Kanisa la Efatha lina washirika waajabu sana. Ukitaka kuwaona "wakristo-walokole" wachawi, wanaoabudu na "vidumu" vyao ( i.e. wazinzi na waasherati), wezi, walevi, na kadhalika; wewe nenda kanisa hili. Kwa jumla ni moja ya makanisa yenye imani ya kipentekoste yanayolidharaulisha sana Jina la Bwana Yesu Kristo. Tuendelee kuwaombea.
Wewe inasema huyu mtumishi una shida sana nenda efatha kaombewe tena angalia sana chunga ulimi wako usije usafi usingizini, tatizo binadamu akishiba ugali anajisahau,
Apostle Mwingira is among best preachers in East Africa and Central
Mko vizuri watumiahi ila mavazi hizo suruali Kwa wanawake sio sawa
Aaa 😁😁😁 mzee wangu apostle namkubali sana nampenda sana uyu baba
My favourite man of God❤
Yaan atakae msema huyu mte aliyetwa na mungu huyo atakuwa karogwa na mizimu ya ukoo wao
Kumbe uchafu wameanza zamani Efatha
Mchafu baba yako na ukoo wako wote
Mungu awe nanyi
Mungu awatie nguvu
Wivu tu
Nakukubali sana baba
Haleliuyaaa Ameeeen
Kwa Yesu kuna raha Aiseee
Utukufu wa Mungu Hakuna hapa.
Kanisa la Efatha lina washirika waajabu sana. Ukitaka kuwaona "wakristo-walokole" wachawi, wanaoabudu na "vidumu" vyao ( i.e. wazinzi na waasherati), wezi, walevi, na kadhalika; wewe nenda kanisa hili. Kwa jumla ni moja ya makanisa yenye imani ya kipentekoste yanayolidharaulisha sana Jina la Bwana Yesu Kristo. Tuendelee kuwaombea.
Umechanganyikiwa ama vipi?
Unaumwaaa
❤
Mtume josepti mwigira
Aii kweli
ndani ya Yesu mambo shwari😅😅
👌👌👌👌
Good
Amen and Amen
Waoo ndani ya yesu raha sana
Nimrpokea baba
Hallelujah
Shetani anaona vivu apo
Amen
Kila mar hua nasema hawa ni waabudi mashetan na wat wamepotea wengi!!
😂😂😂😂 Dad
Daudi alicheza hdi nguo zilimvuka kwa Yesu raha sana
Yeah but sio uchezaji huu yeye alicheza in spiritual sio hivi
@@sisterdivvana8770 pole
@@sisterdivvana8770 amina
Wewe inasema huyu mtumishi una shida sana nenda efatha kaombewe tena angalia sana chunga ulimi wako usije usafi usingizini, tatizo binadamu akishiba ugali anajisahau,
Huyu mzee anafanya kazi ya shetani bila kujua au kutojua.
Kabisaa sasa ndo kabisaa
Ila anajua waumini ndo hawajui
Ushetani hapo ni upi
Huu NDO ukweli
Muache ujinga hapo wanacheza ngoma za asili wanyakyusa tunasema mang'oma
Feki kabisa
❤
Hallelujah
❤
❤
❤