JINSI YA KUPANGA RATIBA YA CHAKULA ! Swahili Meal TimeTable

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Nimejitahidi kuwaonyesha naamna ninavyoandaa ratiba ya Chakula nyumbani kwangu..
    #tanzanianyoutuber

ความคิดเห็น • 43

  • @DialogueplatformPlatform
    @DialogueplatformPlatform 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kupitia video zako za mapish najikuta na mim napenda sana kupika na nmejua kupika vitu vng sana. Thanks alot sister

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar ปีที่แล้ว +14

    Ahsante kwa video. Kwa upande wangu mimi huwa nafanya meal plan kwanza halafu nafanya shopping list kutokana na ingredients zinazohitajika kwenye vyakula halafu sasa naangalia kitu gani ninacho nyumbani na vitugani nahitaji kununua

    • @LawrasBakeshop
      @LawrasBakeshop ปีที่แล้ว +3

      Nakubaliana na wewe, inasaidia pia kuhakikisha u only buy what u need for the meals

  • @ZafaraniT.v
    @ZafaraniT.v ปีที่แล้ว +1

    I love the timetable routine...I love your videos...streaming from Nairobi Kenya 🇰🇪💞💞💞💯

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว

      Thank You & Karibu sana

  • @Odama-dn7xy
    @Odama-dn7xy ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda

  • @christopherjuma3618
    @christopherjuma3618 ปีที่แล้ว

    Nataka niwe nakupgia naomba namba yako

  • @aminajumanne1283
    @aminajumanne1283 ปีที่แล้ว

    naomba no yako ya wasap

  • @carolinematemu6741
    @carolinematemu6741 ปีที่แล้ว +23

    Mimi naona rahisi ni kuandaa timetable ndio ije shoplist yan najua nataka nile nin kwa wik au mwez husika ndio itaniguide nikanunue mahitaji gan

    • @MaximillianNgoiya
      @MaximillianNgoiya 11 หลายเดือนก่อน

      Ukienda shopping ukavikosa ?

  • @foodbae124
    @foodbae124 9 หลายเดือนก่อน +5

    Personal timetable kwanza then grocery shopping😊jpili ni pilau always😅😅kama nilirogwa

  • @mziwandabakers8297
    @mziwandabakers8297 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nashindwa kuheshimu timetable ...nipo jumatatu natamani nile chakula cha jumapili ...inaweza kuwa uroho labda ...dah

  • @zawadimkangala1268
    @zawadimkangala1268 ปีที่แล้ว +5

    Asante mpnz..Ila mm kwasababu Niko pekeangu na mmewangu hashindi nyumbn so,nmeamua kuandaa ratiba ya BREAKFAST AND DINNER tuu sijaeka lunch coz nakuwa mvivu kula mchana nakula snacks and bites ❤😊😋😋I love yours nikiwa na familia 🥰🥰

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +4

    Sy wengn hatuna timetable 🤣🤣🤣

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 ปีที่แล้ว +1

    Safiri sana kwangu Milo ni miwili tu hivyo jion ni desh maisha budget hasa kulingana pua na kazi ninazofanya

  • @LucyKihara-g7o
    @LucyKihara-g7o ปีที่แล้ว +1

    Tafadhali nionyeshe kuandika ratiba itakayo waongoza wanafunzi kwenye tamasha za muziki🙏🙏🙏🙏

  • @maryamhamad4682
    @maryamhamad4682 ปีที่แล้ว +1

    Nmependa shopping kwanza then timetable, thanks

  • @mdmahammed2852
    @mdmahammed2852 ปีที่แล้ว +1

    Napenda ugali samaki tembele pia

  • @MwamtoroMuda
    @MwamtoroMuda 9 หลายเดือนก่อน

    Nakufatilia sana umefanya nimejua kupika ,, Nakupenda

  • @reginaremi7176
    @reginaremi7176 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza kitu kuandaa ratiba, siku ya Kula kwa mziwanda uniambie Mimi ni jirani yako 😍

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว

      Hahaha sawa ❤️

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว

      Hahaha sawa ❤️

  • @mashughulikaguo-di5mu
    @mashughulikaguo-di5mu ปีที่แล้ว +1

    Nataka machine

  • @jacklinemsangi7521
    @jacklinemsangi7521 4 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda wewe dada jamani

  • @JuniceThobias
    @JuniceThobias ปีที่แล้ว

    Io list ya vyakula tunawezaje kuiona?

  • @saumukasembe8921
    @saumukasembe8921 ปีที่แล้ว

    Jmn Ika kumbe unaishi tabora napendaga unavyovifanya

  • @zainabumtunguja5768
    @zainabumtunguja5768 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @Neemaezekiel2
    @Neemaezekiel2 ปีที่แล้ว

    Namba yako ndo nataka jaman tafadhali 🙏

  • @سيوابورندي
    @سيوابورندي 7 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @angelelia907
    @angelelia907 ปีที่แล้ว

    Upo tabora? Au moshi?

  • @magrethmsami6320
    @magrethmsami6320 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana ika

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว

      Asante na Karibu 🥰

  • @mashughulikaguo-di5mu
    @mashughulikaguo-di5mu ปีที่แล้ว

    Napata wapi machiy

  • @catherinemapunda8164
    @catherinemapunda8164 ปีที่แล้ว

    Unajuaje hii ni mihogo mizuri? Kabla hujanunua?

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว

      Mhmm najua tuu…. Pia nina sehemu moja naenda kununua, aninchaguliaga mizuri tuu…

  • @biwardahamuri5000
    @biwardahamuri5000 ปีที่แล้ว

    Samahani dada wey ni muislam ao mkristo?

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว

      Mkristo

    • @biwardahamuri5000
      @biwardahamuri5000 ปีที่แล้ว

      Ila kuna video ya idi uliwahi ku post ,sinjo nimechanganikiw

  • @MISSTOURISMLINDISECOND
    @MISSTOURISMLINDISECOND ปีที่แล้ว

    Hueleweki bwana kigereza kingi Cha Nini unakela

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว +2

      Unakerekaje kwenye channel ya mwenzio MISS TOURISM na bando sijakuwekea mimi….

  • @christopherjuma3618
    @christopherjuma3618 ปีที่แล้ว

    Sawa ika