TUNDU LISSU ACHANGIWA MILIONI 5 NA CCM,MWANACHADEMA AITA NI UNAFIK,MWANA CCM AHOJI KUHUSU MBOWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 12

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 19 วันที่ผ่านมา

    Lisu hahongwi💪✌️

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 17 วันที่ผ่านมา

    CCM ndugu zangu Lissu ni paka.Hana shukrani hata ufanye nini haisaidii.Lissu siyo mtu wa kusaidiwa.Msaliti,chizi,hana busara wala hekima.Ha n a shukrani.Mlalamikaji siku zote Acheni kumsaidia huyo chizi😢😢

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 19 วันที่ผ่านมา +1

    Huo ulikuwa ni unafiki, mtu wao ni Mbowe

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 18 วันที่ผ่านมา

    Yaani nyie nanyi mnajimaliza.. huko mtaani hamsadii mama zenu kwasababu nyie ni Chadema..

  • @bonnymakuke3153
    @bonnymakuke3153 19 วันที่ผ่านมา

    Ata mama alienda kumsalimia tundu lisu hospital lakini moto anaokutana nao utafikili hajawai ata kumpa pole kwa kifupi zito kanyooka haangalii sura😂😂😂

  • @melch3097
    @melch3097 17 วันที่ผ่านมา

    Lisu mpumbavu, kila siku anaata hela za ccm. Lkn maneno mengi, amechanganyikiwa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 19 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mchango uliofanyika kwa wanachama ndani ya nusu saa ikapatikana m5 kwana watu hawana pesa umaskin ni mkubwa hiyo m5 fisiemu wameitoa wao kufanyia usanii

  • @venantrugabela6798
    @venantrugabela6798 19 วันที่ผ่านมา

    Hahahaaaa
    Hii ndo kukoleza moto

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 18 วันที่ผ่านมา

    Lisu ndomtu anaye waumiza vichwa

  • @Mrsalt-z9m
    @Mrsalt-z9m 19 วันที่ผ่านมา

    Lisu aangalii sura

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 19 วันที่ผ่านมา

    Kwani michango ya gari ilitolrwa kwa siri. Ingelikuwa hivyo lisu. Adingekubali hataki. Ujinga na kwani tu akikuona hosptal ni rushwa kws. Kwa hiyo asimseme kwa manaya anayofanya kwa.maslahi.ya.tanganyika,, M0

  • @Mrsalt-z9m
    @Mrsalt-z9m 19 วันที่ผ่านมา

    4R