Hapa Kenya pia kuna wameru wanaishi mahali panaitwa Nanyuki iko Laikipia county lakini wameru wengi wanapatikana Meru county Tharaka Nithi county na hapo pande ya Nanyuki ....
Nimebahatika kukutana na kuishi na jamii zote mbili. Wameru wa Tanzania kutokea utafiti nimefanya wameingiliwa sana na Umasai (Arusha). Hata hivyo kuna Wameru wa Kenya wana tabia za Kimasai kama Wameru wa huko Tanzania baada ya kuishi karibu na Wakwafi (wakulima na wafugaji) ambao walikuwa wanatembea kutoka Tanzania hadi Mlima Kenya wakipigana na jamii nyingi. Desturi zao ni tofauti kidogo hadi na wabantu wengine. Wameru wa Kenya kwa ukubwa sana wanakaribiana na Wakisii, ambao ni wanawiana sana na Wakuria na jamii zingine za Kaskazini mwa Tanzania. Wameru wa Kenya kama wa Tanzania wanapenda ukulima na wanaishi kwenye milima na miinuko - Nyambene Hills, Mlima Kenya, Mlima Meru.
Asante sana Kwa haya maojiano yako na mzee wa kimeru Tanzania.mimi ni mmeru wa Kenya
Aongee kimeru
Embu ongea hicho chenu taratibu ,, kana ngworoe 😊
Haiya nimesikia nanyuki
Akui kimila
Hongera Baba. Tia Bidii Kakangu. Maisha ni taratibu.
Ogea kimeru kimoo
Salam Alaikum from meru of kenya we say "Muuga"
Dowry is very similar
Ni kweli kuwa masomo hayana mwisho Kwa maana huyo rafiki Yako ametufunza mengi juu ya ndoa ya Tz..Hongera kwako Rahim na pongezi Kwa huyo mwenzako.
Shukran.
Ndo Mwanzo mkoko Unaalika maua...Tutanyoosha mambo kadri Muda unavyosonga ila maoni, Ushauri na mapendezo ya watazamaji tutazingatia...
Tafuta watu wanaoelewa kabila. Nkoaranga sio chimbuko la Varwa.
Hapa Kenya pia kuna wameru wanaishi mahali panaitwa Nanyuki iko Laikipia county lakini wameru wengi wanapatikana Meru county Tharaka Nithi county na hapo pande ya Nanyuki ....
Nimebahatika kukutana na kuishi na jamii zote mbili. Wameru wa Tanzania kutokea utafiti nimefanya wameingiliwa sana na Umasai (Arusha). Hata hivyo kuna Wameru wa Kenya wana tabia za Kimasai kama Wameru wa huko Tanzania baada ya kuishi karibu na Wakwafi (wakulima na wafugaji) ambao walikuwa wanatembea kutoka Tanzania hadi Mlima Kenya wakipigana na jamii nyingi. Desturi zao ni tofauti kidogo hadi na wabantu wengine. Wameru wa Kenya kwa ukubwa sana wanakaribiana na Wakisii, ambao ni wanawiana sana na Wakuria na jamii zingine za Kaskazini mwa Tanzania. Wameru wa Kenya kama wa Tanzania wanapenda ukulima na wanaishi kwenye milima na miinuko - Nyambene Hills, Mlima Kenya, Mlima Meru.
th-cam.com/video/naqvLf9g6P8/w-d-xo.htmlsi=YUF-aao1CD6sZQB8
Angalia mtu wa kuhoji. Anaongea nini huyo
Nimekuelewa Baba. Ahsante.