Kiufupi ahamed ally anapaswa kuajibishwa kisheria ameikosea sana heshima yanga asiachwe hivi hivi amezidi kuropoka pia atoe ushahidi juu ya matumizi ya sindano
Mzee anajitoa ufahamu lakini anaijua Ahmed Ally si mara Moja kusema wanatumia sindona kwa maana Ili wawe na nguvu , so hakumaanisha Pacome ni mgonjwa Bali alimaanisha sindano za kuongeza nguvu , Mzee anaijua lakini anajifyatua akili
kunavijana wanapiga kazi saizi akina finishian sio hiyo ubwa yenu anakiwango gani huyo siku mnashenyetwa na tabora goli tatu sialikuwemo uwanjani anazulula tu kama panyalodi alifanya nini sasa
Hapo sioni kuna kitu mnataka kutusomesha . Cha mhimu wafanysbiashara wasiowavumilivu na utani wa yanga na simba ni bora waache kufanya biashara na vilabu vyetu ili tuendelee na utani wetu. Sifa ziende kwa MO na GSM, hao hawana shida na vilabu vyetu.
mkataba na addas eee nyooo kwa kiwango gani ashindwe kupewa mbape na ronado na haland apewe pakome national tim yake tu hawamjui wala hajawahi itwa mapumbu yenu mmekosa la kusema
Pia mwanasheria na wakala wa pacome anayo nafasi ya kumfungulia shauri la madai ahamed ally kwa kumchafua mteja wake ikizingatia mkataba wake uko ukingoni
Pacoome alikuwa na diri na adidas sasa ameshindwa kupata diri sasa diri imeharibika ya bilion 20 imekufa tunaomba mwanasheria wake mchezaji aangarie hiri
Sindano akiumwa si anachomwa tu mchezaji na swala la Uchawi jamaa washapigwa faini mara mbili mbona hawajawalalamikia TFF wawape ushahidi na Ahmed hajawataja Yanga kasema wale ni Wachawi
Kwa ufupi niwasaidie waandidshi.ally kamwe ameajiriwa na yanga na amehdy Ally ameajiriwa na Simba wote wawili hawana uwezo wa kulipa hizo pesa na hawajawahi hatabsiku moja kufikia kiwango hicho.alafu mmetutukana ahmedy Ally katukana na nyinyi mnashabikia waandishi gani nyinyi?
Akili zenu hazipo SAWA nyie waandishi. Mmemwita Kaduguda. Msikilizeni ili mpatie mtazamo wake. Itawasaidia kuongeza uelewa kuliko mazungumzo yenu ambayo hayaelimishi. Mmejikita kwenye ushabiki tu.

Mbona msemaji husemi vizur makosa ya Ahmedy ally amechoka kudungwa sindano kama anazuia mimba
mkataba na addas eee nyooo kwa kiwango gani ashindwe kupewa mbape na ronado na haland apewe pakome national tim yake tu hawamjui wala hajawahi itwa mapumbu yenu mmekosa la kusema
Mtangazaji hata hujui lipi uhoji.
ni kweli kabisa yaani hawajui wanachokiongea issue ni kwamba ally kamwe amalizane na kampuni y sanda na sio simba
Pia mwanasheria na wakala wa pacome anayo nafasi ya kumfungulia shauri la madai ahamed ally kwa kumchafua mteja wake ikizingatia mkataba wake uko ukingoni
Mjianzie nyinyi wenywe wandishi wa habari ndipo mwende kwa hao wawili
Kuna tusi nimelusikia hapo awajibishwe kabisa.
Kaduguda mlimwita wa nini? Mbona naonge wenyewe sasa
awo wachambuzi wanashidwa kusoma chenye nimesemwa wachambuzi munachocheya sana mambo
Munaweza kutwambia sanda ni nani mbona ally alisema sanda apo vipi
nyuma mwiko tutawalipa B10 mkalipe madenl no
Wandishi mna entafear kupitiliza
Mbona mwandishi huziungumzii iisue ya Pacome? Jamani waandisho hawa? Ebu nanyi muwe weledi ktk Taaluma yemu???
Ahemedi kaka imekuaje hadi unatukana,matusi?
aho wote simba
Walisha sema wao simba wanaweka dawa vyumbani aseki
Sasa mmesema nyie au mzee!!!?
Mbona Yanga wao wanaiga tu?
Kashtakiwa na Sanda nayy anashtak alikuwa wap
Pacoome alikuwa na diri na adidas sasa ameshindwa kupata diri sasa diri imeharibika ya bilion 20 imekufa tunaomba mwanasheria wake mchezaji aangarie hiri
Sindano akiumwa si anachomwa tu mchezaji na swala la Uchawi jamaa washapigwa faini mara mbili mbona hawajawalalamikia TFF wawape ushahidi na Ahmed hajawataja Yanga kasema wale ni Wachawi
Wachambuzi wote hamna kitu yan mnashinda kufafanua alikamwe kashitakiwa na sanda sio Simba na ahamedi yeye alikuwa katika utani si kuchafua blandi
Kaduguda akili kubwa sanaaaa cheki alivyopangua hoja ya sindano kudadadeki 😂😂😂
Hakuna faini dunia kote Kama waliopewa Hawa wawili
Kaduguda.
Nihatari utafikiri sio msomyi
Nyinyi waandishi ndio mnao chochea vitu.vingi hasa katika swala la mpira.na mmeharibu mpira
Kwa ufupi niwasaidie waandidshi.ally kamwe ameajiriwa na yanga na amehdy Ally ameajiriwa na Simba wote wawili hawana uwezo wa kulipa hizo pesa na hawajawahi hatabsiku moja kufikia kiwango hicho.alafu mmetutukana ahmedy Ally katukana na nyinyi mnashabikia waandishi gani nyinyi?
Hajasema kumamae amesema tuka mpa mamae nihamisa,au kuna tusi lina itwa mamae
@hajikatanje5961 sikusikia vzuri
SASA MASWALA PACOME ANAMALIZA MKATABA NDO NINI HAYA NIMANENO YAUTANI2 UTOPOLO ACHANI USHAMBA
Mwandishi mna interfear sana
Nyie waandishi wengi wenu madishi
😅😅😅😅😅 Kweli kabisa yani ni km wajinga flani hivi wako sokoni
Akili zenu hazipo SAWA nyie waandishi. Mmemwita Kaduguda. Msikilizeni ili mpatie mtazamo wake. Itawasaidia kuongeza uelewa kuliko mazungumzo yenu ambayo hayaelimishi. Mmejikita kwenye ushabiki tu.
wachambuzi uchwala unataka nyeupe iwe nyeusi
Kwani waandishi hamuwezi kusoma vizuri siku hizi??