JAY MOE : Nimepewa heshima kubwa/Iren Niliishi nae vizuri/Singeli nayo ni Bongo Flava....

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 23

  • @sultanmaxmed366
    @sultanmaxmed366 ปีที่แล้ว +4

    Mvua na juwa Ubunifu mkubwa kulinganisha na nyimbo za sasa..👑

  • @allychilinga1958
    @allychilinga1958 ปีที่แล้ว +1

    Jay Moe ndio msanii wangu namba Moja wa Rap..🎉

  • @bokabecca5473
    @bokabecca5473 ปีที่แล้ว +3

    Heshima kwa prof jize ila MO ni Namba moja kwenye rap hip hop ✍️

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh ปีที่แล้ว +1

    Been eargerly waiting for this...Mo teknix...🔥🔥🔥

  • @remmykasian6141
    @remmykasian6141 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana hii kipindi

  • @afisamipango005
    @afisamipango005 ปีที่แล้ว +3

    Kati ya show kali nilizowahi kuangalia, hii ni best sana. Soggy unafanya show iwe kali maana wewe pia uliwahi kuwepo. Chukua maua yako CHIEF RUMANYIKA

  • @DavidLucas-ou7vp
    @DavidLucas-ou7vp ปีที่แล้ว +2

    Soggy na Moe inapendeza Sana.

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 9 หลายเดือนก่อน +1

    Story za wasanii wa zamani ni burudani sana😂😂😂

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 ปีที่แล้ว

    Stori za wasanii wa zamani zinapendeza sana

  • @cosmasmakoa3117
    @cosmasmakoa3117 ปีที่แล้ว

    Kitambooo saf sanaaa

  • @jolly47._
    @jolly47._ ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kikali sanaaaaa

  • @pitbullfamily4499
    @pitbullfamily4499 ปีที่แล้ว +1

    🔞😂🤣😅💯💯💯🔥🔥🔥 Wallahi kali sana story freshii

  • @richardmaxwell3991
    @richardmaxwell3991 9 หลายเดือนก่อน +1

    soggy akiwa anasimulia huyo Co host awe ananyamaza,

    • @thosmaenterprises9968
      @thosmaenterprises9968 5 หลายเดือนก่อน

      kabisaaaa hafai hapooo, anavuruga tu anauliza vitu hat havijui

  • @albertlilechi4906
    @albertlilechi4906 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @kennethoduor1646
    @kennethoduor1646 ปีที่แล้ว

    Itabidi tumtafute Jimwat ama Jua cali waeleze kauli yao kuhusu hii story.

  • @DavidLucas-ou7vp
    @DavidLucas-ou7vp ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣😂😂😂hatariii

  • @PesaMadafu
    @PesaMadafu ปีที่แล้ว +1

    Alinipiga

  • @apangejulius9159
    @apangejulius9159 ปีที่แล้ว

    Camera man kuwa sharp kuchage shot position

  • @KIREDIOO
    @KIREDIOO 10 หลายเดือนก่อน

    😂