Mchiriku | Omari Omari | Beach Boy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 47

  • @tatushebe8781
    @tatushebe8781 หลายเดือนก่อน +2

    Kitambo mno❤❤❤

  • @AhmadSambula
    @AhmadSambula หลายเดือนก่อน +2

    Msikie sasa mwamba wa mikoroshini hizi.na singeri.unachgua hipi

  • @IssaRamadhani-f1r
    @IssaRamadhani-f1r 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nawez nikapata nyimbo ya omar omari inaitwa nimeletewa barua kutoka mbeya asha kajifungua mtoto bahati mbaya

  • @AdautihThomas
    @AdautihThomas 3 หลายเดือนก่อน +2

    Omar omari wewe big apu

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nakumbukaaa miakaaa I yoooo Nikoooo debeniii

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 ปีที่แล้ว +2

    Shangaa shangaa kukamatwa uzuluraji👏👏

  • @driss4957
    @driss4957 5 หลายเดือนก่อน +3

    Tmk wahuni wengi walijititia kaburu,na ubanguni,Wengine wakachukua maboti,Nyimbo iliwapa hasira mabaharia wengi..USA TUNATWANGA NA KUPETA..R.I.P PILOT.

    • @simulizizamwanaupwa2644
      @simulizizamwanaupwa2644  5 หลายเดือนก่อน

      Saana. Kuna ndugu yangu alizamia na kurudishwa mara tano; ya sita ndiyo akafanikiwa; na sasa yuko Angola.

  • @evaristangelo8856
    @evaristangelo8856 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tutimuke💥💥💥💯💯

  • @salmafrancis6689
    @salmafrancis6689 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani tuwekee na za uraibu na umorari kwacha na Beira

  • @jumasimba6583
    @jumasimba6583 ปีที่แล้ว +2

    Dar nikikumbuka hizi nyimbo zinaleta hisia kali sana

  • @suleymanisalum2361
    @suleymanisalum2361 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna nyimbo moja hv inaimbwa hv , wewe nenda huko huko hukoo ulikokwenda ujana wako uende wapiii unijie uzeeni. (,sijui unaitwaje ule niliusikia siku moja niliupenda sana)

    • @simulizizamwanaupwa2644
      @simulizizamwanaupwa2644  5 หลายเดือนก่อน

      Unaitwa 'Nenda huko huko' Nawasiliana na wana Atomic, Mungu akipenda nitauweka hapa.

    • @suleymanisalum2361
      @suleymanisalum2361 5 หลายเดือนก่อน

      @@simulizizamwanaupwa2644 pamoja sana 🤛

    • @AdautihThomas
      @AdautihThomas 3 หลายเดือนก่อน

      Jamani Kuna ule wa omari wa mv bukobakwenye ziwa vicktoria

    • @suleymanisalum2361
      @suleymanisalum2361 3 หลายเดือนก่อน

      Nausubiri kaka​@@simulizizamwanaupwa2644

  • @millolongo396
    @millolongo396 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wote tuliomwagika like this

  • @salmafrancis6689
    @salmafrancis6689 5 หลายเดือนก่อน +1

    Da rip mwamba

  • @salehemauza9724
    @salehemauza9724 ปีที่แล้ว +1

    Long timu sana hiyo, ipo siku tutarudia nyumbani temeke mikoroshini daaah

  • @suleymanisalum2361
    @suleymanisalum2361 5 หลายเดือนก่อน +1

    Qalii sana hii ngoma

  • @salimmapande4668
    @salimmapande4668 10 หลายเดือนก่อน +2

    sikudhani kama ipo siku ntasikia wimbo huu tena. Tutafutie nyimbo za Omari Omari alipokuwa Topaz kabla hajaanzisha bendi yake ya Atomic

  • @mariamabdullah489
    @mariamabdullah489 ปีที่แล้ว +4

    Wahuni waliamua kwenda kujipakia miaka ile full mchakamchaka, bro Twila Guy wa kipawa uwanja wa ndege, kaenda kuipakia na kaanguka yupo Germany anatwanga na kupeta

  • @AbubakarKumbwani-yq5vg
    @AbubakarKumbwani-yq5vg 10 หลายเดือนก่อน

    Nanga Boy simela

  • @AbubakarKumbwani-yq5vg
    @AbubakarKumbwani-yq5vg 10 หลายเดือนก่อน

    Godfrey Kupa

  • @husseinshabanhussein7206
    @husseinshabanhussein7206 ปีที่แล้ว +1

    Hapa wengi walitimkia south miaka ile

  • @GORDONMWAKALUKWA
    @GORDONMWAKALUKWA ปีที่แล้ว

    Hata sasa lzm tuchakalike

  • @ernestnemeschunguke-bc3ov
    @ernestnemeschunguke-bc3ov ปีที่แล้ว +3

    Nakumbuka mbali Dana mwaka 1995

  • @johnmnana-cg8go
    @johnmnana-cg8go ปีที่แล้ว +2

    Yale makundi mengine vp,,kama Tokyo,,topaz,,urahibu,,Buti kubwa,,
    Dar nyota,,

    • @simulizizamwanaupwa2644
      @simulizizamwanaupwa2644  ปีที่แล้ว

      Mengi yalikufa. Dar nyota maskani yao yalikuwa Manzese lilikuwa kundi la CCM, Topaz lilikuwa la Mbagala na Urahibu (Buti kubwa) lilikuwa Temeke. Tokyo nimesahau lilikuwa la wapi; lakini members wengi wa Topaz walijiunga na Omari Omari kuunda Atomic Advantage.

    • @husseinshabanhussein7206
      @husseinshabanhussein7206 ปีที่แล้ว

      Topaz iligawanyika omari omari akatoka na atomic music topaz temeke mikoroshini famagusta atomic gusta sandali