Mengine haya vumi liki mama asikua mbiye mtu kuna jiran kafa kwa kumvumi liya mme faida iko wap sematu mungu amlinde na siyo uvumi livo mengine haya vumi liki
Nashangaa sana et amefundishwa namna ya kumheshimu mume .huyu kungwi nae hajui.baada amfundishe akamwadudu Allah kwanza et anaanza na mumume mhh.hapa naona hata swala sijui kana inaswsliwa maana ukiangalia hayo mapambo ni shida.ikiwa mikope machon kweli mmmh mtihan.uisla haujafundishs masdili hayo.miziki kwanza haraam.
Jamani ni wapi coast ama tz na mwaeza yeyote awaza jiunga na hichi*i chama ? Hakika tume furahia nyote twawashukuru niko warabuni mola awaepushie hasadah mwendelee hivyo hivyo congrats the bride and the bridegoom eeee mwari mtunze mume nae asikufanye kizoleo cha makomba moyo ya nje aaa akija ndani aku tuze na akupe pia mahaba eee asi jua kurai simlezi wa mahabaa mwari wetu hongera na mumeo pia .. wamama hoyeeee
Hongereni mama mwari na wote walo hello every one fanikisha hio shughuli na uplaod teamwork Thank you so much
mekapo
Mashallah mkovizuri nasisi mola atufanyie wepesi tufungendowa Ishallah
Mengine haya vumi liki mama asikua mbiye mtu kuna jiran kafa kwa kumvumi liya mme faida iko wap sematu mungu amlinde na siyo uvumi livo mengine haya vumi liki
Somo na mm natak uwe xomo yng nakupend bure xomo wa Amina,kwanz piko nimeilewa nakuhuc maneno ya mwal nd kaabix yaan 👍👍
Hongera sana Somo, ila aliekupamba somo kakuchakachua, icho kikundi nimekipenda, hongera sana mamie mwari
Biharusi umenonajeee? si kwa mashavu hayooooo 😭😭😭😭Ishaallah Mungu akupe mme mwema🙏🙏🙏🙏
Upo god
Chuki
duhhhh huyooo anafundwa nini wakat kila kitu amesha kifanya manake mhhhhh sioni kuwa ni mwari
Umepambwa sana hadi kelo jamani duuh!
Mtangazaji umedamshai dada hongera
Asante kungwi
Aliempaka make up huyu dada mungu anamuona
Mimah Shams 😂😂😂😂👌
Mimah Shams 😂😂😂😂 lool
Loool kweli hilo
Mamu moh nomaeeee
Hehehehehehe
Mashallah mie naitaji icho chama mniunge
jamn m nampenda sana uyuuu mdada mpk sijielew uwiii love you sakin
Mwajabu Athuman ygyu
Hawa makungwi ndo viongoz wa kuachika
Jamani nimecheka na uyo somo mpaka mepaliwa maji
Nashangaa sana et amefundishwa namna ya kumheshimu mume .huyu kungwi nae hajui.baada amfundishe akamwadudu Allah kwanza et anaanza na mumume mhh.hapa naona hata swala sijui kana inaswsliwa maana ukiangalia hayo mapambo ni shida.ikiwa mikope machon kweli mmmh mtihan.uisla haujafundishs masdili hayo.miziki kwanza haraam.
Smo naomba namba yako miniko kenya nitakuita inshallah
Mashallah Amina mola awajalie baraka
Bi harusi chibongeeee😂😂😂😂😂
Hamna mwali kwenu babueee
Hio eye shadow uongo...tueni wakweli jamani ...unatishaaaa
Mumejipaka sanaaa
Alie mfanyia makeup bi Harus mung anamuona😂
Mbona naona kafanya vizuri maana yaendana vazi lake
herieth nakwambia wanja haja blend hapo mbele yani ni shida😃😄
Hhhh
Wamejichubua wanatisha
Asma Rada sanaa wallahy mtihan
Biharuc unatishaaaa heeee mapambo yakizidi kichefuchefu
Maa Shaallh
somo kama jini
Shakiru Abasi 😀😀😀😀😀😀😀😀
Shakiru Abasi ahahhaahah jini mahaba
jamani da sakina mie nakutafuta mwenzio
Mmmh usoni hpna
Uyo somo akasome yeye muone atakunenepa anenepi ndoa mchezo 😁
Duuh somo make up hehe ......biharus nae duuh....😁😂😂😂😂😂
Ma bibi harusi wa siku izi ni wamwendo kasi balaa
Siku hiz cjui kwann mambo hadharani
Safiiiii sana
dah kibonge
Mashaallah
pungu za mwili
Kwel dada
Bi haruus na somo lao moja
wembamba wa reli 😂
Congratulations
Kuswapuka kila muda sio 😂😂😂😂😂😂😂😂
da sakina mimi nataka uwo mshono guo ulovaa nitapata vipi
ahsant dasa
kungwi shikamoo makapu yako..
Sakina umemzidi bibiharusi kwa mekap
Nayfin Abdallah sio kwa makeup hiyo
jamani wewe uliefanya makeup sio haki umemfanya kama kinyago hata wewe somo huyo mwari humuoni
bi kharus na somo yako mtia make up kapuyanga ...... yaan duuuh km zimwi
Hahahahahahaha
Subira ni jambo muhim sana kwenye ndoa m'ke na m'me.
😂😂😂😂😂eti wanaswapuka
Jamani ni wapi coast ama tz na mwaeza yeyote awaza jiunga na hichi*i chama ? Hakika tume furahia nyote twawashukuru niko warabuni mola awaepushie hasadah mwendelee hivyo hivyo congrats the bride and the bridegoom eeee mwari mtunze mume nae asikufanye kizoleo cha makomba moyo ya nje aaa akija ndani aku tuze na akupe pia mahaba eee asi jua kurai simlezi wa mahabaa mwari wetu hongera na mumeo pia .. wamama hoyeeee
Halma Kinty Tz
Mamã mwenyewm
wacha wee
Wanja kama barabara
Chibonge
Hatuachani
Sihr u caqi
Kuchepuka no
bialusi punguza kula
jmn mpaka mekap uyo hafai kulipwa hta mia kawa kma mdoli
mapishi
mna zinguwa uyo si mke wa Kiba 😏
faida dusabe hahahahaha hahahahaha mbavu zangu mimi
hahaha, yengekuwa ni huyo basi kiba kwa kujiona yengeoga matusi...
Mh makubwa😂
Eti kuonesha maumbile na kuruka sarakasi 😂
Ml
😀😀eti kuswapuka
Hiyo make up ya bi harus,,,, mmmh?!
kuwa mwali cyo lazima ujichubue kkkkkk
Et bado mpambaj bado mdg mbegu mby
Yaani umepambwa ivo voote na mume bado mmmh uswahilini 🤦♀️
Kwa nn makungwi wengi ni masingle?
Nashangaaa
Somooo😭😭
makubwa
make up
make up sasa...
Make-up ee, mwili nayo 😏
Ahahaha follow @jonijooo89