Big up sana SNS kwa mada nzuri sana ya kuelimisha jamii katika masuala ya kisheria na naungana na mwanasheria hapo sisi kama wanajamii tunatakiwa kuelimishwa
Huelewi unachokiongea!! Na Hii ni kwasababu upo kwenye nchi isiyo na Vita Ko Unadhani hata wanaopigana wanapenda Kuwa katik vita...! Vita ni kupoteza uhai
Pole Sana dj smaa. Dawa ya kwikwi, nenda kwenye zile nyumba za udongo kunakuwaga na vichuguu vidogo vidogo vinajengwa na wadudu Fulani hivi wanaoruka. Ukivipata hivyo vitoe koroga kwenye kikombe chenye Maji upate ule uji uji unywe. In shaa Allahu utapona
Big sana sns na GPS na ongera sana na karibu kwa new come wetu wakili anajuwa sana, @Dj Sma pole kwa magonjwa kama ulivyo sema tumia maji kwa wingi allah atakujalia inshaallah utapata afazali. 👍 ⭐⭐⭐⭐⭐
Hukumu ya Mungu ni KUBWA kuliko ya Mwanadamu.., sasa Ole wako wewe mwanadamu ukajitoa akili eti ukamuita Mungu km Athumani.., mnalo hlo kazi kwenu Poleni sana.
Pole sana brother dj sma, nachoweza kukushauru, tumia maji kila siku asubui ukiamuka, tumia mda mzuri wa kurara, am sure unasleep mda mchache sana kutokana na kututafutia news, please ongeza mda wa kupumzika brother. Yaani sleep kabisa
Njia bora ya kutatua kwikwi nikuchukuwa kikombe cha maji kikiwa na maji chukua mkaa wenye moto Tia kipande Tia ndani ya maji apo utakunywa kipindi umeweke bc apo itachukua sekunde 30 kwikwi imeisha
Ndugu yangu utanutia kwenye mtego mwenyewe nchi yenywe ndio hii hizi Sheria za Dunia ni mtihani sana nikama geme ingekua sharia ya dini ya kiisilamu mbona tungefubgua msaafutu yani koroan tunasoma Aya mungu anasemaje mtuakifanya kosa kamahili na tunatekekeza sawa na mungu alivyosema bila kumuonea mtu kama nikuwawa maramoja mtu anauwawa kama nikuchwa fimbo au kukatwa mkono Yani ni one Time Bora ushahidi uwepotu maana katika usilamu hakuna kuoneana lakini hizi Sheria zetu za makafiri mafilimason kazi IPO ndugu jihadhali
Ok Dj sma dawa ni matunguru..matunguru n mfano wa kitunguu ila sio kitunguu hupenda kumea polin na huuzea super market.chuku kilicho komaa na ndan kuna mbegu km za hirik tafuna mezq utakuwa poa
Hivyi hii serikali inatuchukuliaje mdada yule Kwa alichofanyiwa afu mje muwaachie hao vijana hamuoni hiyo hali utakuja kuendelea na Kwa wengine kwahiyo serikali unataka kuwapa nafasi sio😢😢😢
Broh sky hii naona kma hmjaitendea haki caption mlotuwekea hapa tulitegemea mtaonglea ishu hii in deep and ina analytical way lkn mnachmbua sna kuhusu sheria kuliko tukio amblo nd lengo la hii GPS ila yote kwa yote big up sanaa🔥🔥🔥🔥
Vuta pumzi ndani ziwe za kutosha kisha bana pua na mdomo pumzi zisitoke nje kwa muda wa dakika poja kisha ziachie fanya mara tatu kwikwi itaisha Ahsante
Nimesahau kitu kimoja sama na team yake ni wapuuzi ebhu nipeni likes zangu hapa kama mnamkubali sana na teams yake ya wapuuzi wapinga marekani...nakupa tiba halafu na makonzi juu...hlf tunaomba urudie mwanzo wa kuanguka kwa USSR
Kuondosha kwikwi anatakiwa abane pumzi kwenye mdomo na puwa asiweze kupumua km second 50 au uwezo wake halafu aachie afanye takriban mara 2 had tatu itaondoka 10%
Wana sns kwenye Gps ya hasubuhi hii nzuri, nawatakia hasubuhi njema, pasipo kusahau kuiombea Palestine, maana congo inasumbuliwa na viongozi wenyewe kwa masrahi yao binafsi nisuala LA wacongo wenyewe kufanya maamuzi ya kikatili kumtoa raisi watafte amani yao binafsi,
DJ SMA hiyo statement ya 'You have to remain silent........' n Miranda rights ambayo ina historia ndefu ikianzia huko Marekani na kuwa adopted katika mataifa mbalimbali duniani
Vuta pumzi uibane kwa sekunde 30 alafu utoe ubane tena kwa sekunde 30. Rudia kama mara kumi hivi..inaweza kuregulate miondoko ya diaphragm muscles kurudi kwenye normal state yake.Tatizo likiendelea kwa muda mrefu muone daktari
Hawakutakiwa wapate mawakili....haki wanayostail wanayotakiwa hao wapate haki gan mbona wao walihukumu bila hata kupima kosa alilofanya yule binti...walitakiwa wawe peke yao kam yule binti ckuile alivyokua peke yake,
Hahaaa kweli police mnachekesha ushaidi gani mbona mnaongea maneno Kama watu hamjaenda shule hebu kuweka Kama nchi zilizoendelea kitendo cha kumwingilia mwananmke na kurekodi na kutusha kwenye mitandao bila idhini yake tayari Hilo ni kosa la jinai,hivi nchi ya tanzania inaongozwa na nani mbona ipo Kama hakuna viongozi nchi ni imekuwa ya ovyo kweli kweli
Kwi kwi issue try kunywa maji then you forcefully vomiting several times! Your esophagus will forcibly reflex with water going outwards! Hopefully will help!
Big up sana SNS kwa mada nzuri sana ya kuelimisha jamii katika masuala ya kisheria na naungana na mwanasheria hapo sisi kama wanajamii tunatakiwa kuelimishwa
Tanzania nzima hii ndio media inayojielewa yeny topic za maana...💯💯 kuna uwezekano wana sns mkamfunika millard ayo📌📌📌
Ah uhakika sana 💯🎥🙏
Leo mimi kama Chair Man wa GPS kutoka hapa Middle East naomba likes maana niwakwanza na nachukua nafasi hii kuiamuru URUSI kufyatua Nyukria
Nuclear
Huelewi unachokiongea!! Na Hii ni kwasababu upo kwenye nchi isiyo na Vita Ko Unadhani hata wanaopigana wanapenda Kuwa katik vita...! Vita ni kupoteza uhai
Sasa hizo likes za kazi gani we kubwa jinga
Afadhali Sasa. Weekend imekua mrefu sana. Big up. Dj Sma tumekumiss sana sana. Karibu tena.
Mm pia nimekumisini
Pole Dj Sma Allah akupe Shifaa soon Ameeen
Nakumbea kwa jina Yesu kwikwi iishe sasa sema tu amen
Pole sana DJ Sma
Sky huyu jamaa (Wakili) Naomba tuendendelee kumuona asee 🔥
Mwanasheria msomi upo vizuri saaana hongera
Pole Sana dj smaa. Dawa ya kwikwi, nenda kwenye zile nyumba za udongo kunakuwaga na vichuguu vidogo vidogo vinajengwa na wadudu Fulani hivi wanaoruka. Ukivipata hivyo vitoe koroga kwenye kikombe chenye Maji upate ule uji uji unywe. In shaa Allahu utapona
DJ sma amerudi sma ni akili kubwa ata aongee ujinga , ujinga wake still ni wisdom and knowledge kubwa sana
Big sana sns na GPS na ongera sana na karibu kwa new come wetu wakili anajuwa sana, @Dj Sma pole kwa magonjwa kama ulivyo sema tumia maji kwa wingi allah atakujalia inshaallah utapata afazali. 👍
⭐⭐⭐⭐⭐
🙏
Aaaah SNS kaka Bunda napenda kazi yako sababu ipo kiuelimishaji sijutii bando langu kukusikiliza na kutizama Mungu akubariki
Polee sn kaka me paihh nilipataa iyo changamotooo siku tano mfululizooo....., nilizidiii kunywa maji mengii kwa wing na kwa nguvu taratibuu nikawa saw
JS maa, pole sana, tumia juice ya miwa miekundu kunywa glas Moja bila kupumzika, utapona kwa Idhinillah.
Asante
Ilinisaidia mm pia
Samahani, ninamaanisha bila kutoa hewa unatakiwa kubana pumzi wakati unapo kugugumia hiyo juice
Wewe dada asante ntajaribu kumpatia na mm mzaz wangu kiukwel akianzwa na huo ugonjwa daaah halafuu ni mtu nzima
Nafurahi kumuona Dj Smaa
Hukumu ya Mungu ni KUBWA kuliko ya Mwanadamu.., sasa Ole wako wewe mwanadamu ukajitoa akili eti ukamuita Mungu km Athumani.., mnalo hlo kazi kwenu Poleni sana.
wakili Gerald yupo vizuri sana
Uyu mwanasheriy safi 🤲🤲🤲🤲
Pole sana KWA kwikwi
Kuna vingi sana tumejifunza kwenye GPS✔
Rama ndimu na jivu Bwanshemegi
Washkaji ni smart sana,(attorney)we go smart.
Jaji ni bora zaidi akose kutoa hukumu mtu asinde jera kwa kosa alilofanya kuliko kumfunga mtu kimakosa kwa jambo asilofanya
Respect DJ SMA🙏🙏🙏
Pole sana brother dj sma, nachoweza kukushauru, tumia maji kila siku asubui ukiamuka, tumia mda mzuri wa kurara, am sure unasleep mda mchache sana kutokana na kututafutia news, please ongeza mda wa kupumzika brother. Yaani sleep kabisa
Assnte 🙏
Njia bora ya kutatua kwikwi nikuchukuwa kikombe cha maji kikiwa na maji chukua mkaa wenye moto Tia kipande Tia ndani ya maji apo utakunywa kipindi umeweke bc apo itachukua sekunde 30 kwikwi imeisha
Big up sana❤❤
Kaka sky mwambie uyo sma km kwikwi yake inaambatana na kiungulia atafune kitunguu swaumu mungu atamponya Inshaallah
Sisi wananchi tutamaliza wenyewe hiyo kesi wasipochukuliwa hatua
usiweke uwingi ni wewe mwenyewe na ujinga wako taira wewe
😅😅😅😅@@PAULNYANDILE
Ndugu yangu utanutia kwenye mtego mwenyewe nchi yenywe ndio hii hizi Sheria za Dunia ni mtihani sana nikama geme ingekua sharia ya dini ya kiisilamu mbona tungefubgua msaafutu yani koroan tunasoma Aya mungu anasemaje mtuakifanya kosa kamahili na tunatekekeza sawa na mungu alivyosema bila kumuonea mtu kama nikuwawa maramoja mtu anauwawa kama nikuchwa fimbo au kukatwa mkono Yani ni one Time Bora ushahidi uwepotu maana katika usilamu hakuna kuoneana lakini hizi Sheria zetu za makafiri mafilimason kazi IPO ndugu jihadhali
For sure naona kuna mingese ishaogopa maybe hawana ndugu wa kike
😂😂😂😂😂😂kwer Tena we ndo umesema
Ekhee...jamani kwa kesi ilee apana sio kweri akuna I.A wala nn Nimewaelewa lakini Allah yupo kwa binti yule atamlipia inshallah
Mm huo ugonjwa ninao hapo inabdi ulale san epuka vinywaj vya carbon, vyakula vyeny ges, Kunywa san maji ya madafu yeny mchanganyiko wa iriki
Ok Dj sma dawa ni matunguru..matunguru n mfano wa kitunguu ila sio kitunguu hupenda kumea polin na huuzea super market.chuku kilicho komaa na ndan kuna mbegu km za hirik tafuna mezq utakuwa poa
🙏
Gerald is good 👍🏽
GPS mpo juu sana
Labda wahame nchi, wasirudi huku mtaani na tumeshawafotoa wataomba mungu awahurumie
Hivyi hii serikali inatuchukuliaje mdada yule Kwa alichofanyiwa afu mje muwaachie hao vijana hamuoni hiyo hali utakuja kuendelea na Kwa wengine kwahiyo serikali unataka kuwapa nafasi sio😢😢😢
Wache wa wachia raia tuna nasubiri hakuna shida 💔💔💔💔mioyo yete ina vuja dam
Aende vipimo vikibwa my kaka mungu akufanyie wepesi
Dj Sama badilisha system ya kula na uwe unafanya mazoezi unaumwa sana kiongozi
Sawa
Tumia ant acid @@djsma255
Hi Sky how are you,
Please tukuombe if inawezekana
Next GPS mumwarike Yericko Nyerere
Asante and GPS raha sana🔥🔥 from Canada Yukon
Broh sky hii naona kma hmjaitendea haki caption mlotuwekea hapa tulitegemea mtaonglea ishu hii in deep and ina analytical way lkn mnachmbua sna kuhusu sheria kuliko tukio amblo nd lengo la hii GPS ila yote kwa yote big up sanaa🔥🔥🔥🔥
Kwi kwi nirahisi utumie maji tu ikiwa imekujia
Pole kaka smaa
hbr sky anywe maji mengi kwa dkk 1 kama ni lita moja anywe kalribu na kuisha amimine yote tumboni bila kupumzika hiyo kwkw itaondoka inshaallah
Vuta pumzi ndani ziwe za kutosha kisha bana pua na mdomo pumzi zisitoke nje kwa muda wa dakika poja kisha ziachie fanya mara tatu kwikwi itaisha Ahsante
Nimesahau kitu kimoja sama na team yake ni wapuuzi ebhu nipeni likes zangu hapa kama mnamkubali sana na teams yake ya wapuuzi wapinga marekani...nakupa tiba halafu na makonzi juu...hlf tunaomba urudie mwanzo wa kuanguka kwa USSR
😂😂mpk hii kesi iishe watanzania tumeshiba sheria
Sema kale kavideo Daaah😊
Umefurahia ķwaiyo
Dj smaa kwanza pole pili a ha kutumia chochote funga kwa siku Tatu na maji yako yawe ni juice ya tikiti itakusaidia Sana allah akuponye
Sawa shukran
Wekeni maji mezani! Hiyo kwiki, anahitaji maji
Mungu mwema
Atumie asali ya nyuki wadogo, apate original inasaidia Sana tatizo la kwikwi
GPS to the World ❤
Dj sma aache vitu vikal kwanza
Pole sana Dj Sma Allah akuafu
Amin kwa sote
Take aktion madawa sio mazuri kunywa tuu msji lakini khali hiyo sio nzuri tunakuombea
Avute hewa ndani na asiheme Kwa muda then aachie
Aisee io inafanya sana kaz😂😂😂😂😂😂 . .unavuta hewa ndan kwa nguvu kisha unabana af una achia kidogo kidogo ..ukifanya mara 3 inaisha
Kwikwi ni dehydration. Bana pumzi kwa sekunde 10 na kuendelea. Au chukua mfuko wa karatasi, pumulia mpaka itakapokata
Kuondosha kwikwi anatakiwa abane pumzi kwenye mdomo na puwa asiweze kupumua km second 50 au uwezo wake halafu aachie afanye takriban mara 2 had tatu itaondoka 10%
Sns shikamooo
Chukua kikombe Cha maji weka maji kiasi .pia uanze kunywa then mtu awe anakuita mara nyingi nyingi kinakata
Miwa mekundu kunywa juice yake plz plz inasaidia mnoo🙏🙏🙏
Wekeni maji mezani! Hiyo kwiki, anahitaji maji 👍🏽
Wana sns kwenye Gps ya hasubuhi hii nzuri, nawatakia hasubuhi njema, pasipo kusahau kuiombea Palestine, maana congo inasumbuliwa na viongozi wenyewe kwa masrahi yao binafsi nisuala LA wacongo wenyewe kufanya maamuzi ya kikatili kumtoa raisi watafte amani yao binafsi,
DJ SMA hiyo statement ya 'You have to remain silent........' n Miranda rights ambayo ina historia ndefu ikianzia huko Marekani na kuwa adopted katika mataifa mbalimbali duniani
Kazi ipo
Chemsha hiliki kunuwa maji yake, pia embe mbichi inasaidia unatafuna
Basi hatariii. Itakuwaja kuwa. Kapata kifiro cha buree dah hatarii
Aisee Hilo ni tatizo anywe maji ya kutosha ni Upungufu wa Oksijeni
Easy :- Protecting the bigfish = burry the evidence!
Hakuna shida mm kama mimi natamani waje mtaani huku hata leo
Dj Sma jitajidi uibane pua na mdomo kwa wakati mmoja usipate kutoa pumzi wala kuvuta pumzi angalau kwa dakika moja kwikwi itaondoka kwa uwezo wa Allah
Asante 🙏
Mh,nchi hii jamani sasa usibitishwaji gani wakati niunuama uliojidhihirisha kabisa sura hizo ndizo zenyewe
Hiccup ni kitu hatari sana....nakunywa dawa inaitwa LAGACTIL( kidonge limoja tu) atakuja kunishkuru nimekaa👉👉👉....I have the same problem.
Kaka iyo dawa ipo vizur
@@fatumasaid9882 umeikubali eeehh!!?
Vuta pumzi uibane kwa sekunde 30 alafu utoe ubane tena kwa sekunde 30. Rudia kama mara kumi hivi..inaweza kuregulate miondoko ya diaphragm muscles kurudi kwenye normal state yake.Tatizo likiendelea kwa muda mrefu muone daktari
Sawa
Just Because You Did It Doesn’t Mean You’re Guilty
Wafanye yote ila wasikosee kusema kuwa awajafanya alafu jamaa wakaachiwa kuja mtaani wakiachiwa waamishwe nchi umuimu zaidi tujali aki
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwetu usukumani wanatibu Sana hiyo kwa kutumia dawa za asili
Hata mimi kwikwi kuna mwaka nirishikwa sana
No justice,just us
Dawa yake hiyo ni mabuzi ya makera yani yamiakaneda rudi atafute hayo
Hawakutakiwa wapate mawakili....haki wanayostail wanayotakiwa hao wapate haki gan mbona wao walihukumu bila hata kupima kosa alilofanya yule binti...walitakiwa wawe peke yao kam yule binti ckuile alivyokua peke yake,
Mi naomba number ya hiyo mwana Sheria naomba msaada najua yupo kikazi pia yupo Kwa ajili ya kutusaidia
Achnasheen iliki anyway maji yk itaondoka hiyo kwiki
We will be waiting on the streets … trust me on that ..:
Mbonaaa fuuupiii
For hiccups
Ziba masikio na pua pia fumba mdomo na umeze mate mara tatu, kwikwi itapotea
Huyu kaka mkubwa kwenye sheria yuko vizuri, ila huku kwenye vita vita...
Hahaaa kweli police mnachekesha ushaidi gani mbona mnaongea maneno Kama watu hamjaenda shule hebu kuweka Kama nchi zilizoendelea kitendo cha kumwingilia mwananmke na kurekodi na kutusha kwenye mitandao bila idhini yake tayari Hilo ni kosa la jinai,hivi nchi ya tanzania inaongozwa na nani mbona ipo Kama hakuna viongozi nchi ni imekuwa ya ovyo kweli kweli
Wasipo fungwa mimi nitalia sana maana watajiamini 😭
Kwi kwi issue try kunywa maji then you forcefully vomiting several times! Your esophagus will forcibly reflex with water going outwards! Hopefully will help!
Kidney issue brother can be simple or complicated , but even breath holding can improve hiccup, au tafuta mtu akushtue bila kujua inaishs chap 😂😂😂
Uyo jamaa mwenye kwikwi alambe majivu itamaliza
Ni sawa kisheria kujadili kesi iliyo mahakamani?
Wakiachiliwa wadili na wana kijiji
Jivu la jikoni mzee
Vuta pumzi kwa second kadhaa
WaWaachie heeee tutawaonyesha dunia labda wawaamishe nchi
Mkiwaacha mtawajibika ninyi
first one like please 😅
Kwkwi ni dalili ya vidonda vya tumbo