VIUNGO 5 MUHIMU JIKONI KWANGU!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 27

  • @LuciaRamso-d2q
    @LuciaRamso-d2q 3 หลายเดือนก่อน

    Waooh nmefurah sanaaa dada endelea kutupa ujuzi

  • @annaSufiani-j6i
    @annaSufiani-j6i 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanangu Mungu azidi kukuwezesha naomba kujua tambi za mayai inawezekana kupika kwenye oven asante

  • @hajirahamis1284
    @hajirahamis1284 ปีที่แล้ว +1

    Hongera madam upo vzur hakika nafaidika mnoo

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 ปีที่แล้ว +2

    Pili-pili manga kwenye uji

  • @iddahtilya1532
    @iddahtilya1532 2 ปีที่แล้ว +4

    Dada naomba kujua matumizi ya soya sauce na paprika

  • @naomigenchiri2223
    @naomigenchiri2223 2 ปีที่แล้ว +1

    Niliku miss 🥰🥰 haika

  • @divahcruz
    @divahcruz 2 ปีที่แล้ว

    I love manjano mbichi😍

  • @leeviannycharles-qh8ns
    @leeviannycharles-qh8ns ปีที่แล้ว +1

    me napenda kwenye uji

  • @nchekumunuo5134
    @nchekumunuo5134 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm mdalasini napenda kwenye unga wa uji

  • @divinemushi1417
    @divinemushi1417 2 ปีที่แล้ว +4

    Nahis umesahau iliki kweny tambi inanoga sanaa

    • @ikamalle
      @ikamalle  2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli inanogaga mnooo 🔥

  • @tsepoirina4393
    @tsepoirina4393 2 ปีที่แล้ว +1

    Pilipili manga + yai yoyote ila ya kushemshwa
    Iliki + tia kidogo ktk mix ile ya mahamri

  • @BeatriceMartine-rz2mg
    @BeatriceMartine-rz2mg 8 หลายเดือนก่อน

    Darasa zur mumy,, asant

  • @fooddiarytz
    @fooddiarytz 2 ปีที่แล้ว

    Thanks for sharing

  • @tyroneduplooy9903
    @tyroneduplooy9903 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @PinkPetals1
    @PinkPetals1 2 ปีที่แล้ว +2

    Umesahau iliki kwenye Maandazi.
    Natumia sana iliki, mdalasini, bay leaves, na Rosemary

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥

  • @leoniapaulo7752
    @leoniapaulo7752 2 ปีที่แล้ว

    Mambo Ika, sorry hiyo chumvi yenye viungo, inapatikana wapi kwa Arusha?

  • @marthagolani1597
    @marthagolani1597 ปีที่แล้ว

    Nisaidie nataka kujua kukaanga nyama ya kuku iwe laini unaweka viungo gani? Nisaidie

  • @madamtee8700
    @madamtee8700 2 ปีที่แล้ว

    Thanks darling

    • @ikamalle
      @ikamalle  2 ปีที่แล้ว +1

      Karibu dear

    • @ettyluanda2274
      @ettyluanda2274 2 ปีที่แล้ว +1

      Pilipili manga unaweza pia kuweka kwenye salad,supu/mchemsho

    • @ettyluanda2274
      @ettyluanda2274 2 ปีที่แล้ว

      Mie huweka iliki kwenye mkate na maandazi.Inaweza pia kuwekwa kwenye fresh juice na ht vitumbua

    • @ettyluanda2274
      @ettyluanda2274 2 ปีที่แล้ว

      Thanks Ika Malle

    • @annaSufiani-j6i
      @annaSufiani-j6i 2 หลายเดือนก่อน

      @@ikamalle Asante kwa darasa zuri naomba kujua tambi za mayai unawezakupika kwenye oven ? asante

  • @neemadaniel9710
    @neemadaniel9710 2 ปีที่แล้ว +1

    hata mimi sipendi harufu ya mdalasini