Kuishi kwangu ni Kristo na kufa ni faida. Maneno yake mtakatifu Paulo. Tunapoishi kwa kumtumainia Mungu na kutenda yaliyo yake, huishi ndani yetu nasi ndani yake. Hivyo basi, kuishi kwetu kuwe ni kristo na hata kufa kwetu kuwe faida ndani ya Kristo.
Annastacia muema my neighbor 🥰congratulations 👏👏.. imagine huwa naskiza your songs kwa nyumba ,naomba siku moja tupatane tu na tuimbe nawe Mungu akipenda❤❤ .. I love you gal and am blessed thro' your songs
Nikiwa Italy- Roma nabarikiwa sana dada kwa wimbo mzuri..Amina sana..Mbarikiwe sana dada kwa Uinjilishaji....hakika kuishi kwangu ni Kristo na kufa ni faida..Maneno ya Mt. Paulo katika Waraka wake anatupatia matumaini hayo ya kukas ndani ya Kristo siku zote za maisha yetu.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kazi kama kazi, ujumbe kama wote, audio kama yote, video kama yote, warembo kama wote, dancers kama wote, kwaufupi ni kazi Safii. Hongera sana ❤❤❤🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏
Kazi nzuri mdada. Continue spreading the word of God through beautiful singing. The song is great, your voice so wonderful plus the outfits ...... ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤, never resting wow, forever in our hearts 🥰, beautiful as usual 😅😅😅, you are a rare gem and a great gift in Catholic church specifically, Swahili speaking countries, one day I wish you try the English one 🎉🎉🎉
Indeed, when our Lord is in us and we in Him, we can confidently say with St. Paul, that "to live is Christ and to die is gain." Anastacia, your signature sweet voice matches the elegance that comes with it. Go girl. Keep evangelizing
Niambie Unatazama wimbo huu ukiwa pande gani?😊♥️
Manyara ... Tunakupenda Sana
Milan Italy ❤
@@dominalucian7965nafurahi sana kuona umewakilisha watu wa Manyara kwenye hii channel. Ubarikiwe sana ndugu♥️🙏🙏
@@carolinewairima583I’m grateful 🙏♥️
Baringo county,, was waiting for it good job gal keep soaring
Kuishi kwangu ni Kristo na kufa ni faida. Maneno yake mtakatifu Paulo. Tunapoishi kwa kumtumainia Mungu na kutenda yaliyo yake, huishi ndani yetu nasi ndani yake. Hivyo basi, kuishi kwetu kuwe ni kristo na hata kufa kwetu kuwe faida ndani ya Kristo.
🎉 congratulations Anastasia....
I am your NUMBER ONE fan.
Be blessed🎉❤❤❤❤
Kweli Kabsa
Inanibidi alafu ann fanya Ile kitu bana code code code(SKIZA) from TNC county Chuka university ndagani
❤❤❤
Blessed,Blessed Anna..you always keep soaring to higher heights...love you much 🎉🎉
Hujawahi kutoa NYIMBO mbovu, kila siku ni nyimbo nzuri tu, tunafurahia tukiwa hapa TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jamani asante sana kwa comment hii nzuri. Nafurahi kujua mnafurahia nyimbo ninazofanya. Jina la Mungu lihimidiwe milele na milele.
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Kama umerudia mara kadhaa kama Mimi ambaye nimerudia nadhani zaidi ya mara 20 tujuane Kwa like hapa..❤❤❤
Mimi hapa😂
Nipo hapa duniani kwa kumtukuza mungu ,mungu asante kwa kunipa uhai uzima ❤
Ahaa nimechelewa jamani kutoka Dodoma like zangu please Kwa ajili ya hii nyimbo mzur ❤❤❤❤
Pande za manyara hngera sana dada nymbo nzr sana kumtumikia mungu kuna faida kweliiii ❤🎉🎉🎉
Annastacia muema my neighbor 🥰congratulations 👏👏.. imagine huwa naskiza your songs kwa nyumba ,naomba siku moja tupatane tu na tuimbe nawe Mungu akipenda❤❤ ..
I love you gal and am blessed thro' your songs
Amani ya kweli ni katika kristo❤❤
Kuishi na kufa kwangu ni faida kwangu niliye ndani ya kristu. Wimbo mzuri sana.
Naam! Maana yupo ndani yetu nasi tu ndani yake!
Asante kwa kutazama🙏♥️♥️
Hongera Anastacia muema , ninyi mlio funga ndoa punge mkonooo ,like hapa🎉🎉🎉❤❤
Nikiwa Italy- Roma nabarikiwa sana dada kwa wimbo mzuri..Amina sana..Mbarikiwe sana dada kwa Uinjilishaji....hakika kuishi kwangu ni Kristo na kufa ni faida..Maneno ya Mt. Paulo katika Waraka wake anatupatia matumaini hayo ya kukas ndani ya Kristo siku zote za maisha yetu.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kwa kweli nina neno.... Wonderful tunes as always, tuko back to back hapa ❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉twende kazi hongera rafiki yangu 🙏 Mungu akutunze
Amina my dear Friend.🤗🤗🤝🤝Tufanye kazi ya Mungu🙏🙏
Kuishi kwangu ni kristo na kufa kwangu ni faida hongera sana sister mzuri Mungu akaendele kuibaliki dhamira ya moyo wako❤❤🌹
MUNGU AWABARIKI SAANA KWA WIMBO MZURIIII
kuishi kwangu ni kristo na kufa kwangu ni Faida
Asante sana kwa kunena baraka kwetu. Nawe tunakuombea baraka zake Mwenyezi Mungu.🙏🙏🙏♥️
Hongera sana. 👏👏👏
Umeutendea haki wimbo huu
🥳🥳🥳
Asante sana ST Melodies. Mbarikiwe sana🙏♥️
Kazi kama kazi, ujumbe kama wote, audio kama yote, video kama yote, warembo kama wote, dancers kama wote, kwaufupi ni kazi Safii. Hongera sana ❤❤❤🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏
Asante sana mwalimu wangu kwa kazi nzuri pia.😍Arrangement yake uliifanyia kazi mufti sana. Mungu akubariki sana .🙏🙏♥️♥️♥️
❤❤❤nice song from my favourite artist
Kenyan's let's gather here to enjoy this beautiful song. Kazi safii sana. Mungu azidi kkupea uzima ngoma mpyaa zkuje
Wimbo mzuri saana me niko Arusha 🙏🙏👏👏
Kazi nzuri sana dada mungu azidi kukujalia afya njema uzidi kueneza abari za yesu
Congratulations mummy always on top🎉🎉🎉🎉twende nalo Sasa tulisambaze neno la Bwana Yesu Kristo❤❤❤❤😊😊
Asante sana my gal♥️♥️
Mungu akubariki sana😊😊
Another beautiful hit!! Anastacia never disappoints!! Thanks be to God for His gift. Keep using it for His glory❤
Asante Kwa wimbo mzurii dada yetu Muema💛💛💚💚💚Tunakupenda🇹🇿🙏
hongeraa dada duuh nilitamani niwe mwimbaji kama wew pia ila ndo hivo sas
Mbele iko Sawa na nyimbo zako mrembo. Your songs our pride
Thankyou so much mummie♥️♥️
Baraka tele kwako!🙏🙏
Wow.... I see God's power in your work of evangelization. Bravo 👏
Kristo yupo ndani yangu kwahiyo kuishi kwangu ni Kristo na kufa kwangu ni faida❤❤❤🎉🎉🎉 kwa hakika ninafura moyon mwangu......🎉🎉🎉❤❤❤ Sissy your 🔥🔥🔥
Maneno yenye nguvu sana na yenye tafakari ya kipekee.
Asante sana🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️
Very nice song❤watching from Kenya
Kazi njema dada yetu Anastacia Muema
Asante sana ndugu yangu🙏♥️
Hngera sana unawekaga nyimbo nzr sanaa mungu akulinde naakubrki sana
How can I like 10k times😊 nice song ❤❤❤
By forwarding the song to 10k people
Sound 💯
Video 💯
Dance 💯
Message 💯
Mkatoliki Daima
⛪
🙏🙏🤛🤛 place to be 😊
Thankyou so much for the compliment. Baraka tele.
Proudly catholic🙏🙏♥️♥️
Nyimbo zako tamu,,,my almighty God 🙏 bless the work of your hands
The outfit is so beautiful 💕💕💕💕💕.
Thanks for the compliment. Means alot to me.🙏🙏♥️♥️♥️
Beautiful voice. Biblical and relevant. I can't stop listening and it makes me emotional. God bless you so much with more inspired songs
This is so nice song dear I love it so much 💖💖💖💖💖💖💖 God bless you for giving us motivation in singing to God 🙏🙏🙏🙏🙏.
Thankyou so much Mercy🙏🙏♥️♥️♥️
Abudant blessings upon you!😊
Mimi nko kwale county l like your songs be blessed 🎉
I love this version. Miller you did justice to the arrangement. Anne, excellent performance as usual.
Thankyou so much Mike.🙏🙏
Be blessed!♥️♥️
Amen,Amen
Glory to the lord 🎉❤ congrats 👏👏👏
Another one dropped 🎉🎉🎉 likes za wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ziflow please 😂
Thankyou for the support🙏🙏♥️♥️🤝🤝
You're welcome we are waiting for your hot content always❤❤❤@@anastaciamuema
Nakupenda sana dada Anastacia🎉 nakupa maua yako kwa kazi nzuriii❤
Karibu tena, tumtukuze Mungu 🙏🙏🙏🇨🇩🇪🇸
Asante sana❤❤. Mungu atukuzwe sasa na milele, Amina.🙏🙏
Wow wow!!! you,ve done it again.hakika kuwa ndani ya Kristo raha tupu watching from +49🇩🇪
Kongele kwa kazi nzuri ya kueneza habari za kristu
Kazi nzuri mdada. Continue spreading the word of God through beautiful singing. The song is great, your voice so wonderful plus the outfits ......
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amazing Sana msanii wetu ..🎉
Asante sana dear one.🙏😊
wimbo mzuri sana ,congratulation
It's a great and amazing song, congratulations 🎉
Thankyou Samuel🙏🙏♥️♥️
This is beautiful. May God uplift this voice to all nations ❤
Nice song 🎉🎉 congratulations 🎉👏👏
Thankyou so mucb Kelvin♥️♥️
Hongera dada ubarikiwe sana kwa kumutumikia mungu
Yesu yu ndani yangu❤🔥
AMINA🙏🙏♥️
This words from St.paul are uplifting
Thanks Ann
Barikiwa sana Kwa kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukran sana Damaris🙏🙏♥️♥️♥️
Congratulations dada Anastasia muema.. kazi njema. Ombi langu kwa Mungu wengi waguzwe na waendelee kumrudia Mungu
Kuishi kwangu ni Kristu, kufa kwangu ni faida,,,kudos
AMINA🙏🙏🙏
Hongera dada kwa utume huo nakupenda sana Mungu akulinde,
Safi ❤ubarikiwe 🎉🎉🎉🎉
Shukran sana. Baraka tele kwako pia♥️
Can see my friend Lawrence kameja,,mwimbaji mashuhuri,,wimbo mtamu sana dada anastacia
Wow! It is so beautiful and inspiring. Christ in me kabisa. Barikiwa sana Annie❤❤❤❤❤ .
Wow I love it,,keep going our own❤
Thankyou so much dear🤗♥️
Waooooo dada nyimbo tamu Sanaa mungu akubaruki ktka kazi Yako ya uinjirishaji🥰🥰🎉🎉 tunafarijika sana dada tukiwa ndani ya kristo 🙏🙏🙏
Tanzania 🇹🇿 fans mko wapi jameni tukule neno la Bwana kidogo hapa
🎉🎉🎉🎉🎉I wish I had the courage like you to sing ...girl you make my day fabulous 💞
🎉🎉🎉congratulations girl ❤️
Love your songs. Keep it up
Thankyou so much dear one🙏🙏♥️♥️
Congratulations🎉🥳👏
Glory to God Almighty🎉
Bravo AM ❤🎉
Keep on keeping on
We are behind you as your cheer leaders in this journey
Thankyou so much my friend KM.🙏♥️♥️Thanks for cheering me up.
Pamoja dearest!♥️♥️
Waooooooow naangalia nikiwa Tanzania Arusha ❤❤❤❤❤❤
Mibaraka tupu😊😊
Amina Amina bro🙏🤗♥️
Kutoka Irlanda🇮🇪❤ Asante Anastacia.
Ubarikiwe 🎉
Good one,,,,🥳🥳🤠🤠🤯
I really appreciate🙏♥️
❤❤❤❤❤, never resting wow, forever in our hearts 🥰, beautiful as usual 😅😅😅, you are a rare gem and a great gift in Catholic church specifically, Swahili speaking countries, one day I wish you try the English one 🎉🎉🎉
Barikiwa sana mama
Amina!
Ubarikiwe sana pia❤
Mungu akubariki... Keep up the Spirit ❤❤
Nice song 🎉🎉
I appreciate so much🙏🙏♥️♥️
Indeed, when our Lord is in us and we in Him, we can confidently say with St. Paul, that "to live is Christ and to die is gain." Anastacia, your signature sweet voice matches the elegance that comes with it. Go girl. Keep evangelizing
Mtwara Tanzania ongera dada
Kwa kweli kuishi kwetu ni Kristu. Kazi safi Annie. Mungu na aishi kubariki kipaji hiki alichokujalia 👏🏽👏🏽❤️
Kutoka Dodoma mi ndo wa kwanza leo
Asante sana kwa kuwa wa kwanza👏👏👏♥️♥️🙏🙏
What Amazing song !!!! Remain Blessed. I'm listeng to you BURUNDI
Kuishi kwangu ni Kristo na kufa kwangu ni faida. Let us praise our Lord 🎉🎉🎉🎉🎉
The song it's take me heaven and back🎉🎉🎉🎉keep up
Nina neno..aisee we ni moto wa kuotea karibu😅
Asante sana🙏♥️♥️
Love this one like all others❤❤❤❤
Love it mummy congrats 👏👏👏🎉🎉
Thankyou so much Abbie🙏♥️
Hongera sana❤ nautasa nikiwa nyeri
❤❤❤naangalia wimbo nikiwa kibiti pwani wimbo mZuri sana
❤
Dada Ana unajua sana nakupenda ,yesu yu ndani yangu kufa kwangu ni faida❤
❤❤❤❤ when you thought she had done her best,then this sweet blessing melody pops. Thika squad well blessed madam
Congratulations Anastacia for the good work❤.
Nakubali San Anastasia mm ndo shabiki Yako kwenye. Nyimbo zako
Naona umefanya tena ile kitu, nice one dear, imani ya kikatoliki iko imara, congratulations dear Anne
Love this from Arusha, hio sauti kama ina mchanganyiko wa malaika wa Mbinguni🎉❤❤❤
Dada barikiwa Kwa utunzi mzuri mungu kakuongeze nguvu
Trans Nzoia,Kitale❤,@Annastacia u always my vibe ❤
Niko DODOMA hongera kwa nyimbo soon na mie ntaanza kuimba
Beautiful song, always lifting our souls in praise of the Lord, God bless you and all that you work with.
Nyimbo zako nzuri sana hongera sana mpaka nakutamania unavyo imba
Watching from Nairobi,Kenya...wimbo mzuri sana Ann ❤