Maashaallah Allah akupeni umri mrefu waumini wote wa msikiti huwo na Allah amteuwe kwa nguvu na Rehema zake Amiri na Rais wetu mtarajiwa Mh:OTHMAN MASOUD kuiongoza nchi ya ya Zanzibar 28/10/2025, Allah amlinde na kila aina za shari za Masheitwani,majini,wanadqmu na maaduwi wote ambao tayari wahapang kujakuteleza mauji makubwa ya Watu Wakizanzibar bdani ya Visiwa hivi. Allahuma Ameena.
Mashaallah rais wetu inshaallah 2025 ALLAH awalinde na hasadi za mazayun wenye lengo baya na zanzibar yetu ALLAH wajalie Afya njema viongoz wetu woto wanao ipigania Nch yetu Amn
Maneno mazito saana.
Allah ampe maisha marefu muheshimiwa OMO, na amtawalishe kiti chake
Ameen 🤲
Jamani hatari, ila pemba watu wake wanaimani na hofu na mungu nawapendea hapo mungu anijaalie niolewe na wapemba
Maashaallah
Allah akupeni umri mrefu waumini wote wa msikiti huwo na Allah amteuwe kwa nguvu na Rehema zake Amiri na Rais wetu mtarajiwa Mh:OTHMAN MASOUD kuiongoza nchi ya ya Zanzibar 28/10/2025, Allah amlinde na kila aina za shari za Masheitwani,majini,wanadqmu na maaduwi wote ambao tayari wahapang kujakuteleza mauji makubwa ya Watu Wakizanzibar bdani ya Visiwa hivi. Allahuma Ameena.
Mashaallah rais wetu inshaallah 2025 ALLAH awalinde na hasadi za mazayun wenye lengo baya na zanzibar yetu ALLAH wajalie Afya njema viongoz wetu woto wanao ipigania Nch yetu Amn
ALLAHU AKUHIFADHI naakupe uongozi wa kusimamia nchi yetu
Azim ndio kiswhili cha wapi
Mwenye kwao uyo mumemuona? Jee ww mwezetu kwenu wp?
😂😂
Rais mtarajiwa 2025 kwa uwezo wake Allah
Sasa kiongoz kama huko kwao ulinzi mpaka kero kwenye kusalimiana na watu