Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Samia huwezi kutuongoza ndani ya utawala wako wananchi hatuna amani wananchi wanapotea na inaongezeka Kila uchwao nawewe na jeshi lako mpo mnalichukuliaje swala hili Leo watoto wanapotea how come what kind of reder are you what is your govermement plan about us ?
nazani sisi wananchi kwanza ndiyo inabidi tuwe walinzi wa kwanza , ni ngumu polisi kuja nyumbani kwako kuhisis nani ataiba mtoto wako, na polisi hawezi kuja kamata mtu kwa kumhisi tu, sisi wananchi ndiyo tuna haki ya kujilinda na kuwa walinzi majumbani kwetu na kuwataja wahusuika wa hujuma za kuvuruga aman na kuleta taharuki
Samia hawezi Kaz hii yeye yupo busy na mma hakizi mkazi hao wauwaji wakikamatwa wanyongwe tatizo Kase hazina nguvu zikifka mahakama kisha watu wanaenderea na maisha,,,
Wewe hata baba yako hawezi kukuongoza kwa tabia za kijinga za kutukana viongozi Wewe acha upumbavu Bensaanane, Azory Gwanda , Mwenyekiti wa kigoma na wenzake , walipotea wakati wa Samia?? Sisi tushaawaona nyie ni wanafiki wakubwa na mashetani wenye chuki binafsi. WAKATI WATU WAKITEKWA NA WENGINE KUPIGWA RISASI KM KINA LISU ,ULIONA WARAKA? WAKATI UCHAGUZI MDOGO WAPUNZAN WAKIPIGWA NA KUUSUSIA NA UKAFANYWA KWA MABAVU ULIONA WARAKA? WAKATI WATU WALIVYOFUNGIWA AKAUNTI ZAO BENKI NA BAADHI YA MATAJIRI KUKIMBIA ULIONA WARAKA? WAKATI MWANAFUNZI AQUILINE ALIVYOPIGWA RISASI ALF MBOWE NDIYE AKAPEWA KESI ULIONA WARAKA???! N.K N.K HUU USHETANI WENU NA MASHETANI WANAOWATUMA TUMESHAWAJUA NA HAO NDIO WANAOWATUMA KULETA CHOKOCHOKO KILA RAIS MUISLAMU ANAPOTAWALA BASI NYIE HUWA MNAMTUKANA NA KUMJENGEA CHUKI NA WANANCHI KWA SASA BASI ,TUSHAWAJUA WARAKA WENU NI WARAKA WA KISHETANI KWANI UNALETA UBAGUZI NA CHUKI KILA MUONAPO ANATAWALA MUISLAMU BADILIKENI KWANI NYIE MMEJALIWA KUSAMBAZA CHUKI NA FITINA KULIKO WATU WENGINE.
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
😢😢😢😢 jaman singida kwetu kumeharibika
Jamani ndugu zangu wanyaturu tumefikia hatua hii kweli?
Alafu polisi interijensia yao iko kuizuia chadema ila watu wanapotea na ushaidi upo na polisi wanashindwa kukamata wahusika
Inalilah wainalilah rajighun polen wanasingida wenzangu
Haki haitendeki wangekuwa wananyonga hadhalani iwefundisho Kwa hao wahalifu
Huyo mganga anyongwe
Yani anyampaa mghanga usu mwadia umragha kwnn police hawana lolote, huyo ilikua n kuatu,hp hamna lolote, ilikua mgaga afe hp hp,
Huyo mganga no way kitanzi tu..
Uchaguzi unakaribia
Samia huwezi kutuongoza ndani ya utawala wako wananchi hatuna amani wananchi wanapotea na inaongezeka Kila uchwao nawewe na jeshi lako mpo mnalichukuliaje swala hili Leo watoto wanapotea how come what kind of reder are you what is your govermement plan about us ?
nazani sisi wananchi kwanza ndiyo inabidi tuwe walinzi wa kwanza , ni ngumu polisi kuja nyumbani kwako kuhisis nani ataiba mtoto wako, na polisi hawezi kuja kamata mtu kwa kumhisi tu, sisi wananchi ndiyo tuna haki ya kujilinda na kuwa walinzi majumbani kwetu na kuwataja wahusuika wa hujuma za kuvuruga aman na kuleta taharuki
Samia hawezi Kaz hii yeye yupo busy na mma hakizi mkazi hao wauwaji wakikamatwa wanyongwe tatizo Kase hazina nguvu zikifka mahakama kisha watu wanaenderea na maisha,,,
Wewe hata baba yako hawezi kukuongoza kwa tabia za kijinga za kutukana viongozi
Wewe acha upumbavu
Bensaanane, Azory Gwanda , Mwenyekiti wa kigoma na wenzake , walipotea wakati wa Samia??
Sisi tushaawaona nyie ni wanafiki wakubwa na mashetani wenye chuki binafsi.
WAKATI WATU WAKITEKWA NA WENGINE KUPIGWA RISASI KM KINA LISU ,ULIONA WARAKA? WAKATI UCHAGUZI MDOGO WAPUNZAN WAKIPIGWA NA KUUSUSIA NA UKAFANYWA KWA MABAVU ULIONA WARAKA?
WAKATI WATU WALIVYOFUNGIWA AKAUNTI ZAO BENKI NA BAADHI YA MATAJIRI KUKIMBIA ULIONA WARAKA? WAKATI MWANAFUNZI AQUILINE ALIVYOPIGWA RISASI ALF MBOWE NDIYE AKAPEWA KESI ULIONA WARAKA???! N.K N.K
HUU USHETANI WENU NA MASHETANI WANAOWATUMA TUMESHAWAJUA NA HAO NDIO WANAOWATUMA KULETA CHOKOCHOKO KILA RAIS MUISLAMU ANAPOTAWALA BASI NYIE HUWA MNAMTUKANA NA KUMJENGEA CHUKI NA WANANCHI
KWA SASA BASI ,TUSHAWAJUA
WARAKA WENU NI WARAKA WA KISHETANI KWANI UNALETA UBAGUZI NA CHUKI KILA MUONAPO ANATAWALA MUISLAMU
BADILIKENI KWANI NYIE MMEJALIWA KUSAMBAZA CHUKI NA FITINA KULIKO WATU WENGINE.
Rais Samia watu hao wahalifu wanaouwa wenzao piga risasi