Lissu amemuamsha chatu kutoka shimoni, ukweli ni kuwa Chadema imepoa sana na tuhuma za rushwa inaonekana ni kweli. Lakini swali ni kuwa kweli uswahiba wa Wenje na Abdul ni kwa sababu ya Lissu tu, akili yangu inakataa.
Huu Lissu kujua sharia anajiona anajua kila kitu, Maswali yangine bana, sasa ikiwa Abdoul si chochote kwa nani apeleke rushwa? Kinachobaki, Lissu ataje siku ya kwenda kupewa Rushwa tuone pia hivo Cover letter Kama vitakutana
Lisu ni muongo. Mbowe aliomba mchango wa ujenzi wa kanisa akachangiwa na Rais Samia milioni 150 na akatangaza amechangiwa na Rais fedha hizo. Baadae Lissu alituambia fedha hizo amehongwa askofu shoo
Baada ya uchaguzi wa 1995 ulibuka mgogoro Kati ya Mabere Marando na Mrema Lyatonga na ikapelekea umauti wa NCCR iliyokuwa imara. Hali Ile naiona ikiinyemelea CDM.Viongozi karibuni kuwahurumia wanachama na wafuasi wenu kwa kutokukubali kuingia kwenye ndoana iliyowanasa NCCR na CUF
LISSU IS A VERY SMART LEADER!
Zungu yuko wp maana akishikilia kipaza sauti mambo yanakaa sawa
Lissu amemuamsha chatu kutoka shimoni, ukweli ni kuwa Chadema imepoa sana na tuhuma za rushwa inaonekana ni kweli. Lakini swali ni kuwa kweli uswahiba wa Wenje na Abdul ni kwa sababu ya Lissu tu, akili yangu inakataa.
Kuongea na Abdul kama nani? Maana ni swala la kiserikali
Aisee Kuna kitu hakijakaa vizur chadema
Fedha inadaiwa serikali, halafu unampeleka mtoto wa raisi. Protocol za namna gani hiyo?
Mwenzangu hana ata cheo chochote serikalin ila Tanzania yang 😅
Lissu
Zungu yuko wap ...mm nmemzoea zungu aisee
Kwa namna inavoonekana ULAMBAJI WA ASALI NDANI CDM, UPO
Zungu wapi?
Tuna msubir lissu aje aseme 😅 maana ad waandish wanakuona we baba unavyo ruka ruka kama bisi kweny kikaango
Huu Lissu kujua sharia anajiona anajua kila kitu,
Maswali yangine bana, sasa ikiwa Abdoul si chochote kwa nani apeleke rushwa?
Kinachobaki, Lissu ataje siku ya kwenda kupewa Rushwa tuone pia hivo Cover letter Kama vitakutana
Huyu jamaa anae hojiwa simwelewi mziki wa toto tundu hawezi
HIVI CCM WANAFANYA HIVI KWELI KWENYE UCHAGUZI WAO?
Wenje ni dalali mkubwa kwa kuua upinzani tz urijiamini vipi kumchukua fisadi wa pesa za taifa la.tanganyika.na wameacha kwao znzbar
Viongozi ccm wanabalisha marax2 ila chadema kiongozi huyo2 tiketi kwa ccm kuichezea vizuri karata
Tunamtakata zungu
Lisu ni muongo. Mbowe aliomba mchango wa ujenzi wa kanisa akachangiwa na Rais Samia milioni 150 na akatangaza amechangiwa na Rais fedha hizo. Baadae Lissu alituambia fedha hizo amehongwa askofu shoo
Kifo Cha chadema ni hapo
Baada ya uchaguzi wa 1995 ulibuka mgogoro Kati ya Mabere Marando na Mrema Lyatonga na ikapelekea umauti wa NCCR iliyokuwa imara.
Hali Ile naiona ikiinyemelea CDM.Viongozi karibuni kuwahurumia wanachama na wafuasi wenu kwa kutokukubali kuingia kwenye ndoana iliyowanasa NCCR na CUF