KIVUMBI! SERIKALI YAPIGWA CHINI MAHAKAMANI | WANANCHI WAIBUKA KIDEDEA | KUIPINGA RASMI TAMISEMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 66

  • @JacksonBiyaga
    @JacksonBiyaga หลายเดือนก่อน +7

    Asanteni sana makamanda wetu ,Mungu awabariki na awalipe kila raheri

  • @BraytonMwakitalima
    @BraytonMwakitalima หลายเดือนก่อน +4

    Nimefurai Asante sana mungu awabariki sana

  • @JacksonBiyaga
    @JacksonBiyaga หลายเดือนก่อน +7

    Mungu awatangulie Watanzania wapenda haki tupo pamoja nanyi

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 15 วันที่ผ่านมา +2

    Pongez Mawakili wetu ,pamoja nawawakulishi wawananchi mungu awarinde sana namaadui wabaya

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka หลายเดือนก่อน +7

    Hongereni sana kwa uzalendo wenu tuko pamoja tunawaombea sana

  • @SarahLusubiro
    @SarahLusubiro 3 วันที่ผ่านมา

    Huo ni mpango wa mungu,hatinae yanatimia,hongeleni sana makamanda

  • @EmmaculateGembe
    @EmmaculateGembe หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awalinde ndugu zetu mumeonyesha upendo na uzalendo wa hsli ya juu sana

  • @BoniphaceGwau
    @BoniphaceGwau 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu atusaidie ndg zangu

  • @MiavikiMahenge
    @MiavikiMahenge 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ninawashukuru sana kwa kupigani a haki za wanyonge Mungu awabariki sana

  • @emanueljohn-xy7je
    @emanueljohn-xy7je 5 วันที่ผ่านมา

    Safii saaaana

  • @MohamedSalum-d4t
    @MohamedSalum-d4t 9 วันที่ผ่านมา

    Mama Nkya mungu Akubariki Serikali Hizo ni sauti za wananchi si vizuri kuzipuuza

  • @JoshuaJoventh
    @JoshuaJoventh 17 วันที่ผ่านมา +1

    daah kwel tumepata watetezi mungu awalinde sana

  • @mosesmwaisela2455
    @mosesmwaisela2455 หลายเดือนก่อน +2

    Wanasheeia wa serikali. Mnakazi ngumu sana. Ukwel mnaujua Ila kwa sababu ya tumbo. Hii ndio dunia

  • @jamessiame5169
    @jamessiame5169 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana wanasheria

  • @MichaelChombo-w2u
    @MichaelChombo-w2u หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mawakili kwa kuwatetea wanainchi

  • @GrandYounaitha
    @GrandYounaitha 10 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mama ni jembe kwelikweli nampenda sana dada yangu mwanamke mwenzangu chapa kaziiii

    • @rosekimaro384
      @rosekimaro384 9 วันที่ผ่านมา

      Anna Nkya wwe ni jembe tupiganie maana tunaonewa kila kona ya nchi ya TANZANIA

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka หลายเดือนก่อน +5

    Safi saanaaaaaaa

  • @frankmugomba3484
    @frankmugomba3484 หลายเดือนก่อน +2

    Tunafatilia Mama sana Sisi ndio serikali sio wale tulio wateu ndio jufinya Serikali Tanzania ni ya Watanzani sio kudi la watu tulio wateua kutuwakilisha Serikali ni Wawakilishi wetu tumewatea Sisi kutuwakilisha no.

  • @mussahuyya7775
    @mussahuyya7775 5 วันที่ผ่านมา

    Yaani mawakili wa serikali elimu yao ya sheria ni kuweka mapingamizi tu,tuna mawakili wa serikali wa hovyo sana

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 8 วันที่ผ่านมา

    Jamani Hadi mafurahi wakili

  • @benny4345
    @benny4345 13 วันที่ผ่านมา

    Ananilea delight for me😄

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc หลายเดือนก่อน +1

    Saaafiiiiií saanaaa tupo pamoja nyinyi

  • @danielykasebele4402
    @danielykasebele4402 หลายเดือนก่อน

    Tupo nyuma yenu pamoja mungu awatangule kusimamia haki na usawa

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 7 วันที่ผ่านมา

    Mwanasheria wa serikari anatetea kiti chake maana serikari ikishindwa mahakamani maana yake huyo wakili wa serikari hafai hapo alipo anaomba mungu serikari ishinde

  • @danielkanso
    @danielkanso 9 วันที่ผ่านมา

    Hapa sawa na namuona jaji aliye sikiliza hii pingamizi ni mtu muungwana na tunahitaji watu waungwana kama hawa

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 10 วันที่ผ่านมา

    Ananilea Nkya ungekuwa ndiye Rais wa Tanzania (Taifa) lingetamaraki HAKI tofauti na sasa UFISADI KILA KONA!!!

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 7 วันที่ผ่านมา

    Hata mimi nawaunga mkono

  • @joelruhinda8178
    @joelruhinda8178 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi kijiji chenye wakazi 2000 tunashindwa kuunda kamati zetu za uchaguzi tukachagua mwenyekiti wetu wa kijiji tunayemtaka hivi vyama vikaleta tu wagombea sisi ndio tuamue,kuliko chama kimoja kiratibu na kusimamia uchaguzi kupitia makada wake baadae kijitangazie serikali ya kijiji hii si sawa.

    • @MohammedAbdallahSaid
      @MohammedAbdallahSaid 9 วันที่ผ่านมา

      Waziri wa tamisemi anatakiwa aone aibu Kwa watanzania kwani hajioni kuwa yeye ni kada wa ccm ktk hali ya kiungwana anatakiwa amshauti rais kuwa utaratibu huo haustahiki tena kuweo

  • @GodfreyTarimo-je4xo
    @GodfreyTarimo-je4xo 24 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana wananch tunatak uchaguz huru

    • @JocelyneMary
      @JocelyneMary 10 วันที่ผ่านมา

      Watupe namba tuwachangi jamani ht nauli

  • @Georgemselyamwaluko
    @Georgemselyamwaluko 17 วันที่ผ่านมา

    Safisana

  • @DavidMgimba-z8o
    @DavidMgimba-z8o 7 วันที่ผ่านมา

    9:44

  • @juliuszakayo6771
    @juliuszakayo6771 6 วันที่ผ่านมา

    Huru waziri anavunja katiba bila hayawakati aliapa kuilinda 😅

  • @jerome3143
    @jerome3143 11 วันที่ผ่านมา

    shida ya watumishi wa uma wanafanya kazi kwa maelekezo

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 4 วันที่ผ่านมา

    Kama hamtaki tamisemi asisinamie huu uchaguzi,jje mnataka Nani asimamie? Na hizo gharama ambazo tamisemi katumia Nani atamlipa?

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 12 วันที่ผ่านมา

    Mnataka kutuletea viongozi harabu wasio na sifa kutokana na huo uchaguzi

  • @EmmanuelKazimili-ky1ss
    @EmmanuelKazimili-ky1ss 24 วันที่ผ่านมา

    watanzania tunataka tamisemi isijiusishe na uchaguzi hapa nchini tuna muomba jaji awasikilize wananchi na atende haki

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven หลายเดือนก่อน

    Kumeanza kuchangamka

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi kuna dhambi gani kuahirisha uchaguzi hadi marekebisho ya msingi yafanyike kuondoa sintofahamu zote hizi. Kwanini kulazimisha mambo haya, enyi serikali dhalimu

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 15 วันที่ผ่านมา

    Tunawashukuru kutupambania wananchi kupata haki zetu zakuchagua watu tuonaowataka sio watuteulie wao tumechoka manyanyaso kwakutuletea watu tusio wataka

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 6 วันที่ผ่านมา

    Wengine ni machawa tu

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 หลายเดือนก่อน +3

    Ikibidi you uchaguzi ufanyike mwakani

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 12 วันที่ผ่านมา

    Msitetee uovu ninyi acheni kuibeba serikali wateteeni wananchi

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 20 วันที่ผ่านมา

    Kwa nini serikali inagagania tamiseni wasimamie uchaguzi? Ni kwasabu serikali imekosa uhalali wa kuiongonza nchi tena,serikali imekuwa ya hovyo kabisa inatupeleka pa baya

  • @hafsasaif8004
    @hafsasaif8004 19 วันที่ผ่านมา

    Tamesem chari 😂😂😂 kumanina

  • @gililwise
    @gililwise 13 วันที่ผ่านมา

    Kwani hawa wanasheria wa serikali wamesoma wapi.maana kila siku wanabwagwa tu.mama anglia vyeti vyao inawezekana wana d2

    • @JocelyneMary
      @JocelyneMary 10 วันที่ผ่านมา

      Hapana hao washindwa tu kuwa pamoja na wenzao wanalinda kazi zao tu lakini wenzetu hao

  • @reubenmobe9294
    @reubenmobe9294 หลายเดือนก่อน

    Iwe haki isiwe danganya toto wakifika mbele Mahakama itapindua tu Mahakama hazitabiliki mtaniambia tuombe uzima hii Tanzania bwana

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 หลายเดือนก่อน +1

    HUYU MWANASHERIA WA SERIKALI VIPII SIJAMWEELEWA

    • @EmmaculateGembe
      @EmmaculateGembe 8 วันที่ผ่านมา

      Nyinyi wanasheria wa serikali muwe wazalendo

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 17 วันที่ผ่านมา

    Kazi yenu inastahili pongezi. Hata sasa kwenye uandikishaji dosari zinaonekana. Najua wahusika hawatajali kwa kuwa wanategemea uelewa mdogo wa umma wa wtz, kazi yenu imeingia kwenye historia ya kutetea demokrasia.

    • @ndenengomwende4915
      @ndenengomwende4915 9 วันที่ผ่านมา

      Asanteni watetea wananchi! Kweli you are realy the learned cadre ya wasomi tulio nao! Mungu awatangulie mpaka mwisho.

  • @OmanIbri-hj8ss
    @OmanIbri-hj8ss 15 วันที่ผ่านมา

    Ukiwa wakili wa serikali unakua km juha juha juha lkn ukweli mnaujua kengee nyie

  • @alexandermalima610
    @alexandermalima610 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika mahakama imeitendea haki tanzania

  • @GeorgeMhada
    @GeorgeMhada หลายเดือนก่อน +2

    Inchi imeanza kunyoka ndani ya rais wa tls mwamb mwabukusi bigger up

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      Relevant and vibrant TLS. Hii nchi itakuwa nzuri sana kama utawala wa sheria utazingatiwa. Mzee wa watu ameuliwa kwa shida gani😢😢😢

  • @hajimaftaha3272
    @hajimaftaha3272 23 วันที่ผ่านมา

    Sijaelewa jambo hapa, mawakili wetu wa upande wa serikali katika hili wanamtetea nani?

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 15 วันที่ผ่านมา

      Wanaitetea Tamisemi

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 9 วันที่ผ่านมา

    Hakuna lolote njaa zenu

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 6 วันที่ผ่านมา

      Wewe majinga mkubwa Bora ukae kimyaaa

  • @mussahuyya7775
    @mussahuyya7775 5 วันที่ผ่านมา

    Maelezo ya wakili wa serikali ni upuuzi mtupu,sheria inapotungwa inafuta sheria nyingine kama hiyo huyu anadanganya waziwazi

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 12 วันที่ผ่านมา

    Mnatetea kitu ambacho haramu

    • @peterjosephat6685
      @peterjosephat6685 10 วันที่ผ่านมา

      Haram ni wewe unaenufaika na ukandamizaji kwa wananchi na kuporwa uchaguzi na majizi ya ccm

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 7 วันที่ผ่านมา

    Hata mimi nawaunga mkono