Tufundishe kusukuma chapati zinasumbua sana kwenye kusukuma kwa anaeon kila akipika chapat zinakuwa ngum achemshe maji yachemk kama ya ugali chapati zinakuwa laini sana ukishazoea tumia maji yaliyopoa achana na Yale ya ugali maana chapati zinakuwa laini kupiliza.
Keep up , video nzuri sana
Asante sana Dadaangu ❤️
Napenda upo real and natural hongera mama,tunaomba na Swahili night routine
Napenda sana video za hivi. Nakupenda sana Haika
Asante sana Ika najifunza vingi kupitia video zako
Video nzuriiii kipenzi .....upo realistic sana
Mashaalla
Napenda sana unavofundsha ika male ubarikiwe
Hakuna breakfast tamu kama ya kuandaa mwenyewe
I love it
😊
Thank you dear
@@ikamalle karibu lovely
I love this Kind of Videos.
NAKUPENDA sana Dada ika♥️
Tuletee na ya maandalizi ya shambani🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Shamba lipi tena
Mie chai na mihogo/sambusa
Nakupendaga mnoo, video zako za kipekee kabisa
Asante sana Neema 🥰
@@ikamalle ❤️
Nice 👍
🥰
Amazing 👍👍
Asante sana dear
Nimeipenda saaaaaaaaana
🥰
Sante tunajifunza mengi kwako dada ika
haika mae🥰
Asante Ika
We need more videos like this 🙌 👏
Nitajitahidi 🥰
Karibu dear
hapo uliamka saa ngapi?
😍😍🥰🥰
Breakfast napenda Bajia za kunde au chapati au mandazi au Viazi karai.
Hapo Sasa umenikosha
Tuwekee km hz
Video km hzo nzr hope utatuletea na skincare routine🤗
Love everything about you
🥰🥰🥰
Mimi napendelea Sana snacks 😃Kama sambusa, viazi, kababu😋🤣
Sambusa 🥰🥰
😋😋😋😋😋😋
Hakuna kitu sipendi kama kuwasha moto wa mkaa 😭😭😭😭😭
Tufundishe kusukuma chapati zinasumbua sana kwenye kusukuma kwa anaeon kila akipika chapat zinakuwa ngum achemshe maji yachemk kama ya ugali chapati zinakuwa laini sana ukishazoea tumia maji yaliyopoa achana na Yale ya ugali maana chapati zinakuwa laini kupiliza.
Najifunza sana kupitia wewe
🥰 Asante sana dear
Napenda chapat ila kupika sasa😑😑