabisa, tumshukuru Mungu kwa kuwa ameambatana nasi katika safari yetu ya Maisha, Uinjilishaji, mafanikio na kadhalika. Pasaka njema.
Asante sana Francis kwa hii comment. Inanitia moyo wa kuendelea zaidi. Be blessed❤❤❤😊😊
Excellent Gospel lady,your voice is so amazing.Safi sana Mungu azidi kukuinua ktk viwango vya juu.
Woooow this is amazing....what a encourangement song it is!!!Congratulations for this new song👏👏👏👏👏👏its true ametukinga,ametulida na tunashukuru kwa hayo.....I love you sooo much pamoja na songs zako dear❤❤❤❤❤❤
Mungu watu anatupenda na anatembea nasi kila hatua ya maisha na kwenye safari yetu ya kuwa karibu naye.
Be blessed dear one🎉❤
You are an exceptional ❣️⭐, always giving the best 🥰❤️
Am the first from kenyaaaaaa 254 I love you ann
Aaawwww❤❤❤. Thankyou so much and be blessed Ken❤
Cogratulation Ann,, keep shining 🎉
Hakika yanashangaza matendo yake,,, hongera dada🎉🎉❤
Ubarikiwe mimi nautazama nikiwa Congo RDC.kweli astaili kushukuriwa milele
Ubarikiwe kabisa mtumishi wake Bwana 🔥🔥🙏🥰🥰
Kazi nzuri sanaa ❤
Shukran sana. ❤❤
Niko Katavi❤
Wimbo mzuri huu❤❤the vibe of Catholic in it'woow.go go mommy🙏🙏❤the Lord is so proud of you and for what your doing 🔥
Nairobi Kenya....I like it❤
Congratulations annastacia keep going, it's true Am here to proclaim God's greatness having been a maid for 7 yrs raising my siblings sure he has strengthen me,amenitoa mbali.....
I'm honestly touched by this. Huu ni ushuhuda Tosha kwamba Mungu anatembea nasi throughout our daily hustles and all this is for the glory of His name. May you live to proclaim His goodness to your life and may all who come across you call you "the blessed one".
@@anastaciamuemaTruly,
It's good to give thanks to the Lord in all things. The good abd bad that happens in our lives, for he directs the steps of his faith. Great Song❤
Napatikana congo D R c
Serving God's never in vain.
This is beautiful, Anastacia.
May God's blessings be upon your works, today and always 🙏🏿
Amen Amen. Thankyou so much my dear sister❤. You are doing an amazing job too.,❤❤❤
Anastasia daday maisha yana storiy ndefu jambo kubwa kushukuru kwa mungu ubariķwe kwa kaz,nzurì
Kazi nzuri dada,hongera
Niko Kahama shinyanga Tanzania karibu sana
I'm from Togo but the way i like that song every day i listen very nice voice , thanks for the joy in our heart , may God Give you strength and good Heath to Continue to Glorify God 🙏🙏
Matendo ya mungu kweli makuuu 💯 be blessed dad yetu unatukumbusha sanaa ukuu wa mung kupitia nyimbo zako❤❤🎉
Wawoooooo wimbo mzuri unatubariki sana mungu azidi kuwabariki tuzidi kubarikiwa na wimbo wako sister❤❤
Amina na shukrani sana kuchukua muda wako kutazama. Ubarikiwe sana mpendwa❤❤
❤❤❤❤ congratulations dada🙏🙏🙏
Ametulinda na mengi Kwa Sababu matendo yake inashangazaa kweli ❤❤❤❤❤🎉🎉God bless you annstacia muene 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Thankyou so much. Be blessed too for taking your time to watch❤
Napenda sana
Our Kenyan Mukasa.....❤❤❤ Love and prayers from me .I love you @Anastacia Muema...I love your songs, uplifting and superb job to the videographer ..❤❤❤❤❤❤❤
Kiambu county Kenya.... Anna you're a blessing through your evangelization
Hello
Wow,, congrats 🎉🎉dada yetu,,,mungu akubari,,❤😍❣️❣️❣️❣️
AMINA❤🤝
Waooooo dada nyimbo nzuri sana ♥️🥰
i can't sleep even one day without Sing this song it's always in my mind 🙏🙏🙏
Kazi nzuri ❤❤i love your music❤❤
Niambie Unataza wimbo huu ukiwa maeneo gani?
Nyahururu,
I follow you from the Ivory Coast 🥳🥳
Mimi hapa Kenol murang'a.... tuko best
Burundi. 🇧🇮🇧🇮
watching from Nairobi, High-rise 💗💗💗🎉🎉
I like your songs so much ❤❤
This is a hit...... Ann
Amen Amen🙌😊
Matendo ya Mungu hakika ni ya ajabu na ya kweli...congrats for the song
Hakika huu utume n uliotukuka sana,, karoli lwanga tunawaelewa sana hasa sisi wanakwaya ya watakatifu wote hapa Ambrose kibuka sinoni mliman
Tunashukuru sana kwa upendo wenu
Amina tunaomba tutrmbeleane majirani
Dada nakubali sana
Am first one hear today 💃💃💃🎉🎉🎉🎉Congratulations congratulations dear❤❤❤❤❤❤keep spending the gospel 🎉
Thanks alot for taking your time to watch. Be blessed❤
This song reminds me of many times in my life and the life many families and friends that I know who have been through a lot 😢
But now the plans of the almighty and faithful God revealed 🎉🎉❤❤
Glory to God in highest ❤
Likes for Our Queen🎉🎉🎉❤❤
Aaawww❤❤
So talented ❤
Kenyans❤
Like this comment 💯🎈❤
❤❤❤❤
Jamani huyu kiboko Mungu akibariki🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤nampenda sana💯💃🌺🌺🌺🦓🦓🦓🦓
Nyimbonzuri❤❤sanalike kamaumependa
Anastasia ❤ Mungu ni mwema tumika ungali na nguvu
Mungu akutiye nguvu na azidi kuwa mwema kwetu sote. Toka DRC Kinshasa ❤
Kazi iendelee
Wimbo umenbariki sanaaa 🙏
Saf sana napenda sana kazi yako barikiwa sana
Kazi nzuri Ann,🥰🥰my favorite ❤
our very own sister has done it again hongera sna dada Annie kwa wimbo huu mtamu
Nice song may Almighty God bless you fore
Wow🥰, love your music dear🌹🌹🌹 be blessed ❤️
Hongera sana kwa wimbo mzuri wa kwanza kigoma.❤
Glad to see the same faces I see in Holy Family njiro parish Arusha. Big up my bros and sis😂😂😂
Kazi nzuri dada from kenya
Amazing❤❤
Anastaciah Ur songs are always on top notch ❤❤❤ tunakupenda sana pia
Hongera sana dada nakupenda sana
Uko na talent kwel
Hongera sana Mungu azidi kukuinua