HUU NDIO UBORA WA CHASAMBI DHIDI YA KIBU DENIS / NASRI ATOA UTOFAUTI DHIDI YAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 10

  • @AshuraNyamnyam
    @AshuraNyamnyam 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli chasambi yuko vizuri , anastaili pongezi anawashinda
    hata wageni hongera sana chasambi utaziba pengo la kibu d

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie nyie mnamjua kibu Denis prosper?? Kibu iz far batter kwa chasambi,,,,msidanganyike na hiz match za sandakalawe ambazo kesho kutwa utasikia saidoo kaweka kamba 15 hatrik 3 ...😂😂

  • @johnfilbert5915
    @johnfilbert5915 4 หลายเดือนก่อน

    KO kibu d anarudi Ngara au😀tunamkaribisha tukalime viazi ndio jadi yetu😅😅😅

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 4 หลายเดือนก่อน

    Wachambuzi wa Tanzania ni kama wahusika duara

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 4 หลายเดือนก่อน +1

    We mwarabu ukoko mmafiki tu acha kumsifia mchezaji wetu wa simba rudi kwa wale🐸🐸🐸🐸 wako kawachambue

  • @EliaTish
    @EliaTish 4 หลายเดือนก่อน +1

    dogo anajuwa Sana naona kibu anaenda kupoteza nafasi yake msimu ujao kabsa

  • @bembelezaMsazi
    @bembelezaMsazi 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤😅😅😅dogo anatisha Kama vipi kibu aondoke 2

  • @ShadrackSokon
    @ShadrackSokon หลายเดือนก่อน

    Mechi yareo kwmukapa