FRIJI BOVU : AZIZ KI AFUNGUKA SABABU 5 ZILIZOMFANYA ASAINI MIAKA 2 YANGA | GSM NA KUFURU YA PESA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ส.ค. 2024
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 57

  • @DenisMsanzya-kc7bv
    @DenisMsanzya-kc7bv 27 วันที่ผ่านมา +2

    hongera sana azizi k kipenzi chetu wana yanga

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 28 วันที่ผ่านมา +5

    Aziz ki ni Mwamba Sasa tutaonasoka hiii kiboko sana Sasa Tanzania tunaona mpira mkubwa sana

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v 27 วันที่ผ่านมา +2

    Azizi Ki safi Sana!

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 27 วันที่ผ่านมา +2

    Sisi wananchi hatuna jambo dogo! Sasa waambieni pamoja na huyo friji kichaa Azizi Ki miaka 2 !!!!

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 28 วันที่ผ่านมา +3

    Ni mapenzi makubwa mno Kwa K Aziz ni mapenzi ya dhat

  • @AllyBardan
    @AllyBardan 28 วันที่ผ่านมา +7

    Azizi ki anajua umahiri wake unahitajikuongezeka nalengola azz ki nikucheza ulaya

    • @sportsdatatv
      @sportsdatatv  28 วันที่ผ่านมา +2

      ooh kabaki kwa sababu ya mapenzi na timu

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 28 วันที่ผ่านมา

      Mimi ni Yanga lakin kwa umri wake sahivi ulaya haendi bro
      Umri miaka 28 kwenda ulaya hapana.
      Pia ukumbuke alikuwa huko na alifel ndo maan akarudi Africa.
      Hata Pacome alikuwa Sparta Prague huko ndo makuzi yake yalikoanzia so kurud huku ni kwamba hawakufuzu kuendelea huko ulaya.

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 28 วันที่ผ่านมา

      ​@@sportsdatatvhuyo ni mfanya biashara hana mapenzi na timu sema ameangalia project yake na yanga vimeendana ana nafasi ya kucheza zaid miaka mingi yanga kuliko huko uarabuni
      Na wewe unajua waarabu walivyo kwenye wachezaji wetu weusi huwa hawawapi nafasi so wanawaua viwango vyao

    • @creedjey
      @creedjey 27 วันที่ผ่านมา

      ​@@musamagulu2023aende ulaya kufanya nn kama timu zingine za africa zimemtaka kagoma kwenda, kaamua kubaki mwenyewe

  • @hockingsshangali1747
    @hockingsshangali1747 28 วันที่ผ่านมา +1

    Friji bovu ,tunajua unaumia sana kwa unachokisema pole sana . Usimalize yote bskizs na kedho siku.

  • @chrisantusnditi8670
    @chrisantusnditi8670 28 วันที่ผ่านมา +2

    Azizi Ki kuna kitu anatafuta kupitia Yanga,ameona kuna mission ambayo akiikamilisha Yanga,atakuja kuvuna pesa nyingi zaidi.

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 28 วันที่ผ่านมา +1

    Madunduka hawana malengo , wala hawajitambui --- Hawana future '" Wanapenda kudanganyana "

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 28 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona mlikuwa mnasema ataondoka mmeanza kujikomba

  • @user-sl8pg1vr3j
    @user-sl8pg1vr3j 27 วันที่ผ่านมา

    Frij bovu ACHA uchaga, maisha ni upendo na sio pesa

  • @gracelema2374
    @gracelema2374 27 วันที่ผ่านมา

    Ungetafuta kwanz interview ya mama yake Aziz 2 years ago i think usingekuwa nachakuongea

  • @ErickJeremiah-ww3ez
    @ErickJeremiah-ww3ez 27 วันที่ผ่านมา

    Daaaah yani tulishaanza kufurahi ila awa jamaa awawezi kutuacha tukae na furaha sku mbili walau 😢

  • @hockingsshangali1747
    @hockingsshangali1747 28 วันที่ผ่านมา

    Tunanua ulitamani sana aondoke Shindwa kwa wizu wako.

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza 27 วันที่ผ่านมา

    Firiji bovu nimekukubali

  • @melysackacademy
    @melysackacademy 27 วันที่ผ่านมา

    Wewe jamaa ukiapata nafasi ya uongozi nchi hii utakuwa fisadi mkubwa kuliko walowahi kutokea.
    Unaweza hata kumuua mama yako mzazi kwa sababu ya pesa wewe.
    Yani, unathamini pesa kuliko utu na hata kuliko legitimacy katika maisha yako.
    Pia, unaamini sana katika kushindwa. Hivi Azizi Ki hawez kuwa wa moto katika umri wa Ronaldo, Messi, D. Bekham, Zinedine Zidane, nk.
    We vipiiiiii

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 28 วันที่ผ่านมา

    Pasco kolo 100%

  • @upendoomary1921
    @upendoomary1921 28 วันที่ผ่านมา +1

    Kwaiyo ushauli wako ni nini

  • @user-vc8rk4qn5z
    @user-vc8rk4qn5z 27 วันที่ผ่านมา

    Kwaniumeeona Hana Hela?

  • @creedjey
    @creedjey 27 วันที่ผ่านมา

    Apa Tff inabidi waweke waamuzi wazuri na viwanja viboreshwe kabla ligi haijaanza

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 27 วันที่ผ่านมา

    Wewe friji kichaa ulikuwepo na ukaona hizo milioni 35?

  • @jimmymhina1264
    @jimmymhina1264 27 วันที่ผ่านมา

    Huyo ni copy ya Ngasa tu ,sasa hivi Ngasa hakuna anaye mtambua

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 25 วันที่ผ่านมา

    Ni upuuzi mnachojadili eti friji bovu eti kaka yake feisal pumbavu tu.

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 28 วันที่ผ่านมา

    Kusema Azizi Amekosea Hapo umec hemka kwani Angeenda Huko unapofikoria kumhemgonga Atanyeje? Bora kubaki uoma Mayele lengo Ni kufuja Sio kutaka mchezaji

  • @sadickjuma7264
    @sadickjuma7264 27 วันที่ผ่านมา

    Kwahio hapa yanga halipwi hela anapewa mawe kachambe huko

  • @alexandernkwamah5905
    @alexandernkwamah5905 28 วันที่ผ่านมา

    Si kweli kuwa hataki pesa. Aziz anazo. Anajua kwingineko atakuwaje. Hakubaki kwa ajili ya mapenzi peke yake. Anawazia project, umaarufu wa makombe na uwezo wake anaona ni karibu itatokea Yanga. Friji bovu unaogopa hicho kikitokea mtaaibika wengi. Hersi anapiga hesabu.

    • @user-wt8nt7pb2y
      @user-wt8nt7pb2y 27 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 ebu soma ulicho andika kwanza

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 27 วันที่ผ่านมา

    Si kumkubali tu! Huyu kavamia fani?

  • @user-iz3hs8jl5p
    @user-iz3hs8jl5p 27 วันที่ผ่านมา

    wee aziz bado sana wee acha zako dogo ana utajiri ata wakala wake anatambua ilo na msije mroga shenzi zenu

  • @monicaMihangwa
    @monicaMihangwa 28 วันที่ผ่านมา

    Makolo wanaumia cn

  • @Jarden-Mills
    @Jarden-Mills 28 วันที่ผ่านมา

    Malengo yake unayajua ww acha kuingilia plan za mtu

  • @dullamuso6955
    @dullamuso6955 27 วันที่ผ่านมา

    Wewe friji Bovu pewa haina kikomo na pesa kila siku ni tamu, Azizi K karidhika na kiasi anachopata Hana tamaaa hizo unazofosi

  • @hockingsshangali1747
    @hockingsshangali1747 28 วันที่ผ่านมา

    Hayo ya simba ni maumivu natamaa kama usemavyo. Huo tunauita umakolo.

  • @user-vc8rk4qn5z
    @user-vc8rk4qn5z 27 วันที่ผ่านมา

    Acha ushamba uchambuIgani huo acha kumpandikiIa aziI ujingo

  • @hockingsshangali1747
    @hockingsshangali1747 28 วันที่ผ่านมา

    Tujifunze ,wanavyo wachukua wzchexaji toka kwetu sio kwa nia njema ila ni kutusngusha tuu. Niyupi alie chukuliwa akenda aendako akafanikiwa ? Wanatunyanganya ili tu watushide nao wazidi kuwa wafalme wa afrika. Tushtukie hii tamaa ya kuuza tuu.

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 27 วันที่ผ่านมา

    Mikisone kachagua maisha na hey foot ball ikapoteae😅😅😅

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 27 วันที่ผ่านมา

      Mikisone kachagua maisha na pesa nyingi zaidi yupo wapi kapotea😊😊

  • @ARFHONSIMGIMBA
    @ARFHONSIMGIMBA 28 วันที่ผ่านมา

    AZIZI KI BADO YUPO SANA

  • @user-jx3yi9ci7g
    @user-jx3yi9ci7g 28 วันที่ผ่านมา

    Kwa hio hela aliopewa yanga ni ndg?

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 27 วันที่ผ่านมา

    Kwani AZIIZ KI AMESAINI LEO ??

  • @user-hl9xu4vo1q
    @user-hl9xu4vo1q 27 วันที่ผ่านมา

    Pesa bila si chochote

  • @deokibona2835
    @deokibona2835 27 วันที่ผ่านมา

    Aziz ki usimlinganishe na wachezaji wengine, yeye ameshacheza hata huko Ulaya,. Kwahiyo ana exposure kubwa inapokuja suala la mafanikio. Haangalii hela tu kama unavyoangalia wewe friji bovu.

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 28 วันที่ผ่านมา

    Hakupata ofa kama hiyo ni uongo tu huo mapenzi gani hayo kwan akishuka kiwango yanga watampenda? Achen uongo wenu

    • @paulmwandambo7799
      @paulmwandambo7799 27 วันที่ผ่านมา

      Aseme ni timu Gani ilimtaka Aziz kakataa huyu jamaa muongo sana

  • @omarmakore6919
    @omarmakore6919 28 วันที่ผ่านมา

    Wachambizi. Wa. Bongo nyinyi niwanafuki Sana kumbuka wewe firiji bovu kumbuka ulichokisema Jana munajisemea hamuna akiri kabisa

  • @hockingsshangali1747
    @hockingsshangali1747 28 วันที่ผ่านมา

    Nilijua hutaweza kumaliza bila kumzungumzia cha. Hayo ndo mapenzi. Hayo ya offer yanakuhusu wewe. Huo sio uchambuzi ni unazi na ushabiki wa simba.

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 27 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa ww ni chizi kima ww Azizi anaakili kuliko ww mayele mwenyewe hana raha kwahiyo unataka na Azizi wakamfuje ridhika na kidogo kama kinatosha shukulu mungu.pesahazitosh

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 27 วันที่ผ่านมา

    Sikuwambia Hilo zuzu! Pumba zake mnazisikia!

  • @paulmwandambo7799
    @paulmwandambo7799 27 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa sijawahi mkubali , ameumia sana kuona Aziz kabaki , maana juzi TU alikuwa anasema anaenda Simba

  • @hockingsshangali1747
    @hockingsshangali1747 28 วันที่ผ่านมา

    Nilijua hutaweza kumaliza bila kumzungumzia cha. Hayo ndo mapenzi. Hayo ya offer yanakuhusu wewe. Huo sio uchambuzi ni unazi na ushabiki wa simba.

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 28 วันที่ผ่านมา +1

    Jaman siku akiondoka Injinia hers ndio itakua kushuka Kwa Yanga Afrika

    • @user-fg9nk5cn1g
      @user-fg9nk5cn1g 26 วันที่ผ่านมา

      We fala sanatenasan mshenzi wee.