Mtwara town Driving Tour Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ส.ค. 2022
  • Remember to subscribe to my channel for more videos.
    Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania.
    In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951.
    The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people.
    The present population is around 108,000.
    As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.

ความคิดเห็น • 41

  • @dejenebelachawe64
    @dejenebelachawe64 2 หลายเดือนก่อน +1

    It's beautiful town

  • @rashidialiuwali939
    @rashidialiuwali939 17 วันที่ผ่านมา +1

    amazing home

  • @ShawejiHusseinBakari
    @ShawejiHusseinBakari 17 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani MTWARA pazuri

  • @mugerajakatarama2144
    @mugerajakatarama2144 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mtwara pazuri cjawahi kufika lkn Leo angalau nimepata picha jinsi palivyo

  • @explorewithbertin
    @explorewithbertin ปีที่แล้ว +3

    unafanya kazi nzr kutanganza nchi yetu...
    Jaribu kuongeza quality ya video na tumia boda boda utapata view nzr zaid..
    Napendekeza utumie simu za google pixel kuanzia 3xl kama huna camera...Lakin so far napenda kazi yako

    • @godlove20
      @godlove20  ปีที่แล้ว +1

      Asante sana kaka.
      Ushauri Mzuri sana kaka.
      Yaani nipo katika process ya kupata camera nzuri zaidi sasaivi.
      Naamini soon mambo yatakuwa safi zaidi.
      Ila nashukuru sana tuendelee kupeana support na ushauri🙏

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin ปีที่แล้ว +3

      @@godlove20 Tuko pamoja

  • @mohammedmhina3973
    @mohammedmhina3973 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeion barabara ya home ufundi technical mtwar sec

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 ปีที่แล้ว

    Verry clean city

  • @jamilayahaya247
    @jamilayahaya247 ปีที่แล้ว

    Hom sweet hom good work bro

    • @godlove20
      @godlove20  ปีที่แล้ว

      Yes mys sister..Thank you 🙏

  • @IreneZab
    @IreneZab ปีที่แล้ว

    So beautiful

    • @godlove20
      @godlove20  ปีที่แล้ว

      Thank you 🙏

  • @Arcangel99997
    @Arcangel99997 ปีที่แล้ว

    Amazing place...Where are you from? Greetings from Venezuela!

  • @janatamoe3466
    @janatamoe3466 ปีที่แล้ว

    Good job 👏

  • @musiradam4445
    @musiradam4445 ปีที่แล้ว

    asante kaka godlove m.

    • @godlove20
      @godlove20  ปีที่แล้ว

      Asante sana kaka..Nashukuru sana 🙏

  • @KTMediatv
    @KTMediatv ปีที่แล้ว

    Nice job

  • @allymngwaya2831
    @allymngwaya2831 ปีที่แล้ว

    Mtwara imebadilika sana barabara za lami ni nyingi mno

    • @godlove20
      @godlove20  ปีที่แล้ว

      Sana mji umepangwa vizuri sana

  • @jamesimrope
    @jamesimrope ปีที่แล้ว

    Home land is so niceeeeeeee to live

  • @geophreyjohn3373
    @geophreyjohn3373 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri keep it up mzee

    • @godlove20
      @godlove20  ปีที่แล้ว

      Thank you bro 🙏

    • @geophreyjohn3373
      @geophreyjohn3373 ปีที่แล้ว

      Unafanya kazi nzuri asyeee yoo inspire me alot and alot...👏👏👏

    • @godlove20
      @godlove20  ปีที่แล้ว

      @@geophreyjohn3373 Nashukuru sana Kaka..Mungu anasaidia tunaenda mdogo mdogo..Asante sana 🙏🙏🙏

  • @geophreyjohn3373
    @geophreyjohn3373 ปีที่แล้ว

    Mtwara iko imepoa haina fujo mingi such a beutifully place to survive..

    • @godlove20
      @godlove20  ปีที่แล้ว

      Kabisa kaka..Mtwara imetulia.sana. hasa maeneo ya shangani hakuna vurugu kabisa..unakaa unatulia kabisa

    • @geophreyjohn3373
      @geophreyjohn3373 ปีที่แล้ว

      Yea afyuu piah ni mji ambao unahitaji wawekezaji wengi mana nimeona vitu vingi haviko kama supermarket ila ni bonge moja la mji wa kuishi kwa kutuliaa

    • @godlove20
      @godlove20  ปีที่แล้ว

      @@geophreyjohn3373 nafikiri baada ya lile vuvugu la gesi kutulia lilifanya urudi nyuma. Maana watu wengi sana walikuwa wameshachukua maeneo kuwekeza. Toka lilipoisha na watu mpaka leo.hawajawekeza tena

    • @godlove20
      @godlove20  ปีที่แล้ว

      Lakini bado kuna opportunities nyingi sana.kwasababu ni mji ambao bado vitu vingi havijaanzishwa

  • @athumanabdul4223
    @athumanabdul4223 ปีที่แล้ว

    Sasa mtwara haina mitaa ya uswahilin iliyochangamka au mm naonaje? Bro tupitishe na uswahilin sisi tunapenda biashara za machinga tuone uswahilin hko pakoje ili tuje na ma ideas ktoka hku mikoa mingine🙏

  • @nyamabeatz
    @nyamabeatz 11 หลายเดือนก่อน

    Nimekumbuka mbali 2007

    • @anisalaziz6151
      @anisalaziz6151 2 หลายเดือนก่อน

      i would like to came there, inshaalloh

    • @anisalaziz6151
      @anisalaziz6151 2 หลายเดือนก่อน

      now am on the way to mtwara

  • @engyhy1985
    @engyhy1985 ปีที่แล้ว

    Kuna mtu ameuliza, sasa Mtwara hakuna uswahilini? Jibu ni kuwa maeneo kama hayo yapo lakini ipo tofauti kidogo na miji mingine, Mtwara hakuna zile pilika pilika za barabarani kama Chalinze, Morogoro, Dodoma nk yaani miji ambayo barabara kuu inakatiza, haiko hivyo. Mji ni mpana sana na mkubwa na kwa hiyo kwa idadi ya watu na ukubwa wake wa wastani, unasababisha usione watu wengi. Kimpangilio ni mji ulipangwa kwa barabara( ukiingia wikipedia utaona ni mji ulipangwa kwa ajili ya watu laki 200,000 ingawa data za wikipedia ni za zamani mno)
    Lakini maeneo ya watu wengi kama Mbae, Tandika, Chipuputa nk yapo, sema asingeweza kupita kila mahali. Amejitahidi angalau 40-50% tu ya route zote

    • @godlove20
      @godlove20  ปีที่แล้ว

      Nikweli kabisa. Nashukuru sana. Pia bado kuna muda. Next time nikirudi mtwara nitajitahidi pita yale maeneo ambayo bado sijapiata.

    • @yasrumkauka2691
      @yasrumkauka2691 4 วันที่ผ่านมา

      Umeeleza vizur sana kaka