MADELEKA AFUNGUKA KILICHOTOKEA 'KESI YA AFANDE', AHUSISHA RUFAA , "TUMEFANIKIWA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @ProfJerryM
    @ProfJerryM หลายเดือนก่อน +3

    Asante Wakili Madereka Usikate Tamaa kupigania haki Mungu ataku reward na pia hatawaachilia Bure wanaofanya udhalimu

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 หลายเดือนก่อน

    Good job brother. Mungu AKUSIMAMIE KWA KAZI YAKO TAMU. UNAFAAAA SANA. HILO LI MAMA LINAMGUMBANA KIBENTERI DOGODOGO. ALINA HAYA KUTENBEA NA MWANAE KALICHOKA LIZEE NDIO MAANA KAVHUKUA SAIZIII YAKEE. AJAOLEWA HUYO. MUHUNI TUUU

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange หลายเดือนก่อน +9

    Huyo Hakimu kasoma wapile Sheria?Omba upewe Cv's zake ili wananchi tuzijue wazi.

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 หลายเดือนก่อน

      @@StephenMpallange siku hizi ni kuteuliwa bila ujizi

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 หลายเดือนก่อน +2

    Duh inasikitisha sana Mungu akusaidie sana Madereka una fungu jema mbinguni

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc หลายเดือนก่อน +3

    Honger sanaa wakili kwa jitihada zako

  • @ubuntubantu2404
    @ubuntubantu2404 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeelewa somo Mheshimiwa wakili. Kweli lengo lako limefanikiwa kufunua uozo

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 หลายเดือนก่อน +1

    Madereka Mungu akubariki sana na akulinde

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ndo Tanzania yenye wimbo"Tanzania yetu ndo nchi ya furaha,,duuh! Wanyonge tuna shida,Afande kula bata na tuma wengine tena wewe ni mungu hauguswi

  • @bilid4128
    @bilid4128 หลายเดือนก่อน

    Big up Madeleka

  • @mraeliphas9293
    @mraeliphas9293 หลายเดือนก่อน

    Wakili msomi Madeleka, naomba mshawishi mwenye kesi akate rufaa, na mshawishi pia aombe msaada wa pesa kwa wananchi, tutatoa.

  • @LevisMwenewanda-gm5ex
    @LevisMwenewanda-gm5ex หลายเดือนก่อน +2

    Mheshimiwa umetoa Milano mizuri kwa watu wawili Afande na huyo mwingine waliokingiwa kifua.
    Je nakuuliza kuna waliowahi watakiwa mahakamani kama hizi kesi zinazowahusu wawili hao wakakatwa ? Ebu toa fact tuelimishe

  • @FEBRONIAFABIANI
    @FEBRONIAFABIANI หลายเดือนก่อน

    Jamani kama mtamwacha afande mtakuw hamfanyi chichote yy ndiye mbakaji haswa esma hakuwa na vifaa ndo akakodisha

  • @FEBRONIAFABIANI
    @FEBRONIAFABIANI 28 วันที่ผ่านมา

    Wamemfich ilaumejitaid uwezo wak akimu , ila hk Iko kwa munguu, tunkumbuk magufuli

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange หลายเดือนก่อน +2

    Vje waxaz I na ndugu i wa wale wahalifu waliotumwa na huyo mama Afande aliowatuma watajisikiaje?

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 หลายเดือนก่อน

    Watanzania tunategemea watu kama wewe. Watanzani tunasahau haraka sana. Serikali hii haithamini masikini. Huyu mama anachungwa na office za juu

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 หลายเดือนก่อน +3

    Watanzania wanao amini haki kwa wote tunafuatilia kesi hii kwa makini. RAIS Samia kwa kauli yake mwenyewe alisema kila mtu yuko chini ya sheria. Sasa inaonyesha kuwa kuna watanzania wako juu ya sheria.

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 หลายเดือนก่อน

      Huyu binti angekuwa mtoto wa waziri ama wa Rais, hakimu angeshindwa kumuhukumu kweli? Watanzania wanaishi kwa woga mukubwa . Kuandamana hatuwezi, na mahakama inatunyima haki. Miaka mitano mingine ya Samia itakuwa mateso makubwa kwa masikini. Ni kama kifungo cha miaka mitano kwa watanzania masikini.

  • @michaelmeela-tn4ew
    @michaelmeela-tn4ew หลายเดือนก่อน

    Nakuomba uendelee mbele mh.wa haki tuende hata mahakama ya Africa wasikukatishe tamaa mh.

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 หลายเดือนก่อน +3

    Ukitaka kujua kuwa Tz ina amani inayozungumziwa na viongozi wa serekali ,, we angalia kila kiongozi au mwanasiasa wakiwa mbele ya mike utakuta nyuma yao kuna mtu anasimama kwenye kisigo, hii inamaana gani wadau,

    • @rogersiddy
      @rogersiddy หลายเดือนก่อน +1

      Amani hakuna ndo maana yake

  • @BoniphaceManyama-y2s
    @BoniphaceManyama-y2s หลายเดือนก่อน +2

    Da! Inaumiza sana na inakela watanzania Amani inatoweka Haki inapindishwa matabaka yamekwisha anzishwa yote hayo ni uroho wa madaraka ,CCM wamepoteza dila wanatawala kutumia mabavu Police wamekuwa migambo wa chama na wenye madaraka . Nakumbuka mwaka furani wasomi walijitokezs kuomba kazi jeshi la police na walikataliwa wakiwataka wasio na elimi kubwa kupewa Ajira , hii ilinishangaza sana Ili iwe rahisi kwao kuwaelekeza namna ya kufanya na kilaza mara nyingi hatafakali jambo Kwa mapana yake Police msiwe vilaza kutumia hovyo na wanasiasa ,Mahakama msipewe vyeo hivyo vya ujaji Kwa rushwa na mnapindisha Haki Ili kulipa fadhira . Mungu awasamehe

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian หลายเดือนก่อน

    Nachukia kusikia kauli za watu Eti madeleka songa mbere tuko nyuma Yako mala wakili madeleka kata lufaa mpaka kieleweke uo ni ujinga wa watanzania na unafiki Aya nyinyi kama wapenda aki mnasaidiaje kuonyesha nanyi ni wapenda aki na watetezi kazi ni kusifia likimkuta madeleka la kumkuta umasikini mtu ata mmoja mnampenda mpambaniwe TU ata kuonyesha kua nanyi mumekelwa akuna toeni comment za shukurani TU sio kusema Eti tuko nyuma Yako waongo ukigeuka uoni ata katuni Moja mifano ipo tutafika tumechoka

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu hakimu mbona anamsumbua madeleka?....hajui madeleka ni OG. Kwa sheria

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 หลายเดือนก่อน +1

    Endeleeni mahakama kuu inaonyesha Madereka naye anaelekea kunyosha mikono unasemaje mmeshinda wakati keshi imefutwa

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 หลายเดือนก่อน

    Ndo maana hawataki kubadilisha KATIBA

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 หลายเดือนก่อน

    💯🙏✔️

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 หลายเดือนก่อน +1

    Jela zetu zimejaa watu masikini. Serikali inssema Tanzania ni nchi ya amani! Amani gani bila ya haki? Mbona vyombo vya haki za binafamu kimya? Je huyu dada alikuwa hana mbunge. Kama korti itashindwa Kutowa haki kwa Huyu dada aliyebakwa na watu sita basi watanzania wanyonge mjuwe serikali hii sio ya Watu bali ni dhuluma.

  • @emanuelpeter2489
    @emanuelpeter2489 หลายเดือนก่อน

    Kwani sheria ni ya hyo nyamburi mtungahaja si anamuaibisha tu rais wetu halafu rais hasikii ht ili akikamatwa hyo nyamburi na afande atakuja tu mwenyewe au mbn magufuli upuuzi km huu alikuwa ndio anautamani utokee amnyooshe mtu kwa amri bila kubembeleza jambazi la kihaki

  • @ahmedalasmi8005
    @ahmedalasmi8005 หลายเดือนก่อน

    CCM Chama cha kunyima haki watanzania amke I jamani mtaonewa daima

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน

    Hili swala halina haja liende MAHAKAMANI maana kibinadamu tu linaeleweka

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 หลายเดือนก่อน

    Aibu kwa mfumo wa mahakama tanzania

  • @StamMagessa-uo3hk
    @StamMagessa-uo3hk หลายเดือนก่อน

    Tunatamani kujuwa jina la hakimu wa hovyo huyo

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq หลายเดือนก่อน

    Siku wanainchi wakianza kuchukuwa hatua ndio itakuwa vizuri

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo หลายเดือนก่อน

    Hii ndio Tanzania ya Chama cha Mapinduzi kupindua haki za watu!

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka maeereko pole na majukumu, naomba kuuliza kuwa ivi Tanzania kwa sasa ni fasheni au ni sheria kila atakae simama jukwaani akiongea na waandishi au na wananchi awe na mtu anaesimama nyuma yake ? (Bordgard)
    Au ni hofu ya utekaji uliopo Tz??

  • @daviddsouza735
    @daviddsouza735 หลายเดือนก่อน

    Haki. Amani. Ujasiri.