Wecheni kupotosha Mambo! KIRILO JAFETI alikwemda UNO (Baraza la wazamini la umoja wa mataifa kipindi hicho) kudai Aki ya wameru zidi ya Aridhi (mashamba) yao amboyo wazungu wali ya twaa kwa nguvu katika maeneo ya Ngarinanyuki kipindi icho Cha ukoloni Kati ya mwaka 50-53 wakati wa utawala wa kingereza chini ya gavana Richard Tanbolu, Nasiyo alikwemda kutafufu Uhuru wa meru!!
Sawa kabisa.Simulizi hili nilipewaga na Marehemu Babu yangu(Anaeli Uvetie)ambaye alikuaga na ushirika wa karibu sana na Wazee Kirilo Japhet, na Sangito Kaaya.
Asantee baba
Bado haijakaa sawa
Naam Salam Alaikum jado kali kama wameru wa kenya
Kuwekwa Kwa chungu "pot" meru Kenya IPO pia
Da Kwan akupatkana Mzeee Mwingne Jmn
Wecheni kupotosha Mambo! KIRILO JAFETI alikwemda UNO (Baraza la wazamini la umoja wa mataifa kipindi hicho) kudai Aki ya wameru zidi ya Aridhi (mashamba) yao amboyo wazungu wali ya twaa kwa nguvu katika maeneo ya Ngarinanyuki kipindi icho Cha ukoloni Kati ya mwaka 50-53 wakati wa utawala wa kingereza chini ya gavana Richard Tanbolu, Nasiyo alikwemda kutafufu Uhuru wa meru!!
Sawa kabisa.Simulizi hili nilipewaga na Marehemu Babu yangu(Anaeli Uvetie)ambaye alikuaga na ushirika wa karibu sana na Wazee Kirilo Japhet, na Sangito Kaaya.
Meru ni ya kijani..
Kwanini wasingenihoji mimi Immanuel David Urio?
Kweli wapo wanaojua historia vizuri zaidi ya huyu mzee