MBOTO AVURUGWA AHMED KULIPA BILLION 10 "UTANI WAJADI UTAISHA ,SITAKI UTANI UTANILIPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @FadhiliKivindi
    @FadhiliKivindi วันที่ผ่านมา +4

    Safi sana kwa speech yako ipo vizuri na huo ndio ukweli

  • @AminaKissawaga
    @AminaKissawaga 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Upo vizuri nimekukubali ila sindano mlifika mbali sana wenzetu acheni ujinga

  • @amiduassan8763
    @amiduassan8763 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mboto upo vzr kwa uongeaji na unafaa kuwa semaji

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 วันที่ผ่านมา +1

    Utani wa Simba na Yanga ni wa kipumbavu, ufe na atakayefanya utani ashitakiwe

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi ningekua hakimu ningewatimua wote kama mpira umewashinda kakojoeni mkalale simba na yanga itabaki kuwa watani wa jadi hizi tim hawajazianzisha wao

  • @FaustinaMkama
    @FaustinaMkama วันที่ผ่านมา +2

    Sanda halipwi chochote. Majezi ni mabaya

  • @AsifuSule
    @AsifuSule 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kweli mboto kila mtu asemee chake akae na chake hamna utani tena

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Halafu wao wanadhani wanaidhalilisha Yanga kumbe ni Taifa wakumbuke tumepewa kuandaa mashindano Nchini petu wataanza kutufuatilia Tanzania tupo vipi na hizo sindano na Uchawi mana Yanga ipo Tanzania

  • @DarajaniZanzibr
    @DarajaniZanzibr 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hata kama mbaya ila Ali kamwe hatakiwi kuharibu biashara ya mtu

  • @DaudMeck
    @DaudMeck วันที่ผ่านมา +1

    Majezi yamewadodea ss wanatafuta pakuyauza

    • @sadih5333
      @sadih5333 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      SINDANO, zinawanyengeresha wachezaji wa Yanga hio huo ndio ukweli, kosa sio Ahmed ni wahusika ni Azam ndio wenye video

  • @DullyTz-z4w
    @DullyTz-z4w วันที่ผ่านมา +1

    Ii hatutamaliza tukianza kutafta cripu oya watalipana sana. Crip zipo nyingi za yanga naza Simba kukashfiana ni nyingi

  • @JaphetMoto
    @JaphetMoto วันที่ผ่านมา +1

    Majez mabaya2 kam sura ya amed ali mna kataa nn makolo

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 วันที่ผ่านมา +1

    Cha kusikitisha huu upuuzi unakuzwa na so called wachambuzi! Unawakuta wanajadili upuuzi mtupu kuhusu haya mambo!

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 วันที่ผ่านมา +1

    WAMSHKATI KWANZA ALIYEBADIRI RANGI YA JEZI ZAO KWA SABABU KAWATOA KWENYE ASILI YAO..

    • @ashamkesa979
      @ashamkesa979 วันที่ผ่านมา +1

      Jezi inakuuma roho sana vaaeni sanda zenu mbovu

    • @lucianaligambasi
      @lucianaligambasi 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sandaaaaaaà😮😅

  • @ZulekhaBaksh-ii4fk
    @ZulekhaBaksh-ii4fk วันที่ผ่านมา +1

    Mboto hata nafikiri za mwaka jana tuliambiwa tumetenfeze jezi za magorofa ila wanasahau

    • @atambitomotesTz7100
      @atambitomotesTz7100 วันที่ผ่านมา

      Mlimuita kocha wetu maandazi tuna fufua makabuli

  • @ConstanciaShangali
    @ConstanciaShangali วันที่ผ่านมา

    Waliohamia Yanga kutoka Simba msemaji wao alikua hasemi before?? Yang waache Utoto

  • @lucianaligambasi
    @lucianaligambasi 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwanaume anabebaga mimba jamani au amida ally amechanganyikiwa hii ni kashfa au alishachomaga nae ila jamani shule muhimu

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wasamehewe wote kisha wapewe onyo na wawe na mipika kwenye kuongea eidha kila mmoja azungumzie timu yake

  • @christinawarioba8226
    @christinawarioba8226 วันที่ผ่านมา

    Achana na mambo ya mpila mboto tuna kutegemea kwenye sehemu ya saana

  • @ConstanciaShangali
    @ConstanciaShangali วันที่ผ่านมา

    Inapoelekea ni kubeba vitu vya kuumizana kwenye mechi… za wajiita watani

  • @MahadhiRahim
    @MahadhiRahim วันที่ผ่านมา

    Umeongea point kaka

  • @atambitomotesTz7100
    @atambitomotesTz7100 วันที่ผ่านมา

    Mjomba mgunda twende tukadai tirion zetu tuliitwa maandazi chite bwawe chikadai zetu ili chikazenge kaya.

  • @OthmanMwela
    @OthmanMwela วันที่ผ่านมา +1

    Utani ufe

  • @Rahma-t5t
    @Rahma-t5t วันที่ผ่านมา +2

    wewe mjinga sana unawatitia sana otopolo

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 วันที่ผ่านมา

    unaona sasa hakuna haja ya kulipishana faini huu ni utani tu na timu hizi mbili jeee utani uondoke? ila huwa nasema wasemaji wetu ni wachekeshaji zaidi badala kuongelea timu zao

  • @ConstanciaShangali
    @ConstanciaShangali วันที่ผ่านมา

    Mbona simba tunapakwa Lipstick na Yanga.. na mambo mengii tuu.. kisa sasa wanafungwa ndio iwe nongwa?

  • @BoniphaceMbushi-g7c
    @BoniphaceMbushi-g7c วันที่ผ่านมา

    Utani hatutaki tena tupelekane mahakamani tu

  • @hassanchiwambo687
    @hassanchiwambo687 วันที่ผ่านมา +1

    Kuingilia mkataba wa mchezaji ambaye hakuhusu na hata miezi sita bado ni kosa.😂

    • @davidnziku2492
      @davidnziku2492 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe mbwa yanga hawana mikataba hujui choko ww

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@davidnziku2492kwa hiyo kile alichosaini Chama sio mkataba?Ahmedi kakosea sana Pacome sio mchezaji wa simba huwezi kumchafua mchezaji kwa kisingizio cha utani wa jadi,ameichafua club kwa kuipa kashfa ya kutumia sindano na uchawi,mwishoni akamaliza na tusi kubwa sana.

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 วันที่ผ่านมา

    Hata utani hatuutaki

  • @AziduMlanzi
    @AziduMlanzi วันที่ผ่านมา

    Kwer unachokiongea ni saw

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 วันที่ผ่านมา

    Wewe mpuuzi, mbona unatetea sana Utopolo? au kwa sababu na wewe ni Utopolo?

  • @JaphetMoto
    @JaphetMoto วันที่ผ่านมา

    Hawa makolo hawana akili sana wasenge kabisa haw utani usiwpo machiz hawo

  • @albtstanislaus4319
    @albtstanislaus4319 วันที่ผ่านมา

    UROZI MAANA YAKE NINI

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ahmedi Ally hakutumia neno ulozi,amesema kabisa Yanga ni wachawi.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 วันที่ผ่านมา +1

    Viongozi wa timu gani!! Hivyo ndo vitu unaulizwa mahakamani! Sanda itabidi atoe ushahidi kakosaje mapato! Huo ushahidi sio rahisi kuutoa MAHAKAMANI! IN LAW ,IT IS NOT WHAT U KNOW ,IT IS WHAT U CAN PROVE IN COURT! sijasikia Ally akisema SIMBA! MANENO YOTE YAMO KWENYE MAFUMBO! MAHAKAMANI HAWAANGALII MAFUMBO! wabongo acheni kudandia watu! Simba na yanga ,wakianza kupelekana mahakamani,bassi ianzishwe ligi nyingine! STOP THIS STUPIDITY!

    • @godfreymuroba7973
      @godfreymuroba7973 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      It's not about Simba it's about Sandaland co.ltd

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @godfreymuroba7973 that's where U people go wrong! Where did he mention Sandaland co.ltd? ( Aliongea kwa matumbo) In court they want facts bro! Go listen to all clips! Me n U know he was talking about the Simba jerseys' , but courts will want to hear that! Ally nowhere mentions those particular jerseys SANDA claims to have lost revenues! Secondly bro,SANDA will have to prove to court the loss in sales in figures caused by Ally's statements! Very difficult thing to do! In short SANDA can't win in court, the case is unprovable,he will end up paying Ally court charges!
      That's y am saying,IN COURT,IT IS NOT WHAT YOU KNOW,IT WHAT YOU CAN PROVE!
      Hizi case za kijinga! SANDA jezi HAZIKUUZA,katumia hii njia to divert the issue away from Simba SC bro 🤣🤣! Mimi naona tukianza kupelekana mahakamani kwa vitu kama hivi,ule UTANI UTAKUFA! Kila msimu tangia zamanii hizi timu hucharurana kimajengo,Wachezaji,jezi NK! Ll

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix วันที่ผ่านมา +3

    yanga mmezidi mbona kamera mnaziogopa sana yanga kunakitu mnacho kifanya nyie kama kunakitu kibaya kwanini muogope kamera nyinyi sindano mnachoma wachezaji kweli gamondi atawaumbua nyinyi nyie chokonoeni tu mtaona yameibuka mapya watu wanavideo mpaka mnazo jichoma zikitolewa hizo video mfanyweje semeni wenyewe ili msikane maneno yenu kwanza azam kawafichia siri zenu kubwa sana yani yanga mnahalibu mpira wa bongo uchawi ni nyinyi sindano ninyi kudhamini tim zaidi ya moja ninyi ebu mjitafakali mnahalibu soka la bongo

    • @andrewsalufu
      @andrewsalufu วันที่ผ่านมา

      Kudhamini timu nyingi ni uwezo wa mtu na wala siyo mbaya , ndiyo maana Azam amedhamini timu zote japo na yeye ana timu . Hivyo hata Mo' Dewji akiongea na familia yake na wakakubaliana basi anaweza kudhamini timu zilizobaki...

    • @yudamagesa5594
      @yudamagesa5594 วันที่ผ่านมา

      Umeishiwa oja Poiti yako nini

    • @LilianBitwale
      @LilianBitwale วันที่ผ่านมา

      We kumanyoko kweli 😂😂😂

    • @AziduMlanzi
      @AziduMlanzi วันที่ผ่านมา

      We kuma tulia kabra sijakupasua

    • @JaphetMoto
      @JaphetMoto วันที่ผ่านมา

      Mkundu wako nyoko msenge ww huna akil