SIMBA WATOA ONYO KALI KWA WACHAMBUZI WANAO KOSOA KIKOSI CHAO| SIMBA TUMEJIPANGA MSIMU HUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 2 หลายเดือนก่อน

    Mchambuzi mzuri na anaufahamu mpira na timu.Naomba achukue waandishi wengi wanatumika kuchafua simba.

  • @neemamwijage
    @neemamwijage 2 หลายเดือนก่อน

    Ww ndiye umeongea kitu cha maana nikama simba walicheza wao kwa wao

  • @nurugaspary4690
    @nurugaspary4690 2 หลายเดือนก่อน

    Yuko sahihi hatuja pata vipimo zaidi

  • @JILBERTDaniford
    @JILBERTDaniford 2 หลายเดือนก่อน

    HAITAKIWI KILA MASAA 24 MTUSAJILIE WACHEZAJI.
    MWLM APATE KUINSERT MAFUNDISHO KWANZA ILI UKIPITA MUDA FULAN TULAUMU,
    NASHAUL TUCHAMBUE BAADA YA MECH 6 KUENDELEA

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 2 หลายเดือนก่อน

    SIMBA HII INGECHEZA NA SIMBA YA MWAKA JANA INGEFUNGWA MENGI

  • @ReginaWolfram-q3y
    @ReginaWolfram-q3y 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona azizik alikaa msimu mzima badoo tuwape muda

  • @SeifRajab
    @SeifRajab 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waandishi nyie msiwe kama hamna akili HIV hamuoni kama wachezaj wapya mazingira mapya ulizeni maswali ya msingi

  • @kakakodokodo7477
    @kakakodokodo7477 2 หลายเดือนก่อน

    Ila nonino wako simba angemshindilia hadi hangeshindwa kutembea kama ile siku walipocheza na vikongwe wa vidimbwi fc utopolo baada ya mechi so uliona walivyo lala uwanjani

  • @195941233
    @195941233 2 หลายเดือนก่อน

    Hao wachambuzi ambao ni unethical washikishwe adabu.

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 2 หลายเดือนก่อน

    Tengua kaulioko, Simba ni mnyama pia club sio mtu😂

  • @michaelnsingija
    @michaelnsingija 2 หลายเดือนก่อน

    nawe mdada kila sehem upo nenda na yanga ukawahoj tuache bwana nenda ata azam ukawahoj

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani wachambuzi wajinga wanaolipwa kuisemea vibaya simba mwaka huu tutakufa nao

  • @195941233
    @195941233 2 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi anabore tu kwa maswali yake