Mtu hawezi kiharibi image ya taasisi kwa kuwatihumu wachezaji kutumia madawa ya kilevya halafu aachwe hiru.....imagine unhekuwa wewe Mkalaboko unaambiwa umelambwa na PIDD....ilangazwa hadharani ungejisiaje? Aache usenge na umbimbi wake ...mbo ya kipumbavu kuliko maelezo...ujinga wa kuwa na akili za kipepea na akili za kisodo
Duniani kote kuheshimu Sheria ndo kumeleta ustaarabu maana watu wako makini wanaogopa kuropoka kuhofia kulipa fidia napendekeza mashauri haya yaende mahakamani yasiachwe hivi hivi
Umeongea point sana.
Wasio wavumilivu wa utani wa yanga na simba wasifanye biashara ya vilabu vya yanga na simba, sisi tunataka raha ya mpira.
Umesema kwel kabisa Leo
Hapo kweli
Waandishi wa habari wa sasa pia sio waandishi wanaojitambua,wanachonganisha sana.
Mtu hawezi kiharibi image ya taasisi kwa kuwatihumu wachezaji kutumia madawa ya kilevya halafu aachwe hiru.....imagine unhekuwa wewe Mkalaboko unaambiwa umelambwa na PIDD....ilangazwa hadharani ungejisiaje? Aache usenge na umbimbi wake ...mbo ya kipumbavu kuliko maelezo...ujinga wa kuwa na akili za kipepea na akili za kisodo
utani upo lakini sio kuchafuana na kuchafua biashara za watu
Waache walipe fidia hizo. Wanatuharibia mpira wetu. Tumechoka.
Duniani kote kuheshimu Sheria ndo kumeleta ustaarabu maana watu wako makini wanaogopa kuropoka kuhofia kulipa fidia napendekeza mashauri haya yaende mahakamani yasiachwe hivi hivi
Tena chuki kubwa